Konzogwe

JF-Expert Member
Feb 24, 2008
434
155
1598123714101.png

Punyeto ni nini?
Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi.

Kwa hivyo katika kupiga punyeto hamna hofu ya kuambukizwa magonjwa yanayosambazwa kupitia ngono, kwani haimshirikishi mtu mwengine.

Punyeto ni toshelezo kamili la kimapenzi kama utatumia njia mbali mbali za kujitomosa na kujipa papasa ya kujistarehesha.

Hakuna mtu anayezaliwa akijua jinsi mwili wake unavyoitikia msisimko wa kimapenzi. Inakubidi kujifunza kwa majaribio salama.

Na, kwa vile kila mtu yuko tofauti, njia nyengine ya kujua jinsi unavyoweza kumstarehesha mpenzi wako, ni kujifunza kutoka kwako mwenyewe.

Shughulika zaidi na sehemu ambazo zinasisimka kwa urahisi.

Unaweza kufikia kilele cha starehe yako kwa kuitomasa tomasa mboo au kisimi, lakini kutakupa hamu kubwa na ashiki, na kufikia kutoshelezwa vya kutosha, kama utapapasa pia sehemu nyenginezo za mwili wako.

Kwa nini punyeto huonekana kuwa makosa?

Msimamo wa dini nyingi na watu wengi ni kuwa punyeto ni dhambi, mwiko, jambo lililokatazwa, jambo lisilokubalika kabisa.

Lakini wanasanyansi wanasema ni jambo salama kiafya na dhana zilizopo kulihusu, ni imani za kibinafsi na chaguo la mtu.

Wanaume wengi na wanawake hupiga punyeto maishani mwao, kwa sababu huwafanya wakajisikia vizuri na huondoa dhiki za mihemko ya kimapenzi bila kujiingiza katika ngono na mtu mwengine.

Pia hofu ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa, ikiwemo virusi vya HIV ni kichocheo tosha kinachopelekea baadhi ya watu kupiga punyeto.

Lakini kuna sehemu wanaeleza hivi:

Punyeto (kujitoa manii kwa mkono):


"Punyeto" ni: Dhana inayowakilisha tendo la kujitoa/kushusha manii kwa njia isiyo jimai. Kupiga punyeto kwa kutumia kiungo/zana yo yote ile ni tendo la haramu mbele za Mafaqihi walio wengi. Na hiyo ndio kauli ya Mafaqihi wa madhehebu ya Imamu Maalik, Shaafiy na Abu Haniyfah. Lakini uharamu wa punyeto mbele zao uko chini ya uharamu wa zinaa; yaani zinaa ni haramu zaidi kuliko punyeto ingawa vyote ni haramu. Kwa muono wao huu, lau mtu ataangukia katika mtelezo wa kutenda mojawapo ya haramu mbili hizi; zinaa na punyeto. Basi hapana makindano kwamba aegemee zaidi janibu ya punyeto ili kuilinda nafsi yake dhidi ya uchafu wa zinaa. Atafanya hivyo kwa mazingatio ya msingi wa Fiq-hi usemao: "lenye madhara khafifu baina ya yenye madhara mawili" na "lenye shari kidogo baina ya yenye shari mawili".

Ama madhehebu ya Imamu Ahmad na maimamu wengineo-Allah awarehemu-ni kuhalalisha punyeto kwa kuizingatia kuwa ni nyenzo inayoweza kumsaidia muhusika kujikinga na zinaa. Na wala hapa hatukusudii na wala hatuna nafasi ya kutaja mkururo wa dalili za kauli mbili hizi; haramishi ya kundi kubwa na ile halalishi ya kundi dogo. Bali tunalazimika na kutosheka na kuashiria kwamba waliosimamia kauli ya uhalali. Hawakusema hivyo ila ni kwa sababu wameona tendo hili linampa kinga ya kiasi fulani mwanadamu dhidi ya kutenda uchafu na uoza wa zinaa.

Hili ndilo walilolizingatia na kulijengea kauli yao hii ya uhalali, lakini hapo hapo hawalioni tendo hili kuwa ni halali iwapo litageuzwa kuwa ndio ada/desturi na mazoea ya mtu. Akawa analifanya zoezi hili kwa kuendelea kiasi cha kuifanya punyeto kuwa maradhi ya nafsi/siha. Kwa sababu hakuna hata mwanachuoni mmoja anayehalalisha madhara hata kama hicho chenye kudhuru kilikuwa halali katika asili yake.

Mathalan tendo la kula, asili yake ni halali na wakati mwingine huwa ni wajibu kwa kiwango cha dharura/ulazima wa kuhifadhi uhai. Lakini tendo hili hili linaweza likawa haramu pale mtu atakapokula zaidi ya uweza/shibe yake na akasababisha kuidhuru nafsi yake. Kwa msingi wa maelezo haya basi, hapana makindano baina ya maulamaa wetu-Allah awarehemu-katika suala zima la kuharamisha punyeto. Kwa sababu tendo hili linaidhuru kano/mishipa ya nguvu ya muendekeza tendo hilo na kulifanya kuwa ndio mchezo wake.

Kama linavyoudhuru mfumo mzima wa viungo vyake vya uzazi (reproductive system) na afya yake kwa ujumla. Kwa hivyo basi, si Imamu Ahmad wala imamu mwingine anayehalalisha kile kinachosababisha madhara kwa hali yo yote. Kwa mapenzi mema kabisa, tunawasihi na kuwanasihi vijana wetu wa kiume na wale wa kike kutoendekeza zoezi hili la kujitoa manii kwa njia isiyo ya jimai. Tena waache kabisa hata kufikiria kulitenda, kwa sababu tendo hilo ni hatari kwa afya zao.

Mwanachuoni mkubwa; Sheikh Muhammad Al-Haamid-Allah amrehemu-katika kitabu chake ametaja maneno kima kuhusiana na maudhui hii, tunamnukuu: "Hakika tene (kichwa cha dhakari) ina hisia kali sana na hapo ndipo patokapo hisia (za raha na ladha) wakati wa tendo la jimai kwenda kwenye kifuko cha manii (spermatic vesicle). Na kusababisha kijibinye ili kitoke humo kiasi fulani cha manii na kuchanganyika na kitu kinachoitwa "prostate gland". Na hapo katika mchanganyo huo ndipo huundika mmiminiko maji huu ambao kutoka kwake huzipoza na kuzituliza shahawa/ashiki/matamanio.

Sasa basi mtu atakapodumu na zoezi la kuichezea dhakari yake, ngozi ya tene huwa ngumu na kusababisha kudhoofika kwa nguvu-hisia zake. Na kuyafanya manii kutoka bila ya kuchanganyika na ute wa "prostate" ambao una athari na mchango mkubwa katika kutuliza kiamshi-shahawa. Kwa hivyo basi manii yanapokuwa hayakuchanganyika na ute huo, kupoa kwa shahawa huwa ni kwa muda mfupi tu, kisha huamka tena kwa nguvu kubwa.

Kwa ajili hii humlazimisha mpiga punyeto kupiga tema mara ya pili, tatu.... na kama hivi. Mpaka mwishowe humwaga damu (badala ya manii), kwa sababu ya kumaliza kabisa kile kiitwacho "spermatic cord/funiculus" na kuudhoofisha kwake mfumo-uzazi kutokana na wingi wa kupiga punyeto. Kinachotokea kutokana na udhaifu wa hisia wa tene kwa sababu ya wingi wa kupiga punyeto: Ni kwamba mwenye kuzoea kupiga punyeto, hutokezea akashindwa kufanya jimai kwa namna anayoweza kufanya mtu asiyefanya mchezo huo. Hii ni kwa sababu tene iliyodhoofika kutokana na wingi wa kupiga punyeto haiathiriki (na tendo la jimai) kwa kiwango kihitajiwacho kutokana na msuguano ndani ya uke. Kwa hivyo basi hawezi kushusha manii ila kwa kujichua na mkono.

Ndani ya tendo hilo kuna madhara kwa nafsi yake na mkewe ambaye ana haki ya kutoshelezwa nae (ili asifikirie/kufanya machafu) kwa jimai halali". Mwisho wa kumnukuu sheikh-Allah amrehemu.

Kwa kuungia maneno kima haya ya sheikh tunaongezea: Kwamba manii ni kimiminika muhimu mno cha mwili na mfumo mzima wa uzazi. Chini ya maana hii Muingereza Dr. Mary Stoubis anasema katika kitabu chake {MARRIED LOVE}: "Kwa yakini mchanganuo wa kikemia wa kimiminika hiki manii, umedhihirisha kwamba pamoja na vitu vingine unahodhi kiwango kikubwa cha "phosphoric acid" na "calcic acid". Na zote mbili hizi ni maada kima zenye taathira adhimu katika ujenzi wetu wa kimwili (kama wanadamu).

Hili likisihi (kuwa sahihi), basi kwa hakika kosa kubwa analolifanya mwanadamu ni kudhania kuwa maada manii ni kitu ambacho kunasihi kujitakasa nacho baina ya kipindi kifupi na kingine. Na kuimwaga hovyo bila ya malengo na kuona haja ya kuihifadhi".

Ni mazuri yaliyoje maneno ya mshairi huyu anayesema na vijana:

{Yahifadhi manii yako kiasi uwezavyo kwani hayo *** Ni maji ya uhai yamwagwayo katika matumbo ya uzazi}.
 
Hey,lets not condemn this poor guy, Padre! U shud b d 1st to ofa help, seeing as u r a padre n shd there4 b an 'expert' in keeping your thoughts 'pure' thereby avoiding 2 do what he duz!
Kijana, mi nakushauri
1. Dont think 2 much abt sex
2. Ask ur wife 4 d real thing, Neno la Mungu lasema 'Msinyimane ktk ndoa'
3. Muombe Mungu
4. Tafuta ushauri wa ana kwa ana eg kwa psychologist
Pole, al d best
 
Habari zenu JF Docs! naomba kujua masturbation ina madhara gani kiafya na nini mtu anaweza kufanya ili aweze kuacha. naombeni msaada wenu wa kitalaamu.
Mkuu haina MADHARA YOYOTE liendeleze libeneke tu.Ina tatizo moja ambalo naliona kama si tatizo ni kuwa ukiendekeza hii kitu itafikia unaanza dili zako na kwenda kukung'uta kamoja.......inawezekana kama wewe ni mwanafunzi uko class ukakacha masomo na kwenda kukitupa kimoja....

Inaaminika wanaume 98% wamepiga au wanapiga hii kitu duniani.....na takwimu za sasa zinasema kuwa ndio njia salama kabisa ya kujiridhisha hasa ukiangalia magonjwa lukuki.....mkuu kama ulisoma boys school unafahamu mengi juu ya hii kitu.....Good lucky
 
Masturbation ina madhara ingawa yanaweza kuonekana kuwa sio ya kiafya.

Ukiendekeza sana hutakuwa na hamu ya kukutana na mwanamke kabisa na hata ukikutana naye unakuwa na nguvu kidogo sana ya kujamiiana. Na ukimaliza hicho kimoja ndio mpaka wiki ipite. Na hata kama ukiacha hutakuwa na nguvu kwa muda mrefu kitu ambacho hakitakuletea furaha ya mapenzi na mwanamke.

Ni vema kutofanya kabisa kama inawezekana.
 
Yo Yo,

Mimi siyo Doctor ila I got these through Wikipedia!

Blood pressure
Both sex and masturbation lower blood pressure. A small study has shown that in one test group, recent full intercourse resulted in the lowest average blood pressure in stressful situations. Masturbation then led to lower blood pressure than did no recent sexual activity.

Problems for males
A man whose penis has suffered a blunt trauma or injury during intercourse may rarely sustain a penile fracture or suffer from Peyronie's disease.Phimosis is "a contracted foreskin (that) may cause trouble by hurting when an attempt is made to pull the foreskin back".In these cases, any energetic manipulation of the penis can be problematic.

Lawrence I. Sank thought that masturbating prone (lying face downward) could be responsible for sexual problems in some men including anorgasmia and erectile dysfunction. He based this theory on four men he examined and coined the term traumatic masturbatory syndrome to describe it. As of 2008, no follow-up research has been conducted and the idea is not familiar or widely-held within the medical community. Some authors, however, continue to give it credence.
 
Naona kama napata mchanganyiko wa mawazo, lakini from what i see, it sounds like madhara ni mengi kimtindo, labda niulize, kama unahisi nguvu zako za kiume zinapungua je hakuna dawa ambayo imedhibitishwa inayoweza kusaidia? achilia izi za kibongo Mkuyati na nyingine nyingi ambazo waganga wetu wa kienyeji wa kibongo wanatangaza kila kukicha.
 
Hakuna madhara labda ukiendekeza.
niige mie ambaye huipiga once a month ili tu nipunguze masalia ya nguvu za uume.

Ila ukizoea nasikia hata mbunye unakuwa huitaki tena hivyo elewa kila kitu kina side effects zake. hata chakula ukizidisha utavimbirwa na kujishuzisha kiasi cha kujikera
 
Hili ni pepo kabisa, kama unafanya hivyo,omba Mungu akusaidie uache. ni roho, inaweza ikakaribisha hata roho chafu wenzie, ukajikuta haujakuwa mtu wa kueleweka kabisa. its sin and I rebuke it in the Mighty Name of Jesus Christ. Amin.
 
Mimi nimekuwa nikiichapa masturbation karibia kila siku kwa miaka mitatu na sasa nimepata mchumba na ngono ni tamu kwa kwenda mbele.

Ninauwezo wa kumtwanga zaidi ya nusu saa kabla ya kukukojoa na wote tunaridhika. bao moja linatosha na siku nyingine nachapa jioni/usiku na asubuhi sijaona problem.

Sasa kama ipo mimi sijaona nna mchezo ni mtamu kama kawa.
 
Wataalm wanasema haina madhala yoyote kiafya.

Ila ukizoea sana inapoteza hamu ya tendo la ndoa kwa kiasi fulani because musturbation is fantacy. Pia wanasema musturbation inapuguza hatari ya kupata prostate cancer maana sperms azirundikani pamoja kwa muda mrefu na kuleta madhara ya cancer.
 
madhara ni kuwa sehemu ya uke wa mwanamke ni sehemu laini sana.
ila sehemu ya mkono ya mwanaume ni ngumu yaani hata uipakae sabuni au hata mafuta ya kula haiwezi kufanana na sehemu ile.

so ni wazi kuwa kuna mishipa milaini katika uume hupata madhara kutokana na msuguano mkali toka kwa mkono wako....na mengine meeengi
 
Madhara ni kisaikolojia pale utapowaza kunyegeresha ni kuzuri na kutamu kuliko ku-do natural na mind kutambua hivyo na ndivyo ilivyo. Sasa hii huondoa nafasi halisi ya kufanya kitu asili. Unacheck hiyo imetulia?
 

The Four Biggest Sex Myths

From Glamour

Imagine spending eight hours a day thinking and talking about sex. Thats Debby Herbenicks job as a Ph.D. and sex educator for The Kinsey Institute at Indiana University in Bloomington. One of her most surprising discoveries? How many sexual misconceptions even smart, experienced women still have. Here, Herbenick corrects four major myths that could hurt your sex life.

Myth #1: Men cant fake orgasms

They can and do. In a University of Kansas study, 25 percent of men admitted to faking itsome even did it during oral sex. No, guys cant falsify ejaculation, but they can fake their moans and movements. Why do they? Like women, they are tired, stressed or simply having difficulty climaxing but want their partner to feel good about the experience.

Myth #2: Oral sex is 100% safe

HIV transmission through oral sex is rarebut you can get STDs like oral gonorrhea and herpes. And a new study found that women whove had six or more oral sex partners are more likely to get oral cancer, probably due to infection by human papillomavirus, the virus that causes cervical cancer. Using a condomtry a flavored onecan help protect you.

Myth #3: You cant have sex when youre very, very pregnant

Unless your doctor vetoes it, you can have sex right up until you go into labor. In fact, research has shown that it may lower the risk of preterm delivery. Some women even have their first orgasms while pregnant, perhaps due to changing hormone levels. Positions are key, though: Many pregnant women find spooning and woman-on-top are best.

Myth #4: Women masturbate only when theyre single

Not true! In a recent study, more than 40 percent of women who were living with a partner said theyd masturbated within the last month. And theres a bonus: Women who masturbate often report having more satisfying sex with their guys than women who dont.
Ha ha ha ha ha Just do it!
 
Hii kali kweli kweli, wanawake nao wanafanyaga masturbation? Hao waliolewa nao inakuwaje wanafanya masturbation na wakati wana waume zao?
 
more than 70% ya wanawake hawafiki kileleni! Why? hawajawahi ku-masturbate wakafika kileleni ili wajijue wakishika wapi, na ikiingia vipi ndo wanafika!

Kama mwanamke alianza na limwanaume lisojua shughuli, amabalo kazi yake ni kushindilia tu! then mwana mke anajengeka kuwa ule msisimko wa sex (not climax) ndo utamu wenyewe na inajengeka kichwani, kumbe wapi!
 

Similar Discussions

24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom