Kwa heri Kamanda Philip Magadula Shelembi"- WASIFU UNAOISHI...

apumzike kwa amani. raha ya milele uumpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani. Amina. kwa jina la baba nala mwana na la roho mtakatifu amina.

Sina cha kuongezea nyamungo RIP mpambanaji shelembi
 
the man has not died
he has rested,
if he has died,
he'll still be living on our mind,
cause he stood for something that will live,
to set his people free from bondage of CCM,
and for me "death is better than bondage"
 
Acha ushambenga na uchochezi!! Mwili wa marehemu ulifanyiwa uchunguzi mbele ya viongozi wa Chadema na ndugu zake na matokeo yalitangazwa RFA na vyombo vingine, sasa nani amumua. Kwani ulitaka afe nani? basi ungekufa wewe kama unaona wamemua. @#$%$@@#^&&

Punguza jazba bana mbona unakuwa mshali wewe?aaaaah!
 
RIP Mheshimiwa Mwenyekiti na Mjumbe wa Kudumu wa Baraza Kuu la Chadema. You had your permanent seat in there.

For all of us it is time not to mourn but feel proud fro the life you have led. We will cherish you as a leader and friend. You made many of us believe and trust in unity. You avoided groups but embraced CHADEMA as a family.

You did not loose the election last year. You won it. All and everyone knows it. Even the looser who is representing Shinyanga knows it. One vote? Loosing by one vote? That is not winning. and definately not loosing!

Again, my the angels you are singing with be your friends. R.I.P
 
kwanza nampongeza mwandisha wa makala si tu kwa kuelezea wasifu wa Hayati Shelembi bali kwa kwa kutoa moyo kwa wale wote ambao wamekuwa wakipigania maslahi ya nchi na watanzania kwa ujumla.

Ni kweli,tunapoamua kugombea uongozi ni lazima tufanye kwa manufaa ya nchi na tusitangulize tamaa zetu kwani daima siku tutakapoondoka tutakumbukwa kwa mema na juhudi zetu katika kulikomboa taifa...

R.I.P. Kamanda Shelembi
 
Rest In Peace KAMANDA, Huku mapambano speed ni ile ile! mbegu za kazi uliofanya ndio chachu ya mafanikio kwa wanashinyanga wote. TUTAKUKUMBUKA DAIMA!:A S 39:
 
Binafsi kama mwanaccm natoa pole za dhati kwa familia ya marehemu na Chadema kwa kundokewa na mwanasiasa changamoto kama Shelembi, kwa kupitia wasifu uliotolewa na tathmini ya uchaguzi uliopita inakubalika kuwa ni mwanasiasa aliyekubalika Shinyanga. RIP
 
Back
Top Bottom