Kwaheri JF

xivii09

JF-Expert Member
Feb 9, 2012
265
145
Watu wamekua wakinisumbua sana kwenye simu usiku silali etu tutoke out dahh! kisa JamiiForums ahaa naondoka nimechoka.
 
Wanakuwa wameshikwa na nanihii, wewe ukishikwa na nanihii humpigii mtu simu?
 
  • Thanks
Reactions: awp
KWAHERI .. Aisee bye.. Namba utoe mwenyewe yakuzidi ulie, pombe usiyoijua kwanini uifakamie?
 
Wanadamu mna roho ngumu............ snowhite si ungemfariji tu asiende akabiliane na changamaji za humu??

Ah atupishe bwana!kwani nani alimtuma agawe namba za simu
kuna mtu alimlazimisha ?anatupigia kelele za nini hapa anafikir kila mtu kid mwenzie hapa ala!ye alipotoa namba si manake apigiwe sasa mbona alipokuwa anatoa namba hakutoa tangazo la habari hapa!:A S angry:
 
watu wamekua wakinisumbua sana kwenye simu usiku silali etu tutoke out dahh! kisa jamii forum ahaa naondoka nimechoka

Mkuu shida iko wapi?...mbona tokea umejiunga na JF umekuwa rafiki na watu8 lakini hajawahi kukupigia simu wala kukukera,zaidi hata jinsia yako haitambui.
Jifunze kupuuzia baadhi ya mambo ambayo kwako hayakupunguzii chochote..
Mkuu hata ukiondoka JF bado namba yako ya simu itaendelea kuwepo kwenye simu za hao wanaokusumbua
 
Back
Top Bottom