kwa haya yote ni ndoto kwa bongo kuendelea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa haya yote ni ndoto kwa bongo kuendelea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kakin, May 26, 2011.

 1. k

  kakin Member

  #1
  May 26, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :smow:
  Kwa kweli napenda kuchukua nafasi hii kuwajulisha wanachama wote wa mtandao wa jamii forums yafuatayo katika maisha yetu ya kila siku na mambo yanavoenda pamoja na jamii inayotuzunguka

  Kelele zot za jamii forums ni bure kutokana na haya yafuatayo:-
  1) Tangu nipo mdogo nilijifunza maneno bila vitendo ni kazi bureee kabisa na ndo yanayoendelea hapa sasa kudiscuss mada nyeti na hazifiki mwisho halafu inapotea jumla. Mtandao huu umekuwa wakimbea kama facebook ambapo hata mtu akienda chooni anawajulisha wenzake kwamba yupo chooni.

  2) Jamii nyingi za kitanzania ukitoa jamii za kaskazini nanyanda za juu kusini mwa Tanzania ukiachilia mbali upande wa mangharibi mwa Tanzania maana katika dunia yetu tunamoishi upande wa mangharibi ni upande wa watu werevu kiakili, jamii zinazotoka mikoa ya Mwanza, Kagera, Kilimanjaro, Arusha, Mara, Shinyanga, na nyanda za juu kusini kama Mbeya na iringa kwa upande wa mijini unahusishwa na watu werevu pia.
  Hivyo basi jamii zinazotoka maeneo haya zina watu tofauti na wale wanaotoka mashariki, nyanda za kati na kusini ambako bado wapo kwenye kiza kinene cha kutoelewa na hawata kaa waelewe kama hawatakuwa tayari kuelewa na kubadilika

  3) Nchi hii imeongeza idadi ya wasomi lakini wengi wao ni wasomi hewa wasioelewa tunawaita bora liende na hili ni tatizo kubwa sana Mfano watu wengi wmekuwa wamesoma ila kwa nini hawako tayari kujua elimu ya uraia ambayo ndo msingi wa maendeleo??
  Kujua haki za msingi na wajibu wako ndo chachu ya maendeleo ya mtu mmoja mmoja na maendeleo ya nchi nzima kwa ujumla maana watu wengi sio wawajibikaji

  4) Kwa sasa serikali ipo likizo na kila mtu anafanya analotaka wakati wowote hata kukiukwa kwa haki za raia bado viongozi wa nchi hii wapo kimya inashangaza na hali kama hii inaongeza chuki katika jamii fulani na kufuta hii chuki itachukua miaka mingi sana kwa uelewa wangu

  5) Watanzania wengi ni wajinga, wanafiki na wasio na hulka ya umoja vile vile nadiriki kuwaita wapumbavu kutokana na kuona watu wanaelewa serikali ya CCM inavyowanyanyasa watu hao hao wanabebeshwa kwenye Mafuso katika uchaguzi wa mwaka jana 2010 kila mtu alikua anashangaa nilifatilia kwa karibu sana uchaguzi wa bongo 2010 ingawa nipo mbali na bongo lakini kila mtu aliishia kuona jamii ya kitanzania ilivogubikwa na ulimbukeni, umasikini na ujinga hata ivyo halii hii haita isha maana kwa taarifa yenu ni kwamba CCM wanatuma tekniki ya kuwagawanya na kuwatawala (DIVIDE AND RULE)

  Hayo ni maono yangu binafsi na hali hii ikiendelea kila mtu atafanya analotaka sijui kama Raisi anawashauri imara na wanaoelewa nini cha kufanya maana mpaka sasa sijui maana ya semina elekezi system ya LEZEIS FAIR ni hatari sana jamani amkeni huko bongo huku ughaibuni tunaonekana wote sisi wajinga wawajibisheni hao viongozi kwa kila namna sisi tuko nyuma yenu maana hata huyo JK alikujaga Cape town sema hakuitisha mkutano na wabongo wa huku maana angebanwa na maswali mpaka akimbie na kwa kweli huyu bwana ni bomu hafai na hakuna anaye faa kutoka CCM


   
 2. N

  Nguto JF-Expert Member

  #2
  May 27, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,629
  Likes Received: 599
  Trophy Points: 280
  Jamani hii rangi uliyotumia mbona inaumiza macho!!!!!!!!
   
 3. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #3
  May 27, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Mkuu nitarudi kusoma vizuri baadaye lakini kisa cha mimi kuchukia Debate hata nilipokuwa sekondari ni kuwa tunadiscuss mambo ambayo hayafanyiwi kazi kivyovyote au na yeyote yule. Ndio maana hapa Jf unakuta watu tunaonyesha hisia zetu za kukerwa na serikali lakini finally maisha yanaendelea tu. Ndio maana ukombozi ni mgumu kwetu, unaweza hata ku-initiate maandamano lakini mwishoni ukajikuta pekeyako yaani no solidarity. Oooh damn this country!! Sijui tumelaaniwa ngoja nikajipange vizuri nitarudi baadaye.
   
 4. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #4
  May 27, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Safi hii,pamoja na kwamba akili yako bado ndogo lakini unaonesha machungu na nchi yako.
  nakungongea thanks dogo.
   
 5. fikramakini

  fikramakini JF-Expert Member

  #5
  May 27, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kwa hiyo sisi tutangulie wewe utakuja nyuma mdogomdogo? Kwanini tusiende wote front?
   
 6. Technician

  Technician JF-Expert Member

  #6
  May 27, 2011
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwa taarifa yako taarifa ya kuporomoka kwa chama cha mapinduzi pamoja na mambo mengine imechangiwa na mtandao wa kijamii wa JAMIIFORUM nenda kamuulize Nape na Mukama kama huwajui wagongee HAPA na kama unataka kujua wapambanaji pia unaweza kuwagongea HAPA
   
 7. Ziada Mwana

  Ziada Mwana JF-Expert Member

  #7
  May 27, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 201
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unajua unatakiwa kuongea kitu chenye mantiki, wewe huyo unasema watu wa kusini ni wajinga,wapumbavu si werevu. unasema watu wa kaskazini ni wasomi,werevu na wenye kufikiri,halafu wasomi haohao unawaponda kuwa ni wasomo hewa,pia nao wapumbavu na limbukeni,sasa lengo lako ni nini.huko south uliko ndio unaita ughaibuni,unawaaambia watanzania waiondoe ccm pasipo kujijua kuwa wewe ndio mjinga nambari 1.njoo uanzishe chadema ya kwako uiondoe ccm madarakani.umekelia majungu na fitina tu.
   
Loading...