alexelias
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,032
- 3,198
Nafikiri huruma ya Rais Mwinyi ya kutofuata matakwa ya wengi na kupelekea yeye kufuata ya kwake ni wakati mwafaka sasa ubatilishwe!
Mfumo huu kwanza haukuwa chaguo la wengi.Mfumo huu wa ovyo kabisa kwetu sisi Afrika hauna tija yeyote zaidi ni km jambo fulani linalo zalisha waovu na wasaliti ndani ya nchi zetu.
Mfano mzuri ni hapa Tz. Mfumo huu ni dhahili sasa hauna tija.Badala ya kuwa mfumo zalisha watu wenye maoni mbadala badala yake imekuwa vinginevyo!Washabiki,wanachama na wakereketwa wake wamegeuka kuwa madodoki osha.Kwalo hutumia nili hii kujifaragua na kujibaraguza pasi na haya hasa kwa mambo aibu ndaniye!
Kutetea wezi-wao!
Kuchonganisha-wao!
Uzembe na kushinda vijiweni-wao!
Kulaumu bila ushahidi-wao!
Na mengine mengi.
Watu hawa hawana dira!Wanatapatapa tu na hawana agenda mahsusi sasa!Wamekalia kutaka huruma ya dezo.Wamethubutu hata kushirikiana na madhalimu kuiangamiza nchi bila AIBU!
Shime serikali futilieni mbali madhalimu hayo!Hakuna tija kwetu.