Kwa haya yatetewayo na hivi vyama pinzani ni wakati muafaka kabisa kwa serikali kufutilia mbali mfumo wa vyama vingi

Nafikiri huruma ya Rais Mwinyi ya kutofuata matakwa ya wengi na kupelekea yeye kufuata ya kwake ni wakati mwafaka sasa ubatilishwe!

Mfumo huu kwanza haukuwa chaguo la wengi.Mfumo huu wa ovyo kabisa kwetu sisi Afrika hauna tija yeyote zaidi ni km jambo fulani linalo zalisha waovu na wasaliti ndani ya nchi zetu.

Mfano mzuri ni hapa Tz. Mfumo huu ni dhahili sasa hauna tija.Badala ya kuwa mfumo zalisha watu wenye maoni mbadala badala yake imekuwa vinginevyo!Washabiki,wanachama na wakereketwa wake wamegeuka kuwa madodoki osha.Kwalo hutumia nili hii kujifaragua na kujibaraguza pasi na haya hasa kwa mambo aibu ndaniye!

Kutetea wezi-wao!

Kuchonganisha-wao!

Uzembe na kushinda vijiweni-wao!

Kulaumu bila ushahidi-wao!

Na mengine mengi.

Watu hawa hawana dira!Wanatapatapa tu na hawana agenda mahsusi sasa!Wamekalia kutaka huruma ya dezo.Wamethubutu hata kushirikiana na madhalimu kuiangamiza nchi bila AIBU!

Shime serikali futilieni mbali madhalimu hayo!Hakuna tija kwetu.
5882ba4e52bbf66ec394949c170b547c.jpg
 
Nimesoma huo mstari tu, ikabidi niishie hapo hapo maana kwa akili hizi naisikitikia nchi yangu.
 
Avater yako inamuaibisha OBAMA.
 
Tafuta nchi yako then uwe na chama kimoja...dunia hii ni ya vyama vingi.bila upinzani tungejuaje kuna watu walipanda ndege wakaenda uingereza kusaini mikataba ya hovyo.?wanaoita watu malofa ndo unaowaona wa maana xana?
 
Mfumo huu kwanza haukuwa chaguo la wengi.Mfumo huu wa ovyo kabisa kwetu sisi Afrika hauna tija yeyote zaidi ni km jambo fulani linalo zalisha waovu na wasaliti ndani ya nchi zetu.

Shime serikali futilieni mbali madhalimu hayo!Hakuna tija kwetu.
Kwa vile vyama vingi vipo kisheria, then nashauri viachwe tuu, ila ruzuku ndio ifutwe, maana huu ni ufisadi tuu kama ufisadi mwingine wowote, kama nilivyoshauri hapa,
Ruzuku kwa vyama vya Siasa: Mnaonaje tumshauri Rais ...

P.
 
Back
Top Bottom