Kwa haya yatetewayo na hivi vyama pinzani ni wakati muafaka kabisa kwa serikali kufutilia mbali mfumo wa vyama vingi

alexelias

alexelias

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Messages
1,582
Likes
2,104
Points
280
alexelias

alexelias

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2017
1,582 2,104 280
Nafikiri huruma ya Rais Mwinyi ya kutofuata matakwa ya wengi na kupelekea yeye kufuata ya kwake ni wakati mwafaka sasa ubatilishwe!

Mfumo huu kwanza haukuwa chaguo la wengi.Mfumo huu wa ovyo kabisa kwetu sisi Afrika hauna tija yeyote zaidi ni km jambo fulani linalo zalisha waovu na wasaliti ndani ya nchi zetu.

Mfano mzuri ni hapa Tz. Mfumo huu ni dhahili sasa hauna tija.Badala ya kuwa mfumo zalisha watu wenye maoni mbadala badala yake imekuwa vinginevyo!Washabiki,wanachama na wakereketwa wake wamegeuka kuwa madodoki osha.Kwalo hutumia nili hii kujifaragua na kujibaraguza pasi na haya hasa kwa mambo aibu ndaniye!

Kutetea wezi-wao!

Kuchonganisha-wao!

Uzembe na kushinda vijiweni-wao!

Kulaumu bila ushahidi-wao!

Na mengine mengi.

Watu hawa hawana dira!Wanatapatapa tu na hawana agenda mahsusi sasa!Wamekalia kutaka huruma ya dezo.Wamethubutu hata kushirikiana na madhalimu kuiangamiza nchi bila AIBU!

Shime serikali futilieni mbali madhalimu hayo!Hakuna tija kwetu.
 
R

r2ga

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Messages
663
Likes
514
Points
180
R

r2ga

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2012
663 514 180
Kabisa mkuu,yani wao ndio wamewafuga miaka yote pasipokuona makosa yao,kama waliona hawakuchukua hatua hadi walipoamia CCJ.Tuendelee na UNAFIKI huo huo mkuu.
 
alexelias

alexelias

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Messages
1,582
Likes
2,104
Points
280
alexelias

alexelias

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2017
1,582 2,104 280
Mleta uzi bila sera ya vyama vingi ni lini tungejua tunadaiwa hadi ndege yetu kuzuiwa kule Canada?
Tofautisha kati ya hakiyo ya kupewa taarifa na wale wasaliti wastahiliao kifo kushirikiana na wazungu kuihujumu nchi!
 
Tetty

Tetty

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Messages
26,399
Likes
17,621
Points
280
Tetty

Tetty

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2012
26,399 17,621 280

Ukisema hivyo itakuwa sahihi tukianza na wale waliouza RASLIMALI zetu kwa wazungu kuanzia na Marais wa awamu ya Pili hadi ya TANO.

Je aliyenunua kivuko kibovu alistahili kuwa RAIS??Je aliyeruhusu Escrow,Lugumi,Richmond,uuzaji wa mashirika ya umma,madini,gas na mengineyo hawa wanastahili kuendelea kulipwa POSHO za kustaafu??

Ukitaka kuwa mkweli amua kunawa kabisa,ujitoe kabisa usione haya kuyasemea maovu na usione haya kumsema hata kama ni mwenyekiti wako wa CCM whether alikuwa au yu bado Mwenyekiti.Ukiamua kuiita "SPADE'A SPADE ita moja kwa moja usibabaike.
 
Ndg,kwa mjibu wa Nassari na Lema Nyalandu ni fisadi na ni moja ya mawaziri waliotumia madaraka yao vibaya-leo hao hao wanamsifu kwa nyimbo na mapambio.Nisaidie kuwaamini tena!

Kuhusu yote uliyoanisha ktk hili andiko lako hata mm sina tatizo kwalo.Shida hapa ni wale waliopata kutuamisha hayo eti leo ndiyo watetea wale tena-how?!

Je,huo undumilakuwili ni wa nini hasa?!
 
P

PAPAKINYI - SJUT 2013

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Messages
367
Likes
250
Points
60
P

PAPAKINYI - SJUT 2013

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2017
367 250 60
Nafikiri huruma ya Rais Mwinyi ya kutofuata matakwa ya wengi na kupelekea yeye kufuata ya kwake ni wakati mwafaka sasa ubatilishwe!

Mfumo huu kwanza haukuwa chaguo la wengi.Mfumo huu wa ovyo kabisa kwetu sisi Afrika hauna tija yeyote zaidi ni km jambo fulani linalo zalisha waovu na wasaliti ndani ya nchi zetu.

Mfano mzuri ni hapa Tz. Mfumo huu ni dhahili sasa hauna tija.Badala ya kuwa mfumo zalisha watu wenye maoni mbadala badala yake imekuwa vinginevyo!Washabiki,wanachama na wakereketwa wake wamegeuka kuwa madodoki osha.Kwalo hutumia nili hii kujifaragua na kujibaraguza pasi na haya hasa kwa mambo aibu ndaniye!

Kutetea wezi-wao!

Kuchonganisha-wao!

Uzembe na kushinda vijiweni-wao!

Kulaumu bila ushahidi-wao!

Na mengine mengi.

Watu hawa hawana dira!Wanatapatapa tu na hawana agenda mahsusi sasa!Wamekalia kutaka huruma ya dezo.Wamethubutu hata kushirikiana na madhalimu kuiangamiza nchi bila AIBU!

Shime serikali futilieni mbali madhalimu hayo!Hakuna tija kwetu.
word!!
 
pocha2

pocha2

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Messages
864
Likes
281
Points
80
pocha2

pocha2

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2014
864 281 80

atakayeathirika ni wewe au watoto wako, usifikilie leo tu
 
Innobwoy

Innobwoy

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Messages
980
Likes
193
Points
60
Innobwoy

Innobwoy

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2010
980 193 60
Tofautisha kati ya hakiyo ya kupewa taarifa na wale wasaliti wastahiliao kifo kushirikiana na wazungu kuihujumu nchi!
Ni kweli wale waliosainia mkataba hotelini na wale walioshirikiana na wazungu kuwafukia watanzania wenzetu pale Geita ili kumpisha mwekezaji
 
Tetty

Tetty

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2012
Messages
26,399
Likes
17,621
Points
280
Tetty

Tetty

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2012
26,399 17,621 280
Ndg,kwa mjibu wa Nassari na Lema Nyalandu ni fisadi na ni moja ya mawaziri waliotumia madaraka yao vibaya-leo hao hao wanamsifu kwa nyimbo na mapambio.Nisaidie kuwaamini tena!

Kuhusu yote uliyoanisha ktk hili andiko lako hata mm sina tatizo kwalo.Shida hapa ni wale waliopata kutuamisha hayo eti leo ndiyo watetea wale tena-how?!

Je,huo undumilakuwili ni wa nini hasa?!
Ukimsoma between the lines Nyalandu anaonyesha alikuwa investigated na CAG,tujiulize kama ripoti ya CAG ilipelekwa kunakohusikana??Na kama alifanyiwa Je,Nassari and company walipata majibu??

Simtetei Nassary wala Nyalandu,wote hawa wanamakosa yao kwenye nafasi zao,ninailaumu serikali baada ya Nyalandu kunyooshewa vidole kwanini hawakumshtaki au kumuondolea Ubunge kwa kosa la kutumia MADARAKA yake vibaya??

Je nyuma ya MAOVU aliyofanya Nyalandu let say ameyafanya yote yanayozungumzwa yupo nani??Waendesha sinema wanaiita 'Behind the Scene"

Tusipende kushangilia sana,bali tupende kuona haki ikitendeka.Haki kwa Taifa na watanzania.Mimi kama mimi nimechoka na hizi kelele za FISADI akiwa CCM akitoka si FISADI kwa upinzani lakini FISADI kwa Chama Tawala.Tunahitaji pale upinzani unaposema 'A' ni FISADI basi hatua za kumchunguza na kumclear zifanyike haraka sana.

Lakini kwanini inashidikana??Kwa sababu nyumba NYEUPE ndiyo ipo nyuma ya pazia.
 
M

mloki

Senior Member
Joined
Jun 5, 2017
Messages
182
Likes
63
Points
45
M

mloki

Senior Member
Joined Jun 5, 2017
182 63 45
Kweli huo ndio ukweli mwiji Alikuwa na huluma
 
God'sBeliever

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Messages
5,863
Likes
2,625
Points
280
God'sBeliever

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2015
5,863 2,625 280
Unatamani makubwa ila utayasikia tuu. Wahusika wanaulinda kufa na kupona huu mfumo ili waendelee kuikomba nchi halaf ww unasema nn
 
Bila bila

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Messages
6,113
Likes
8,759
Points
280
Age
40
Bila bila

Bila bila

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2016
6,113 8,759 280
Ukimsoma between the lines Nyalandu anaonyesha alikuwa investigated na CAG,tujiulize kama ripoti ya CAG ilipelekwa kunakohusikana??Na kama alifanyiwa Je,Nassari and company walipata majibu??

Simtetei Nassary wala Nyalandu,wote hawa wanamakosa yao kwenye nafasi zao,ninailaumu serikali baada ya Nyalandu kunyooshewa vidole kwanini hawakumshtaki au kumuondolea Ubunge kwa kosa la kutumia MADARAKA yake vibaya??

Je nyuma ya MAOVU aliyofanya Nyalandu let say ameyafanya yote yanayozungumzwa yupo nani??Waendesha sinema wanaiita 'Behind the Scene"

Tusipende kushangilia sana,bali tupende kuona haki ikitendeka.Haki kwa Taifa na watanzania.Mimi kama mimi nimechoka na hizi kelele za FISADI akiwa CCM akitoka si FISADI kwa upinzani lakini FISADI kwa Chama Tawala.Tunahitaji pale upinzani unaposema 'A' ni FISADI basi hatua za kumchunguza na kumclear zifanyike haraka sana.

Lakini kwanini inashidikana??Kwa sababu nyumba NYEUPE ndiyo ipo nyuma ya pazia.
Unahangaika bure kumwelimisha asiyeelewa. Mnyeti kasemwa na video imetolewa kama ushahidi, matokeo yake kamanda Wa Meli ya kijeshi MV Dsm kamzawadia Ukuu Wa mkoa.
 
nusuhela

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Messages
3,981
Likes
3,931
Points
280
nusuhela

nusuhela

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2014
3,981 3,931 280
Ndg,kwa mjibu wa Nassari na Lema Nyalandu ni fisadi na ni moja ya mawaziri waliotumia madaraka yao vibaya-leo hao hao wanamsifu kwa nyimbo na mapambio.Nisaidie kuwaamini tena!

Kuhusu yote uliyoanisha ktk hili andiko lako hata mm sina tatizo kwalo.Shida hapa ni wale waliopata kutuamisha hayo eti leo ndiyo watetea wale tena-how?!

Je,huo undumilakuwili ni wa nini hasa?!
Tangu lini mlianza kuwaunga mkono wapinzani?

Mbona iko wazi. Wakisema mnawaita waroppkaji. Wakiwachukua watu wenu, mnawaita genge la mafisadi!!!

Basi ccm ni chuo na sehemu ya kufanyia kazi mafisadi. maana hao mafisadi walifisadi wakiwa huko
 
Naby Keita

Naby Keita

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Messages
2,861
Likes
932
Points
280
Naby Keita

Naby Keita

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2011
2,861 932 280
Kweli kabisa turudi kwenye chama kimoja tu ieleweke kuliko mazingaombwe tunayojionea sasa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2006
Messages
12,659
Likes
5,190
Points
280
MWALLA

MWALLA

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2006
12,659 5,190 280
Nafikiri huruma ya Rais Mwinyi ya kutofuata matakwa ya wengi na kupelekea yeye kufuata ya kwake ni wakati mwafaka sasa ubatilishwe!

Mfumo huu kwanza haukuwa chaguo la wengi.Mfumo huu wa ovyo kabisa kwetu sisi Afrika hauna tija yeyote zaidi ni km jambo fulani linalo zalisha waovu na wasaliti ndani ya nchi zetu.

Mfano mzuri ni hapa Tz. Mfumo huu ni dhahili sasa hauna tija.Badala ya kuwa mfumo zalisha watu wenye maoni mbadala badala yake imekuwa vinginevyo!Washabiki,wanachama na wakereketwa wake wamegeuka kuwa madodoki osha.Kwalo hutumia nili hii kujifaragua na kujibaraguza pasi na haya hasa kwa mambo aibu ndaniye!

Kutetea wezi-wao!

Kuchonganisha-wao!

Uzembe na kushinda vijiweni-wao!

Kulaumu bila ushahidi-wao!

Na mengine mengi.

Watu hawa hawana dira!Wanatapatapa tu na hawana agenda mahsusi sasa!Wamekalia kutaka huruma ya dezo.Wamethubutu hata kushirikiana na madhalimu kuiangamiza nchi bila AIBU!

Shime serikali futilieni mbali madhalimu hayo!Hakuna tija kwetu.
Kwakauli hizi ni ishara tosha kuwa ccm hali si shwari na hii ni faraja kwa upande ulee kusikia wanalumumba wanalialia ili kuomba maumivu yapunguzwe
 
Forum statistics

Threads 1,249,431
Members 480,660
Posts 29,698,250