Kwa haya ya kununua umeme toka Ethiopia na Ethiopia kutumia bandari ya Dar es Salaam, nasema hapana

Jana nilimsikiliza Ndugu rais akielezea wachoongea na waziri mkuu wa ethiopia.ikiwa nipamoja na Tanzania kununua umeme kutoka ethiopia kwa minajili ya kwamba bei yao ni nafuu.kwa hili hatakama wangekuwa wanatoa bure siyo kitu cha sisi kama watanzania kufurahi.kikubwa ni sisi tuanza kuzalisha umeme wetu unaotokana na mazingira yetu na kuuza kwa wateja kwa bei rahisi.kwanini wao wwamewezakwa hili hapana aisee.tujijenge uwezo wetu bwana.siku nyaya hizi zitakazo pitia kenya zikakatwa iitakuwaje
Pia from Tz to Ethiopia ni mbali aisee.labda kuna technologia ya wireless.

Suala la pili ni hili la ethiopia kwa kuwa ni landlocked country eti inampango wa kutumia bandari ya Dar. Hivi kweli from ethiopia to Eritrea, Djiboutsomalia Egypt and Kenya. Despite ya usalama wa nchi husika.

Je nikweli kuna feasibilty ya jambo hili la Addis Abbaba kupokea mizigo yake kutokea Dar es salaam.

Sometime tuache akili zetu zitafakari bila la kuathiriwa na ukada au unazi wa vyama fulani
Mazombi wa lumumba akili zao zimekwisha kabisa
 
Cargo planes hao Ethiopia wanaagiza stationary tu peke yake? Wanadevelop project ya Lapset na Kenya kujenga bandari ya Kimataifa Lamu, Kenya, hata Mombasa tu kwao ni mbali wanatumia Djibouti, Dar wapi na wapi. Hatuko hapa kubishana so usitafute uhalali wa kila tamko la viongozi hawa, angalia uhalisia kama mfanyabiashara na mwekezaji nchini Ethiopia, na angalia harakati gani zinafanywa na serikali yao Kuweka mazingira ya kukuza biashara na uchumi wao kwa kushusha gharama za usafirishaji n.K cargo plane inabeba maziwa,nyama, maua,samaki etc na hivi vyote vinapatikana Kenya kiurahisi kuliko hapa

Haya ndiyo nayasema hapa mara nyingi tu, kwamba baadhi ya Watanzania wanapenda penda sana kukosoa kosoa Serikali ya JPJM, mnasema sema tu bila ya kufanya tafiti kwanza, hivi wewe unajua uhusiano baina ya Ethiopia na Kenya hukoje? Mara ngapi wanajeshi/Polisi wa Kenya na Ethiopia wanapigana/shambuliana kwa silaha za moto mipakani, je, wewe hilo unalijua au?

We unafikiri Waziri Mkuu wa Ethiopia kakurupuka tu kwa kutoa tamko la kuwa karibu na Serikali yetu, Waziri Mkuu kataja sekta zote walizo kubaliana kushirikiana, sasa nyinyi ni kitu gani kinawafanya mdhani mafanikio ya kiuchumi ya Ethiopia hayawezi kuwa replicated hapa kwetu tukishirikiana nao kwa karibu, hapa wewe unakubali kwamba Ethiopia imeshusha gharama za usafirishaji wa cargo kwa kutumia usafiri wa anga, sasa ni kitu gani kinawafanya mfikiri Ethiopia haitafanikiwa kibiashara ikijenga Depot yao kubwa ya mizigo hapa DAR ikatumika kama HUB ya kuhudumia majirani zetu, yaani waswahili wa hapa kwetu ndiyo mjifanye you’re more knowledgable katika masuala ya biashara ya usafirishaji mizigo/abiria kwa njia ya anga kuliko wa Habeshi wenyewe?? Ubishi na dharau zenu vina shangaza sana!! Mnawezaje kubishana na Serikali ya Ethiopia iliyo fanya tafiti za kutosha na kujiridhisha kwamba Dar imekaa vizuri katika strategic plan zao za kuifanya iwe HUB to cater for Eastern,Central na Southern Africa – Wahabeshi wanaona mbali hawapotezi muda wao kwenye masuala ya ushabeki wa kisiasa.

Kitu kingine, nakushauri ujaribu ku-revisit latest Development ya Project ya Lapset alafu urudi hapa jamvini utupatie feedback, kama kweli Project hiyo ina matumaini yoyote ya kutia moyo.

Niliyo eleza mwanzoni ni kama pre-amble, nikiwa na lengo la kuwashauri Watanzania wenzangu kwa mara nyingine tena, kwamba tuachane na tabia inayoanza kuota mizizi ya kuchukulia kila kitu kinacho fafanuliwa/tendwa na Serikali ya awamu ya tano kina walakini, hakuna kitu +ve mnacho zungumza kuhusu juhudi ya JPJM na washauri wake - amefanya mambo mangapi ya kujivunia ndani ya mwaka mmoja wa uongozi wake - mengi tu, sasa mnashindwa nini kuamini au kuchukulia seriously makubaliano ya Waziri Mkuu wa Ethiopia na Rais Magufuli - ina maana sisi watu baki tuna akili zaidi na weledi mkubwa kuliko Viongozi hao wawili na washauri wao? - tell ME!! Hakuna anaye wakataza kutoa maoni yenu lakini siyo kupinga pinga kila kitu wakati mwingine na kejeli juu, mtu anakuja na hoja eti mbona Ethiopia hiko mbali sana na Tanzania tunawezaje kushirikiana nao kwa karibu kibiashara/kiuchumi, ukiwauliza na Uchina je, hipo umbali gani kutoka Tanzania – hupati jibu.

Hapa chini nimebandika tena majibu yangu ambayo yalikuwa geared for skeptic mwenzako ambaye hana imani na kauli/mikakati/mipango/mafanikio ya awamu ya tano:

M'bang'ang'walu said:

Kwani hiyo mizigo itakuwa inazalishwa hapa TZ? Yaani mizigo itoke huko itokako, ibebwe kwa meli mpaka TZ, Kisha ibebwe kwa ndege tena mpaka Ethiopia. Akili hiyo hata mtoto wa chekechea hawezi kuwa nayo. Hivi unajua gharama za kusafirisha mizigo kwa njia ya anga zikoje? Watu wasingekuwa wanatumia muda mrefu kwa kutumia usafiri mwingine. Jiulize kwa nini hao Ethiopia wasitumie ndege kubeba hiyo mizigo kutoka huko itokako. Halafu mizigo mingi ni ya watu na makampuni binafsi, kwa serikali haiwezi kuwalazimisha watu washushie mizigo yao Tanzania

Jibu langu kwa M'bang'ang'walu hili hapa:

Mambo mengine tujaribu kuchangamsha akili zetu kidogo kwa ku-analyse mambo in 3Ds, unawezaje ku-equate akili za Waziri Mkuu wa Ethiopia na Rais wetu pamoja na washauri wao kwamba akili zao hazina tofauti na za watoto wa chekechea - hizi dharau aziwezi kutufikisha popote, our leaders knows wanacho kitaka/ kifanya kwa maslahi ya Taifa letu - wajibu wetu ni kuwatia moyo na siyo kuwa bezabeza!!!

Tatizo la baadhi yetu ni obsession ya kukosoa kosoa everything 'Magufuli' sijui hii inatokana na chuki binafsi au nini, hawana time ya ku-analyse mambo wakiwa na akili zilizo tulizana - mihemuko tu masaa yote.

FYI wa Ethiopia watajenga depot ya mizigo yao hapa Dar, kuhusu Mizigo itapatikana wapi na kwa nini wamefikia hatua ya kuhamua kufanya hivyo hayo sisi hayatuhusu, Wahabeshi wana uzoefu wa muda mrefu katika masuala ya usafirishaji kwa nja ya anga, Watanzania tuna wajibu wa kushukuru ujio wao ambao uta create employment, Serikali italipwa kodi na Dar itakuwa HUB ya kusafirisha mizigo kwenda kwa nchi zinazo tuzunguka and beyond, hii ni catalyst tosha ya kuinua Economy ya Taifa letu, potential benefits zote hizo wala nyinyi hamzaoni!!
 
Huu ni uongo mkubwa sana!Geographical position ya Ethiopia hawezi ku allow waje kutumia bandari ya TZ!
Kwa nn wasitumie Djibout au Mombasa au hata Sudan ambapo ni pafupi sana?
Mbona Rais alituambia TZ itaanza kuuza umeme nchi za jirani soon?

Maybe tutakuwa madalali.tunanunua wa ethiopia then tunauuza congo kwa bei ya juu.
Matumuzi ya bandari hapo ndipo hapawezekani kabisa.
 
Broo siyo kila kitu napinga.namkubali sana Magufuli kwa mambo mengi.lakini kwa hili limekaa kienyeji zaidi.kuhusu lapset ya LAMU. mbona hiyo project iko active na ikumbukwa hata wahabeshi hawa waliarikwa kwenye kuweka jiwe la msingi?
 
Jana nilimsikiliza Ndugu rais akielezea wachoongea na waziri mkuu wa ethiopia.ikiwa nipamoja na Tanzania kununua umeme kutoka ethiopia kwa minajili ya kwamba bei yao ni nafuu.kwa hili hatakama wangekuwa wanatoa bure siyo kitu cha sisi kama watanzania kufurahi.kikubwa ni sisi tuanza kuzalisha umeme wetu unaotokana na mazingira yetu na kuuza kwa wateja kwa bei rahisi.kwanini wao wwamewezakwa hili hapana aisee.tujijenge uwezo wetu bwana.siku nyaya hizi zitakazo pitia kenya zikakatwa iitakuwaje
Pia from Tz to Ethiopia ni mbali aisee.labda kuna technologia ya wireless.

Suala la pili ni hili la ethiopia kwa kuwa ni landlocked country eti inampango wa kutumia bandari ya Dar. Hivi kweli from ethiopia to Eritrea, Djiboutsomalia Egypt and Kenya. Despite ya usalama wa nchi husika.

Je nikweli kuna feasibilty ya jambo hili la Addis Abbaba kupokea mizigo yake kutokea Dar es salaam.

Sometime tuache akili zetu zitafakari bila la kuathiriwa na ukada au unazi wa vyama fulani
 
Vitu vingine siyo vya kusema nje.hasa ukiangalia uhalisia wa jambo lenyewe kama mtanzania uliye na upeo japo wa kusoma kuandika na kuhesabu.
Kweli sisi tuuziwe umeme toka mbali kule ethiopia?
mbona mnanunua bidhaa nyingi kutoka mataifa ya mbali kabisa...wenyewe wameamua wewe subiri kuona utekelezaji.
 
Rais Magufuli yupo sahihi. Umeme wa Ethiopi utaingizwa kwenye 'grid' ya Kenya kupitia East Africa Power Pool. Kuna 'Power transmission line' inajengwa ya 500kV yenye uwezo wa kupitisha 2,000MW kati ya Kenya na Ethiopia kwani hawa wana ziada kubwa ya umeme hivyo wanauuza. Ethiopia watawauzia pia Rwanda na Burundi.
Ethiopi wataitumia Bandari ya Dar Es Salaam kupitisha mizigo yao kwani Ethiopian Airline inafungua 'Cargo Hub' Dar Es salaam hivyo wakishapokea mizigo itasafirishwa kwa ndege.
 
Haya ndiyo nayasema hapa mara nyingi tu, kwamba baadhi ya Watanzania wanapenda penda sana kukosoa kosoa Serikali ya JPJM, mnasema sema tu bila ya kufanya tafiti kwanza, hivi wewe unajua uhusiano baina ya Ethiopia na Kenya hukoje? Mara ngapi wanajeshi/Polisi wa Kenya na Ethiopia wanapigana/shambuliana kwa silaha za moto mipakani, je, wewe hilo unalijua au?

We unafikiri Waziri Mkuu wa Ethiopia kakurupuka tu kwa kutoa tamko la kuwa karibu na Serikali yetu, Waziri Mkuu kataja sekta zote walizo kubaliana kushirikiana, sasa nyinyi ni kitu gani kinawafanya mdhani mafanikio ya kiuchumi ya Ethiopia hayawezi kuwa replicated hapa kwetu tukishirikiana nao kwa karibu, hapa wewe unakubali kwamba Ethiopia imeshusha gharama za usafirishaji wa cargo kwa kutumia usafiri wa anga, sasa ni kitu gani kinawafanya mfikiri Ethiopia haitafanikiwa kibiashara ikijenga Depot yao kubwa ya mizigo hapa DAR ikatumika kama HUB ya kuhudumia majirani zetu, yaani waswahili wa hapa kwetu ndiyo mjifanye you’re more knowledgable katika masuala ya biashara ya usafirishaji mizigo/abiria kwa njia ya anga kuliko wa Habeshi wenyewe?? Ubishi na dharau zenu vina shangaza sana!! Mnawezaje kubishana na Serikali ya Ethiopia iliyo fanya tafiti za kutosha na kujiridhisha kwamba Dar imekaa vizuri katika strategic plan zao za kuifanya iwe HUB to cater for Eastern,Central na Southern Africa – Wahabeshi wanaona mbali hawapotezi muda wao kwenye masuala ya ushabeki wa kisiasa.

Kitu kingine, nakushauri ujaribu ku-revisit latest Development ya Project ya Lapset alafu urudi hapa jamvini utupatie feedback, kama kweli Project hiyo ina matumaini yoyote ya kutia moyo.

Niliyo eleza mwanzoni ni kama pre-amble, nikiwa na lengo la kuwashauri Watanzania wenzangu kwa mara nyingine tena, kwamba tuachane na tabia inayoanza kuota mizizi ya kuchukulia kila kitu kinacho fafanuliwa/tendwa na Serikali ya awamu ya tano kina walakini, hakuna kitu +ve mnacho zungumza kuhusu juhudi ya JPJM na washauri wake - amefanya mambo mangapi ya kujivunia ndani ya mwaka mmoja wa uongozi wake - mengi tu, sasa mnashindwa nini kuamini au kuchukulia seriously makubaliano ya Waziri Mkuu wa Ethiopia na Rais Magufuli - ina maana sisi watu baki tuna akili zaidi na weledi mkubwa kuliko Viongozi hao wawili na washauri wao? - tell ME!! Hakuna anaye wakataza kutoa maoni yenu lakini siyo kupinga pinga kila kitu wakati mwingine na kejeli juu, mtu anakuja na hoja eti mbona Ethiopia hiko mbali sana na Tanzania tunawezaje kushirikiana nao kwa karibu kibiashara/kiuchumi, ukiwauliza na Uchina je, hipo umbali gani kutoka Tanzania – hupati jibu.

Hapa chini nimebandika tena majibu yangu ambayo yalikuwa geared for skeptic mwenzako ambaye hana imani na kauli/mikakati/mipango/mafanikio ya awamu ya tano:

M'bang'ang'walu said:

Kwani hiyo mizigo itakuwa inazalishwa hapa TZ? Yaani mizigo itoke huko itokako, ibebwe kwa meli mpaka TZ, Kisha ibebwe kwa ndege tena mpaka Ethiopia. Akili hiyo hata mtoto wa chekechea hawezi kuwa nayo. Hivi unajua gharama za kusafirisha mizigo kwa njia ya anga zikoje? Watu wasingekuwa wanatumia muda mrefu kwa kutumia usafiri mwingine. Jiulize kwa nini hao Ethiopia wasitumie ndege kubeba hiyo mizigo kutoka huko itokako. Halafu mizigo mingi ni ya watu na makampuni binafsi, kwa serikali haiwezi kuwalazimisha watu washushie mizigo yao Tanzania

Jibu langu kwa M'bang'ang'walu hili hapa:

Mambo mengine tujaribu kuchangamsha akili zetu kidogo kwa ku-analyse mambo in 3Ds, unawezaje ku-equate akili za Waziri Mkuu wa Ethiopia na Rais wetu pamoja na washauri wao kwamba akili zao hazina tofauti na za watoto wa chekechea - hizi dharau aziwezi kutufikisha popote, our leaders knows wanacho kitaka/ kifanya kwa maslahi ya Taifa letu - wajibu wetu ni kuwatia moyo na siyo kuwa bezabeza!!!

Tatizo la baadhi yetu ni obsession ya kukosoa kosoa everything 'Magufuli' sijui hii inatokana na chuki binafsi au nini, hawana time ya ku-analyse mambo wakiwa na akili zilizo tulizana - mihemuko tu masaa yote.

FYI wa Ethiopia watajenga depot ya mizigo yao hapa Dar, kuhusu Mizigo itapatikana wapi na kwa nini wamefikia hatua ya kuhamua kufanya hivyo hayo sisi hayatuhusu, Wahabeshi wana uzoefu wa muda mrefu katika masuala ya usafirishaji kwa nja ya anga, Watanzania tuna wajibu wa kushukuru ujio wao ambao uta create employment, Serikali italipwa kodi na Dar itakuwa HUB ya kusafirisha mizigo kwenda kwa nchi zinazo tuzunguka and beyond, hii ni catalyst tosha ya kuinua Economy ya Taifa letu, potential benefits zote hizo wala nyinyi hamzaoni!!

Mimi nikiongea hapa Najua naongea nini chief usinifananishe na hao unaibishana Mara nyingi humu.
Kenya na Ethiopia hawana tatizo lolote kihistoria, kisiasa, wala kijamii, actually wana interest zinazoshabiiana za tatizo la Somalia ambapo wote kwa nyakati tofauti wamepeleka majeshi kujaribu stabilize Somalia. Kwa hiyo wana strategic interest ya kiusalama na kama wote ni wanachama wa IGAD na mataifa mawili yenye uchumi mkubwa eneo hili hawana economic conflict ya aina yeyote, ukuaji wa Ethiopia ni mzuri kwa Kenya na economically and political stable Kenya ni nzuri kwa Ethiopia. Lile skirmishes za wanajamii wanaogombania meagre resources kwenye border ni Vitu vidogo kwenye level ya chini na siyo tatizo la kitaifa upande wowote.
Lapset kufeli au kutokufeli Kwake ni kawaida ya project kubwa zinazohitaji mitaji mikubwa kwa nchi zisizo na uwezo mkubwa Sana kifedha au kitaalam, na hizi project ziko nyingi Africa na hata hii unayoitetea wewe hapa ya Ethiopia kutumika bandari ya Dar kwa mizigo yake ipo katika fungu hili hili la kushindwa kufika utekelezaji na kuongea kwenye round table za kisiasa.
Naona umeenda mbali katika utetezi wako na kuanza kubadilisha premises na kusema in line of Ethiopia inataka kutumia bandari yetu kama hub ya wao kusafirisha mizigo east and central Africa na siyo kama wenyewe as primary users..good luck with that.
Ukweli unabaki pale pale kua kwa Ethiopia kutumika bandari ya dar kwa mizigo yake siyo efficient, its possible kwa kutumia ndege au kuunganisha sgr network ya East Africa Ila siyo kama Hali ilivyo.
Na upuuzi wako wa kusema waliopo serikalini wana akili Sana kuliko wasiokua huko acha ushamba na upuuzi. Juzi nimesoma gazeti neutral tu kua ATCL sasa wanataka business plan baada ya kununua ndege zile. Na kama hao serikalini wangekua na akili Sana tungekua mbali kama taifa
 
Rais Magufuli yupo sahihi. Umeme wa Ethiopi utaingizwa kwenye 'grid' ya Kenya kupitia East Africa Power Pool. Kuna 'Power transmission line' inajengwa ya 500kV yenye uwezo wa kupitisha 2,000MW kati ya Kenya na Ethiopia kwani hawa wana ziada kubwa ya umeme hivyo wanauuza. Ethiopia watawauzia pia Rwanda na Burundi.
Ethiopi wataitumia Bandari ya Dar Es Salaam kupitisha mizigo yao kwani Ethiopian Airline inafungua 'Cargo Hub' Dar Es salaam hivyo wakishapokea mizigo itasafirishwa kwa ndege.

Mnachoshindwa kueleza ni kwamba hiyo cargo hub au depot itakua kwa ajili ya mizigo ya Ethiopian airlines kwa wateja wake wote haswa mashariki na kusini mwa Africa kwa sababu hapa kuna kanafasi kwa kua hatuna effective national airline kama Kenya kwa mfano. Na hapa hatujapiga mahesabu hii sub sector ya usafirishaji anga ina ukubwa gani nchi zetu za Africa na kama hiyo cargo itakayopita bandarini itatunufaisha ipasavyo kama baadhi mnavyosgangilia. Kumbuka nchi za Africa nyingi zako kwenye stage ya importation of heavy au bulky capital goods kwa ujenzi wa uchumi wao. Sioni ufanisi na faida za Hali ya juu kwetu kupitisha non bulky, light goods ili zisafirishwe kwa ndege na Ethiopian airline au hawa Ethiopia wanataka kuchukua na usafiri wa magari sasa kabisa? Ninavyojua Mimi mizigo ya kupokelewa bandarini na kurushwa kwa ndege ni michache mno na haina tija kubwa kwa ufanisi wa bandari zaidi ya Ethiopian airline kupata strategic location ya kukua zaidi kama one of the best airlines in Africa.
 
Back
Top Bottom