M'bang'ang'walu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 631
- 436
Inaonyesha kabla viroba havijapigwa marufuku ulikuwa umejiwekea akiba ya kutosha. Hivi unalinganishaje gharama ya kusafirisha mizigo na kuunganishwa umeme kutoka sehemu moja mpaka nyingine?Achana na hao vibaraka wa wazungu mtambo wa umeme wa Richmond ukibebwa toka marekani kilomita zaidi ya laki moja kuja kutuibia hapa wanaona sawa lakinikulete umeme toka Ethiopia kilometa zisizozidi 5000 sio sawa. Mkuu hao wanaopinga ni vibaka na mawakili wa vibaka usipoteze nao muda
Mwambie Magufuli sasa zile ndege zitakazokuwa zinabeba mizigo ya Ethiopia kutoka bandari ya Dar ndizo hizohizo zitumike kusafirisha umeme kutoka Ethiopia kuja Tanzania