Kwa haya ya Arusha, kwanini Rwanda, Uganda na Kongo wasikatae ushauri wa "JK"

mliberali

JF-Expert Member
Jul 13, 2012
10,323
12,204
Wanajamvi Hivi kwa matukio yaliyotokea ya milipuko ya mabomu yanayohusiswa na jeshi la polisi huko Arusha jmosi, ukizingatia jumuiya ya kimataifa inajua kinachoendelea, Je rais JK bado anao uwezo wa kusuluhisha migogoro ya nchi jirani?

Na je bado ana moral authoriy kuwashauri wanyaRwanda Waganda na Wakongo wakae meza moja na wapinzani wao kwa suluhu ya amani?
 
wanajamvi Hivi kwa matukio yaliyotokea ya milipuko ya mabomu yanayohusiswa na jeshi la polisi huko Arusha jmosi,ukizingatia jumuiya ya kimataifa inajua kinachoendelea, je raisi JK bado anao uwezo wa kusuluhisha migogoro ya nchi jirani??, na je bado ana moral authoriy kuwashauri wanyaRwanda Waganda na Wakongo wakae meza moja na wapinzani wao kwa suluhu ya amani???
Sio JK anaye sulululisha mgogoro huo !!

Hata hiyo milipuko ya Mabumu Marekani , Uk ni Mingi kuliko hata TZ na hao ndio wenye balaza la usululishi umoja wa Mataifa!!!

Kiukweli Kikwete nchi imemshinda kuongoza lakini bado tz ina sifa ya kusululisha kwa kuwa anayesululisha si JK.
Wata kuja marais wengine kama SLAA na watasimamia ukweli na usululishi utaendelea
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom