Kwa haya, Rais Magufuli hatufai kama ni wenye kutafakari

Halafu kuna mijitu eti inampima kwa barabara, madaraja na flyovers as if hizo pesa katoa kwenye mfuko wake..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo barabara na madaraja amekuta watu watu wenye akili zao wameshayaweka sawa otherwise hana uwezo wa kufanya lolote la maana zaidi ya mihemko na petty issues kama za kuachisha askari kazi eti kagonga mtu.
 
ameua sana sekta binafsi,tulio kwenye sekta hizi wanajua nini naongea.sasa hivi amekuja na hii sera ya gawio kutoka haya mashirika ya umma ndio moto mwingine,haya mashirika ni mwendo wa kuchochea moto.Mwaka huu tumeshindwa fanya stuffing ya korosho tumeinua mikono wenyewe ,sio kwa ujinga huo
Harafu kuna wendawazimu wenzake wanamshangilia eti kisa tu kawateua kwenye nafasi na wanapata ka mshahara kama milioni sita au saba kwa mwezi,sasa katika uchumi ulikufa katika nchi ambapo 95%ya purchasing power imekufa hiyo milioni saba inakusaidia nini?Uendawazimu tu
 
Sisi watanzania tumempima Rais Magufuli na tumeamua kuwa pekee anatosha 2020, kwa sababu:

1. Miaka minne ya utawala wake imeonekana hali ya màisha ya mtanzania mnyonge imeboreka kuliko wakati wowote na hii ni kutokàna na hulka ya Rais wetu kujali kundi hilo kubwa la watanzania. Baadhi ya watanzania walizoea kuishi kiujanjaujanja kwa kukwepa Kodi na kufanya shughuli zisizo rasmi. Watu Hawa ndio wanàona Magufuli kàbana

2. Kwa maana ya ajira ,Serikali ya awamu ya tano imejitahidi kuboresha mazingira ya sekta binafsi kukua hasa kuzalisha ajira kupitia sekta isiyo rasmi kama ujasiriamali na biashara ndogondogo. Pamoja na hili, Serikali pia imejitahidi kutoa ajira za muda mfupi na zile za kudumu.

3. Suala la usalama ni jukumu la kila mtu kwa sababu wanaohatàrisha usalama ni wanajamii wenzatu tunaishi nao na wengine wanafichwa na sisi wenyewe, hatushirikiani na serikali kuwafichua hii inaaminisha hao watu kuwa wapo salama. Tukija kwenye matukio kama Kibiti na mapango ya amboni tumeona kwa kiasi gani Serikali ipo makini kukomesha vitendo viovu.

4. Chombo chà kutazamia kuwa Kuna utawala wa sheria na katiba inaheshimiwa ni mahakàmà. Hakuna uthibitisho wowote wa kesi yeyote ya kimahakama kuhusu kesi iliyofunguliwa kwamba Serikali imevunja sheria na katiba. Kinachofanyika ni kuchagua Serikali kupitia siasa za majitaka.

4. Hakuna uhuru usio na mipaka na mipaka ya media na watu unàwekwa nà sheria na katiba. Kama taifa ,tutaonekana hatuko makini kama tutaruhusu watu au media kuropoka uzushi nà uzandiki kila wanapotaka kufanya hivyo.

Ni hivi, ameshakata pumzi. Miradi kibao inazidi kusimama, watu na makampuni kibao hawakipwi fedha zao. Bunge na mahakama zimegeuka vibogoyo. Uchumi unazidi kushuka. Hata enzi za Nyerere alibana uhuru wa habari, lakini watu walianza kuvaa viraka. Uzuri ukweli huwa haujifichi
 
Habari za asubuhi.

Sisi watanzania tuna tatizo kubwa sana la kufikiri na kuchambua mambo. Uzuri wa Rais haupimwi kwa

1. Kujenga miundombinu maana ndio kazi yao na wana tumia kodi zetu. Mtu hana hata aibu kusema Rais kajenga barabara, flyover na madaraja sasa wewe ulitaka afanye nini kama Rais.

2. Kudhibiti ufisadi na matumizi mabaya ya serikali ni kazi ya Rais wala sio favour kwa Watanzania.

3. Kuhamia Dodoma ni utashi wake binafsi wala halina impact yoyote kwa maisha ya mtanzania ila ni kutaka sifa tuu

4. Kujenga hospitali au mashule ni kazi ya serikali kwa kutumia kodi za wananchi.

TUKITOA HAYO RAIS MAGUFULI KAFANYA NINI CHA MAANA ??

RAIS MZURI HUPIMWA KWA :

1. Kuboresha maisha ya watu hasa mtu mmoja mmoja.

2. Kutengeneza ajira za kutosha nchini ( sote mashuhuda kwa hili jinsi Rais Trump anavyojivunia)

3. Kulinda usalama wa wananchi na Mali zao. ( hapa kafeli vibaya sanaa maana kuna wenzetu wameumizwa vibaya na wengine kuuwawa au kupotea)

4. Kulinda katiba na sheria

5. Uhuru wa wananchi, media na vyombo vya habari.

RAIS MAGUFULI KAFANYA YEPI KATI YA HAYO HAPO JUU ???

Watanzania tuache ujinga tuipende na kuilinda Nchi yetu tusiwe wanyonge kwenye Nchi yetu wenyewe na kuleta sifa za kijinga kisa wewe umeshiba ugali wa Jana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu akulinde dhidi ya vitu vyenye ncha kali
 
Nilipokuwa sijauvuka mto nilikuwa masikini sasa hivi nipo na dunda
 
Ajira unataka ziweje ndg,unemployment ni case ya dunia na hasa kwa mataifa kama yetu madogo, mbona malamiko ni mengi pasipo ukweli,,moja tu ambalo nitariridhia swala la matukio ya utekaji katika awamu hii na uhuru wa vyombo vya habari kidgo umezorota,hivi kweli mbona kazi zipo tu na maisha yanaenda, nin kimeharibika toka 2005 miaka ya jk mpaka leo kinachoashiria kbs kwamba hali ni mbaya,mfumuko wa bei ni wa kawaida tu,,raisi awe anagawa mandazi mtaani?

Sent using Jamii Forums mobile app
alichofanya ni kuongeza idadi ya madalali wa viwanda vya wachina [machinga] na bado anapiga kupitia vitambulisho,ila kiuhalisia ameuwa ajira nyingi sana ni jumla ya milioni 3 wamekosa kazi wakati jk alijitaidi sana kukuza ajira kwa kukuza sekta binafsi.Sera zake za uchumi hazitofanikiwa by expirience hazijawahifanikiwa popote duniani labda kama ni kuwaadaa futureless people [wanyonge] wasiojua chochote ndo watamuona ni mkombozi wataelewa wakiwa washachelewa mda ni mwalimu.Serikali haziwezifanya biasahara dunia ilishahama huko ikaachia secta binafsi ye kaziuwa eti wapiga dili anawasomesha namba wameshamaliza kuzisoma anasoma yeye sasa maana huwezi kAUSHA MTO UKULUTEAO MAJI at the wewe ndo utaathirika ,makusanyo yamepungua,deni la taifa si himilivu,hakuna foreign currency ameua export
 
Mchato hivi kwako unalala njaa harafu jirani yako anae kula na kusaza kila unapo kutana nae anakwambia kazana kuzaa mpaka mayai ya mkeo yaishe tumboni hivi utamfikiriaje!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za asubuhi.

Sisi watanzania tuna tatizo kubwa sana la kufikiri na kuchambua mambo. Uzuri wa Rais haupimwi kwa

1. Kujenga miundombinu maana ndio kazi yao na wana tumia kodi zetu. Mtu hana hata aibu kusema Rais kajenga barabara, flyover na madaraja sasa wewe ulitaka afanye nini kama Rais.

2. Kudhibiti ufisadi na matumizi mabaya ya serikali ni kazi ya Rais wala sio favour kwa Watanzania.

3. Kuhamia Dodoma ni utashi wake binafsi wala halina impact yoyote kwa maisha ya mtanzania ila ni kutaka sifa tuu

4. Kujenga hospitali au mashule ni kazi ya serikali kwa kutumia kodi za wananchi.

TUKITOA HAYO RAIS MAGUFULI KAFANYA NINI CHA MAANA ??

RAIS MZURI HUPIMWA KWA :

1. Kuboresha maisha ya watu hasa mtu mmoja mmoja.

2. Kutengeneza ajira za kutosha nchini ( sote mashuhuda kwa hili jinsi Rais Trump anavyojivunia)

3. Kulinda usalama wa wananchi na Mali zao. ( hapa kafeli vibaya sanaa maana kuna wenzetu wameumizwa vibaya na wengine kuuwawa au kupotea)

4. Kulinda katiba na sheria

5. Uhuru wa wananchi, media na vyombo vya habari.

RAIS MAGUFULI KAFANYA YEPI KATI YA HAYO HAPO JUU ???

Watanzania tuache ujinga tuipende na kuilinda Nchi yetu tusiwe wanyonge kwenye Nchi yetu wenyewe na kuleta sifa za kijinga kisa wewe umeshiba ugali wa Jana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inakuwaje humu JF wanaopinga serikali hii ni asilimia kubwa, ila nikiingia FB, karibia kila mtu anaiunga mkono.
Anyway, mtoa mada naunga mkono hoja.
Asante.
 
Sisi watanzania tumempima Rais Magufuli na tumeamua kuwa pekee anatosha 2020, kwa sababu:

1. Miaka minne ya utawala wake imeonekana hali ya màisha ya mtanzania mnyonge imeboreka kuliko wakati wowote na hii ni kutokàna na hulka ya Rais wetu kujali kundi hilo kubwa la watanzania. Baadhi ya watanzania walizoea kuishi kiujanjaujanja kwa kukwepa Kodi na kufanya shughuli zisizo rasmi. Watu Hawa ndio wanàona Magufuli kàbana

2. Kwa maana ya ajira ,Serikali ya awamu ya tano imejitahidi kuboresha mazingira ya sekta binafsi kukua hasa kuzalisha ajira kupitia sekta isiyo rasmi kama ujasiriamali na biashara ndogondogo. Pamoja na hili, Serikali pia imejitahidi kutoa ajira za muda mfupi na zile za kudumu.

3. Suala la usalama ni jukumu la kila mtu kwa sababu wanaohatàrisha usalama ni wanajamii wenzatu tunaishi nao na wengine wanafichwa na sisi wenyewe, hatushirikiani na serikali kuwafichua hii inaaminisha hao watu kuwa wapo salama. Tukija kwenye matukio kama Kibiti na mapango ya amboni tumeona kwa kiasi gani Serikali ipo makini kukomesha vitendo viovu.

4. Chombo chà kutazamia kuwa Kuna utawala wa sheria na katiba inaheshimiwa ni mahakàmà. Hakuna uthibitisho wowote wa kesi yeyote ya kimahakama kuhusu kesi iliyofunguliwa kwamba Serikali imevunja sheria na katiba. Kinachofanyika ni kuchagua Serikali kupitia siasa za majitaka.

4. Hakuna uhuru usio na mipaka na mipaka ya media na watu unàwekwa nà sheria na katiba. Kama taifa ,tutaonekana hatuko makini kama tutaruhusu watu au media kuropoka uzushi nà uzandiki kila wanapotaka kufanya hivyo.
Myonge ni nani kwa kwa tafsiri ya Kamusi ya Kiswahili
 
Mnyonge ni mtu asiye na mbele futureless people kwa maana nyingine mnyonge ni mtaji wa wanasiasa kupandia ngazi wa kupewa matumaini ya majukwaani na wanasiasa huku wakinyongwa kivitendo.
 
Habari za asubuhi.

Sisi watanzania tuna tatizo kubwa sana la kufikiri na kuchambua mambo. Uzuri wa Rais haupimwi kwa

1. Kujenga miundombinu maana ndio kazi yao na wana tumia kodi zetu. Mtu hana hata aibu kusema Rais kajenga barabara, flyover na madaraja sasa wewe ulitaka afanye nini kama Rais.

2. Kudhibiti ufisadi na matumizi mabaya ya serikali ni kazi ya Rais wala sio favour kwa Watanzania.

3. Kuhamia Dodoma ni utashi wake binafsi wala halina impact yoyote kwa maisha ya mtanzania ila ni kutaka sifa tuu

4. Kujenga hospitali au mashule ni kazi ya serikali kwa kutumia kodi za wananchi.

TUKITOA HAYO RAIS MAGUFULI KAFANYA NINI CHA MAANA ??

RAIS MZURI HUPIMWA KWA :

1. Kuboresha maisha ya watu hasa mtu mmoja mmoja.

2. Kutengeneza ajira za kutosha nchini ( sote mashuhuda kwa hili jinsi Rais Trump anavyojivunia)

3. Kulinda usalama wa wananchi na Mali zao. ( hapa kafeli vibaya sanaa maana kuna wenzetu wameumizwa vibaya na wengine kuuwawa au kupotea)

4. Kulinda katiba na sheria

5. Uhuru wa wananchi, media na vyombo vya habari.

RAIS MAGUFULI KAFANYA YEPI KATI YA HAYO HAPO JUU ???

Watanzania tuache ujinga tuipende na kuilinda Nchi yetu tusiwe wanyonge kwenye Nchi yetu wenyewe na kuleta sifa za kijinga kisa wewe umeshiba ugali wa Jana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata ile hotuba ya Nyerere Kilimanjaro Hotel 1995 Katika vigezo vya rais ajaye hakuna vigezo vya aje kujenga barabara na kununua ndege.
 
Back
Top Bottom