Kwa haya ninayoyaona Twitter, Uchaguzi serikali za mitaa hakuna

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,081
5,061
Kwa hizi taarifa za uteuzi wa wagombea wa serikali zinazowekwa twitter ni dhahiri uchaguzi umevurugika kwa kiwango kikubwa.
Kwa nini CCM ikubali jambo hili litokee?Hivi ni kweli hawajui madhara yake?
 
Umeona nini mkuu? Tuwekee hapa na sisi tuone
 
Wanajua hatuna cha kuifanya CCM zaidi tutalia lia mitandaoni,viongozi wa vyama vya upinzani wataitisha press watasema tunalaani ubakwaji wa demokrasia then mchezo umeishia hapo.
Kwa hizi taarifa za uteuzi wa wagombea wa serikali zinazowekwa twitter ni dhahiri uchaguzi umevurugika kwa kiwango kikubwa.
Kwa nini CCM ikubali jambo hili litokee?Hivi ni kweli hawajui madhara yake?
 
Hahaha wabunge wa Chadomo wamegeuza twitter jukwaa la siasa

Huku wanaume wako field kwa wanachi.

Tutawafurahisha; binafsi nasubiri majibu kwa jiji la DSM
 
Hongera mkuu...
Screenshot_2019-11-05-10-47-48-406_com.quoord.jamiiforums.activity.jpeg
 
Binafsi, siwezi kushangaa kama raia wakifanya machafuko mitaani kwenye huu uchaguzi wa serikali za mitaa. Maana serikali ndio inataka machafuko kwa nguvu kwasababu ya ujinga unaofanyika kuunga mkono chama ambacho wananchi hawakitaki.

Mtaani kwetu bahati yao hawajaleta use**e wao wa kukataa wagombea wa upinzani na kufunga ofisi kama sehemu nyingine. Wangekiona cha moto wagombea wa CCM majumbani kwao, maana wananchi walishaweka nia takatifu.
 
Tatizo wapinzani wanalialia tu, hao watendaji wanafahamika walipo, washughulikiwe ipasavyo
 
Uchaguz wa Rais, Wabunge, madiwani itakuwa hivyo hivyooo

Ova
 
Kwa hizi taarifa za uteuzi wa wagombea wa serikali zinazowekwa twitter ni dhahiri uchaguzi umevurugika kwa kiwango kikubwa.
Kwa nini CCM ikubali jambo hili litokee?Hivi ni kweli hawajui madhara yake?
Waache wafanye watakavyo nchi ikivurugika wasije kumtafuta mchawi ni nani wakati wao wanafuata maelekezo ya " Khadija Mwenda".
 
Back
Top Bottom