Kwa haya niliyoyasoma kweli Uzalendo utanishindwa

Sahir Punzy

Member
Jan 13, 2015
86
55
Usanii wa Mchakato wa Katiba Kinachoendelea ni usanii uliopangwa na Marekani kwa kutumia vyama vyake vya CCM ‘A' na CCM ‘B' (CUF). Usanii huo chini ya mpango wa Marekani una dhamira zifuatazo kabla ya kufikia kitakachoitwa mwafaka utakaoleta serikali tatu: Baadhi ya malengo ya usanii huo ni haya:

1. Kuwaridhisha muhafidhiina ndani ya CCM kwamba serikali tatu zimepatikana kwa taabu.

2. Kukiokoa na kuinua haiba ya CUF. Kwa kuwa kimekuwa ni chama kilichofilisika katika ajenda na kimefedheheshwa sana na Chadema (Chama cha Uingereza) kwamba sio chama cha upinzani (Jambo ambalo ni kweli). Ajenda ya serikali tatu itakifufuwa kionekane kina uhalisia na kina upinzani na CCM. Hususan kwa kuwa hatima yake serikali tatu zitapatikana.

3. Marekani inakusudia kuinua haiba ya mtu wao Kikwete ili atakapoondoka madarakani apate heshima ya hali ya juu kwamba ni mwanademokrasia wa kupigiwa mfano. Kwa kuwa sera ya chama chake(CCM) ni serikali mbili lakini kutokana na kukomaa kwake kidemokrasia na ujasiri wake kaweza kupeleka katiba ya serikali tatu ilhali iko kinyume na sera ya chama chake. Japo kwamba kiudhati Kikwete ni muumini wa serikali tatu kama wanavyotaka Marekani.

4.Jaribio la Marekani kukitenga chama cha Uingereza (Chadema) katika mchakato huu. Lakini Uingereza imeshtuka na kukhalifu sera yake ya asili ya ‘acha tuone" (wait and see). Kwa hivyo imebidi kichangamke na kidandie wimbi hili japo kwamba kiasili ni ajenda inayovaliwa njuga na Marekani chini ya CCM na CUF. Na japo kwamba wanaelewa na wameshasema sana kwamba CUF ni CCM. Kwa kuwa kama hakikuchangamkia suala hili itakapofikia wakati wa muwafaka wa serikali tatu hakitoambulia chochote na kitaonekana mbele ya umma hakina mpya.

5.Kuinua hadhi ya mataifa makubwa hususan Marekani ambayo baada ya usanii huu wa kuvurugana itajifanya kuingilia kati kuleta sulhu na maridhiano kama Zanzibar. Ilhali tangu mwanzo ulikuwa ukanumba uliopangwa lakini wanaojuwa ni wachache (inner circle) katika wanasiasa na wachambuzi na sio hao mburumatari wanaotukanana bungeni matusi ya nguoni.

Hapa tunakumbusha kwamba tulikuwa tukisema miaka mingi nyuma kabla ya muwafaka wa CUF na CCM Zanzibar kwamba vyama viwili hivyo ni pande mbili za sarafu moja na hatima yake imekuja hadharani ilhali baadhi ya maafisa wa juu ndani ya CCM wakipiga makelele kupinga muwafaka hu lakini ulipofika muda ukafanywa na wao kutupiliwa mbali. Matendo yafuatayo yamelengwa kuikuza qadhia hii na kuichochea zaidi.

1. Kuletwa hati ya muungano bungeni ikiwa na nia ya kutia shaka uhalali wa muungano.

2. Kauli ya Lukuvi. Japo kwamba ni dhihirisho la chuki dhidi ya Uislamu. Lakini lengo kuu imelengwa kupigia kampeni kwa Waislamu wakubali serikali tatu. Pia kuchochea ugomvi wa kidini baina ya Waislamu na wakiristo kwa kuwa kauli hiyo kaitolea kanisani. Yaani inakusudiwa kumakinisha fikra finyu ya mfumo kristoIlhali tatizo ni mfumo wa kibepari. Lukuvi anajuwa fika kwamba CUF wala UAMSHO hawana ajenda ya Uislamu.

3. Kupiga marufuku mikutano na maandamano ya UKAWA ni kuikuza qadhia hii na kuipa UKAWA kuungwa mkono zaidi ili kuandaa mazingira ya mawafikiano.

Matarajio:
Yanayotarajiwa mwisho ni Marekani kufanya muwafaka baina ya pande ziunazopingana utakaomalizia kuundwa serikali tatu. Hapo Mataifa makubwa hususan Marekani wataendelea kula rasilmali za nchi hizi Bara na Zanzibar raha mustarehe ilhali wananchi wakijigamba na kujiona wana Zanzibar yao na watanganyika wana Tanganyika yao.
 
Hii haikubariki. Mambo ya kuaribiana siku asubuhi sio nazuri kabisa. Yaani mtu na akili zako unaamka na kupoteza muda kuja kunajisi JF.
 
Haya umeyapata wapi kabla hatujakuita Ndooroobo. Kama una hakika na kile ukisemacho sema. What is your source of information. Is it your brain or your aunt au bibi yako. Please substantiate your thread. Umesikia wewe mtoa mada.
 
Usanii wa Mchakato wa Katiba Kinachoendelea ni usanii uliopangwa na Marekani kwa kutumia vyama vyake vya CCM ‘A’ na CCM ‘B’ (CUF). Usanii huo chini ya mpango wa Marekani una dhamira zifuatazo kabla ya kufikia kitakachoitwa mwafaka utakaoleta serikali tatu: Baadhi ya malengo ya usanii huo ni haya:

1. Kuwaridhisha muhafidhiina ndani ya CCM kwamba serikali tatu zimepatikana kwa taabu.

2. Kukiokoa na kuinua haiba ya CUF. Kwa kuwa kimekuwa ni chama kilichofilisika katika ajenda na kimefedheheshwa sana na Chadema (Chama cha Uingereza) kwamba sio chama cha upinzani (Jambo ambalo ni kweli). Ajenda ya serikali tatu itakifufuwa kionekane kina uhalisia na kina upinzani na CCM. Hususan kwa kuwa hatima yake serikali tatu zitapatikana.

3. Marekani inakusudia kuinua haiba ya mtu wao Kikwete ili atakapoondoka madarakani apate heshima ya hali ya juu kwamba ni mwanademokrasia wa kupigiwa mfano. Kwa kuwa sera ya chama chake(CCM) ni serikali mbili lakini kutokana na kukomaa kwake kidemokrasia na ujasiri wake kaweza kupeleka katiba ya serikali tatu ilhali iko kinyume na sera ya chama chake. Japo kwamba kiudhati Kikwete ni muumini wa serikali tatu kama wanavyotaka Marekani.

4.Jaribio la Marekani kukitenga chama cha Uingereza (Chadema) katika mchakato huu. Lakini Uingereza imeshtuka na kukhalifu sera yake ya asili ya ‘acha tuone” (wait and see). Kwa hivyo imebidi kichangamke na kidandie wimbi hili japo kwamba kiasili ni ajenda inayovaliwa njuga na Marekani chini ya CCM na CUF. Na japo kwamba wanaelewa na wameshasema sana kwamba CUF ni CCM. Kwa kuwa kama hakikuchangamkia suala hili itakapofikia wakati wa muwafaka wa serikali tatu hakitoambulia chochote na kitaonekana mbele ya umma hakina mpya.

5.Kuinua hadhi ya mataifa makubwa hususan Marekani ambayo baada ya usanii huu wa kuvurugana itajifanya kuingilia kati kuleta sulhu na maridhiano kama Zanzibar. Ilhali tangu mwanzo ulikuwa ukanumba uliopangwa lakini wanaojuwa ni wachache (inner circle) katika wanasiasa na wachambuzi na sio hao mburumatari wanaotukanana bungeni matusi ya nguoni.

Hapa tunakumbusha kwamba tulikuwa tukisema miaka mingi nyuma kabla ya muwafaka wa CUF na CCM Zanzibar kwamba vyama viwili hivyo ni pande mbili za sarafu moja na hatima yake imekuja hadharani ilhali baadhi ya maafisa wa juu ndani ya CCM wakipiga makelele kupinga muwafaka hu lakini ulipofika muda ukafanywa na wao kutupiliwa mbali. Matendo yafuatayo yamelengwa kuikuza qadhia hii na kuichochea zaidi.

1. Kuletwa hati ya muungano bungeni ikiwa na nia ya kutia shaka uhalali wa muungano.

2. Kauli ya Lukuvi. Japo kwamba ni dhihirisho la chuki dhidi ya Uislamu. Lakini lengo kuu imelengwa kupigia kampeni kwa Waislamu wakubali serikali tatu. Pia kuchochea ugomvi wa kidini baina ya Waislamu na wakiristo kwa kuwa kauli hiyo kaitolea kanisani. Yaani inakusudiwa kumakinisha fikra finyu ya mfumo kristoIlhali tatizo ni mfumo wa kibepari. Lukuvi anajuwa fika kwamba CUF wala UAMSHO hawana ajenda ya Uislamu.

3. Kupiga marufuku mikutano na maandamano ya UKAWA ni kuikuza qadhia hii na kuipa UKAWA kuungwa mkono zaidi ili kuandaa mazingira ya mawafikiano.

Matarajio:
Yanayotarajiwa mwisho ni Marekani kufanya muwafaka baina ya pande ziunazopingana utakaomalizia kuundwa serikali tatu. Hapo Mataifa makubwa hususan Marekani wataendelea kula rasilmali za nchi hizi Bara na Zanzibar raha mustarehe ilhali wananchi wakijigamba na kujiona wana Zanzibar yao na watanganyika wana Tanganyika yao.
Umejitahidi kuandika povu jingi hapa lisilo na maana, kajipange upyaaa ila kwa hizi fitina ulizoziweka hapa hutofanikiwa, Katiba hii ni nzuri
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom