mzama chumvini
JF-Expert Member
- Mar 14, 2016
- 730
- 641
Nimefikia Hapa Mapenzi Hotel Duh! Huu Usalama Ni Hatari! Guest Book Inataka Mpaka Jina La Mtu Wako Wa karibu! Mji wote kimya!! Huko Nje ni wajeda na gwanda zao! Na wale wanaovaa ful black!! Mie nitafanya kaz yangu nikimaliza narud bara! Nisijefanywa Samaki Pande Mbili.