Kwa haya anayotetea Lowasa, Tanzania tungeongozwa na Rais wa hovyo sana kama angeshinda 2015

Keshazeeka huyo, naona sio akili yake, ukimuangalia tu utajuwa mzee wa watu atulie alee wajukuu..Hii ya kuanza kuwa kama babu mtetea kila mtu kwenye siasa haimfai kabisa...
 
Mtoa mada ni mpuuzi wa kupuuzwa! Unakumbuka lowasa alipata kura ngapi kwenye uchaguzi uliopita? Na uchaguzi ungekuwa huru na wa haki leo hii usingeandika ujinga kama huu! Watanzania wa leo wanajitambua kamwe hawadanganyiki na hadithi kama ulizoandika!
kaandika ukweli na watanzania wanajua hayo yote aliyoyaandika sasa sijui ni mtanzania gani anayedanganyika....babu yenu fisadi ana uchu wa madaraka ambayo hatokaa ayapate,kaleta ukabila,kaleta udini kote kagonga mwamba bado anahangaika tu na ataishia pabaya,nia mbaya always haitomfikisha popote.HAFAI na kwa style hii anayoendelea nao anajidhalilisha tu.

HAFAI HAFAI
 
Bora ndugu zangu Waislam mmetamalaki. Tungelisema cc ingelikua shida. Anae mshabikia Lowassa kwa kauli yake ya majuzi ana shida. Jana nimemsikia kiongozi mmoja wa Kiislam wakati Lowassa na katibu wa cdm wakiongea na waandishi wa habari nilimpenda sana. Aliongea ukweli na sijui kama Lowassa na wapambe wake walimuelewa. Alisema uislam c sehemu ya kufanyia maaovu hata kama ni muislam anafanya maovu sheria zichukue mkondo wake. Akaenda mbali hata Quran inakataza. Kama hao masheik wanamakosa ya uhaini kwani Lowassa hajui nn hufanyika? Huyu mzee kaishiwa sera sasa anataka kutugawa Watz mpuuzeni mlio na akili timamu. Tuache siasa za maji taka. Mleta mada umeeleza vuzuri sana kwa kina with vivid examples congrants.
 
*LOWASSA HUKU USIJE....*

Aliekuwa Mgombea wa Urais kupitia *UKAWA 2015* amezidi kuushangaza umma kutokana na *KIU* na *UCHU* wa madaraka alionao, Leo nimeona niseme jambo kwa niaba ya Familia yangu, na baadhi ya ndugu zangu Waislamu ambao nimezungumza nao nikaona niseme jambo kidogo kwa niaba yao.

Mtakumbuka katika uchaguzi uliopita huyu *Bwana Edward* alianza kampeni zake vibaya kwa kusema safari hii Urais lazima uende kwa watu wa Kaskazini mwa Tanzania hapa tunazungumzia Wachaga, wameru, wamasai na wapare kidogo na Tanga japo sio sana, alianza kampeni kwa kutumia Mwanya wa kuwachonganisha Wachaga na watanzania na katika mapambano hayo baadhi ya Wachaga waliokuwa wanamuunga mkono *Edward* walishindwa dhidi ya watanzania walio wengi, ushahidi wa hili tunaujua na kuufahamu, ukabila huu ukawafanya wachaga, wameru, na wamasai kuonekana victims, Leo wanajuta Dhambi ya *UKABILA* waliyoifanya.

Akiwa katikati ya mwendo alibadilisha Gia na kuongeza Gia ya *UDHEHEBU*, alijaribu kuwahamasiha *WALUTHERI* kwa kuwaaminisha ni *ZAMU* yao ya kuongoza nchi, hili likawagawa *WAKRISTO* katika hili nako hakufanikiwa akaanguka mana *Mungu* hadhihakiwi, ushahidi wa hili mnajua kupitia mahubiri yake pale kanisani *KKKT.*

Pamoja na kushindwa kwa mbinu hizi, wananchi tukiwemo sisi Waislamu tulimpa *KURA* *Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli* kuongoza nchi, lakini kilichotokea kwenye kipindi cha Mfungo wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani kimenifanya niwaze Haya yafuatayo :-

1. Huyu *Bwana Edward* ametumia fursa ya kipindi kile cha Njaa kuchonganisha wananchi na Serikali.

2. Alitaka watumishi *HEWA* waendelee kulipwa kwa kuwa alijua baadhi ya watoto wake na marafiki zake wanahusika.

3. Alitaka pia wala *Rushwa* wakubwa wasikamatwe nadhani mnakumbuka kesi ya *MKWE* wake Bw Sioi Sumari na Harry Kitillya kamishna wa *TRA* wako ndani bado.

Lakini kama haitoshi ameanza kututumia baadhi yetu *WAISLAMU* kwa kututaka *TUMTUKANE na KUMDHALILISHA* Rais wa Nchi Mhe, *Dkt. John Pombe Magufuli* kupitia MISIKITI yetu kama alivyokuwa akimtumia Mshenga wake *Askofu GWAJIMA* kuwatukana Viongozi wa Dini na Serikali ambao hawakumuunga mkono *Edward* kumbuka mvua ya matusi kwa *Kadinali PENGO,* alimtukana sana *Mhe Jakaya Mrisho Kikwete* kwa kuwa Kikwete *ALIGOMA* Kumuunga mkono *Lowassa* Shauri ya Kashfa ya *UFISADI,* *Gwajima* mpaka kesho a naendelea kumtukana *MAKONDA* kwa kuwa tu *Makonda* alikuwa Miongoni mwa watu ambao hawakumuunga mkono *Edward.*

Sisi Waislamu Tunajua kuwa hatupaswi kuchangamana na Viongozi wa Aina hii ya kisasa wanaotumia viongozi wa Dini kuhatarisha *AMANI* ya nchi, Tunajua Askofu *Gwajima* alikuwa *MSHENGA* wa Ndoa ya *Edward* na *UKAWA* katika kugombea Urais, sasa ameona Askofu *Gwajima* Hana *MVUTO* na kama kashindwa kumng'oa *Makonda* Dar es Salaam kamwe *HATAWEZA* kumtoa *Magufuli IKULU,* sasa anatukumbuka Waislamu ameanza kutufuata na sisi.

Leo hii *Edward* anasahau Sharia ya nchi inayowaelekeza viongozi wa Dini kutumia Nyumba za ibada *MISIKITI* na *MAKANISA* kama Nyumba za ibada, badala yake *Edward* anazitumia kama uwanja wa siasa kwa kushangaa kwanini *WAISLAMU* tunampenda *Rais Magufuli* na Serikali yake, kwanini Waislamu Leo tunaelewana na dini nyingi bila vurugu, anashangaa kwanini Waislamu tunafanya ibada bila vurugu a nashangaa kwanini hakuna maandamano Mkoa wa Dar es Salaam, *BADO ANASHANGAA.*

*Edward* yeye anataka tuandamane na kuleta vurugu anataka tufanye mihadhara ya matusi na kukashifiana anataka Turudi kwenye *UAMSHO,* hivi jamani huyu ni mtu wa Aina gani?

*Edward* ameona *AMANI* ya nchi haifai mpaka anataka tumwage damu kisa tu yeye *HAJAPATA URAIS?*

Sisi Waislamu tu naona *UZALENDO* wa Mhe Rais, *Dkt. John Pombe Magufuli* katika kulinda *RASILIMALI,* mapambano dhidi ya Rushwa na uzembe Mambo ambayo hata sisi Waislamu yanapingana na vitabu vyetu vitakatifu.

*Edward Lowasa* tukukumbushe umishaambiwa na Baba wa Taifa Mwalimu *Julius Kambarage Nyerere* kuwa *HUFAI* kuwa Rais wa Nchi, Waislamu Tunajua huo wosia wa baba wa taifa na *KAMWE* hatuwezi kumgeuka na kumsaliti baba wa taifa, alishatuambia wewe *HUFAI.*

Nimalizie tu kwa kukuuliza Haya Maswali hapa :-

1. Hivi huoni *Magufuli* alituletea Mfalme wa Morocco ambae ametukumbuka na sisi Waislamu kwa kuamua kutujengea msikiti mkubwa sana wa kimataifa ambao utakuwa mkubwa Afrika Mashariki?

2. Mteule wa Rais, ambae ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam *Mhe Paul Makonda* anajenga *MAKAO MAKUU YA BAKWATA* jambo ambalo halijawai kufanyika tangu *UISLAMU* umeingia Tanzania!

3. Hivi *Edward* huoni katika mwezi wa ramadhani unaomalizika waumini wa Dini ya Kiislamu Mkoa wa Dar es Salaam tunavyopata upendeleo wa Serikali ya Mkoa, Unashangaa *Dar es Salaam* kukaa kimya?

Hivi *Edward* Unakumbuka kuwa aliewahi kukwambia *HUFAI* kuwa Rais mwaka 2013, ndie anaeongoza huu Mkoa?.

Sisi Waislamu hatuwezi kuiangusha serikali ya awamu ya tano mana hata mali na viwanja vyetu vilivyoporwa sasa vimeanza kurejeshwa katika utawala huu wa Mhe Rais, *Dkt. John Pombe Magufuli.*

Kazi yetu kubwa kwa sasa ni Kumuombea kwa *Allah* Mhe Rais, *Dkt. John Pombe Magufuli* na Serikali yake yote *Allah* awafanyie *WEPESI* katika kutekeleza majukumu yao na kutuletea maendeleo, tunakuomba usitupatie pipi za pemende uku ukijua ndani yake umeweka madawa ya kulevya na kupumbaza akili, kwa sasa tuko mstari wa mbele katika mapambano ya ulinzi wa *RASILIMALI* zetu wewe unataka kutuondoa kwenye Huu mjadala muhimu wa ulinzi wa *RASILIMALI* zetu.

Mwisho tunamuomba Mhe Rais, *Dkt. John Pombe Magufuli* akishamaliza na kwenye Madini, arudi na kwenye *RICHMOND* kuna kiporo kimebakia hapo mana Tunajua *MUHUSIKA* Mkuu bado upo.

Nawatakia sikukuu njema ya Eid Alfitr.

*Khamis hussein* *Mwinchande*
*Lushoto, Tanga,*
*Tanzania.*
*27/06/2017*

Nashaka na Uislam wa mwandishi, nauwakika ni uislam wa bakwata wachumia tumbo.
 
Lumumba mna kazi kweli kweli
 
Back
Top Bottom