Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Wanabodi,
Kwanza kabisa niseme hivi "Binadamu hawanaga shukrani" na pia kuna usemi usemao "shukrani ya punda mateke". Hi mi misemo ya wanna ambayo sasa tunaona ukweli uliopo.
Huko nyuma nchi ilikuwa inatafunwa sana na watu wachache, kila kitu kilikuwa cha dili au genji. Watu wanyonge hawakuwa na nafasi kabisa ndani ya nchi yao, watu walikuwa wanaishi kama wakimbizi.
Mikataba hovyo ya rasilimali, viongozi wa Serikali kila siku wanapishana angani wakitanua huko duniani, kuna wengine mpk walikuwa wanafasiri na mahawara zao ughaibuni. Kula tu bata. Mawaziri walikuwaga wababe sana,kila kitu anajua!
Rais hasafiri ovyo, Rais katumbua bila kuangalia sura, Rais kathibiti safari za nje kwa viongozi na watumishi wa umma, maswala ya vyeti feki na watumishi hewa nk nk.
Tunataka Rais wetu awe malaika jamani? Hatuoni juhudi zote anazofanya jamani? Mbona amejitahidi sana kupambana na ufisadi na ametumbua sana wazembe bila kujali sura ya mtu? Kuna miradi mikubwa inaendelea.
Tupo kwenye kipindi cha mpito kwahiyo lazima tuone kama anatukomesha, ukweli siyo hivyo! President anaipenda nchi na mnaweza kuthibitisha hili kwa kulinganisha na huko nyuma.