Kwa hatua hii ya JK tayari tumewekwa kwenye target ya Al Shabaab | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hatua hii ya JK tayari tumewekwa kwenye target ya Al Shabaab

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zak Malang, Oct 29, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wakuu, habari hii mnaionaje? Kwa hatua hiyo ya serikali yetu si kwamba sasa tumewekwa kwenye target, wenyewe wanaita 'crosshairs' za hao Al Shabab?

  Tujadili implications ya hatua hii.

  Nawasilisha.

  _____________________

  Kikwete: Tanzania backs Kenya's operation in Somalia  Tanzanian President Jakaya Kikwete has supported Kenya's military offensive against Somalia militia Al-Shabaab.

  He said his country backed Kenya's decision to invoke Article 51 of the United Nations Charter to defend its economic and security interests under threat by the terror group.

  President Kikwete said Kenya is justified in taking action against the Islamic militants who have blatantly violated her territorial integrity through escalated cross-border raids.

  He pledged his country's commitment to support efforts by Kenya, IGAD, EAC, AU and the international community to stabilize Somalia and the Horn of Africa region.

  The Tanzanian leader, who is in Perth, Western Australia for the Commonwealth Heads of Government Meeting (CHOGM) 2011, was speaking when he paid a courtesy call on President Kibaki Friday.

  The meeting followed an earlier brief by President Kibaki to an executive session on Kenya's military operation against Al-Shabaab to secure national security and economic interests.

  During the session, President Kibaki maintained that Kenya was not at war with Somalia but is carrying out military action against the Islamic militia which is a non-state actor.

  The Tanzanian leader, at the same time, joined other world leaders in calling for tougher action against piracy in the Indian Ocean, which continued to increase the costs of international trade and cause enormous harm to regional countries' fishing and tourist industries.

  Chanzo: Daily Nation
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Huyo anataka tu ku-waplease Wamarekani, si kingine. Hivi angekaa kimya ingekuwa nini?
   
 3. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Wajaribu waone, manake hatuwezi kuishi kwa mashaka ya kutishwa na wauni kisa wanjilipua na mabomu, kwa Tanzania wasomalia wanajua mziki wake walikuwa wanajaribu kuiba ngombe za wakurya na masai miaka ya tisini kabla ya kuingia kwenye upirate, wakazidi pale walipoanza kwa baadhi ya watanzania. Enzi hizo wanaingia Serengeti huko mpaka Arusha, Loliondo na kwingine Seriakali iliwavulia uvivu walisambaratisha mpaka kesho hawajawahi kutia mguu bongo kuleta uharamia wao.

  Ukiona wana dalili za kukubeep Rais wapigie tena anjuani ni muda mrefu sana hawa masaa machache.
   
 4. lifeofmshaba

  lifeofmshaba JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 868
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Wapuuzi tu hawa, mabomu yanayotumiwa na hawa wajinga yameua wamarekani 10 leo huko Afganistan, sisi ubavo wa kujikinga nao tumupata wapi?

  Kama vipi si bora kuingia nao vita ili kieleweke tuliwachokoza wenyewe
   
 5. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Whether or not we support Kenyan incursion of Somalia has nothing to do with inciting or propitiating Al-Shabaab threats to us.

  The most important thing is to make sure that we intensify country's security and institute even tougher immigration conditions.

  We have unfortunately become too liberal in regard to laws monitoring immigration making it too easy for foreigners to find their way into our country.

  Same culprit also accounts for an increasing incidence of illicit drugs smuggling.
   
 6. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu Mwita uko sawa, hata sasa tuna wahamiaji wengi sana wa kisomali tanzania wengi wakiiishi na kufanya biashara zao, waliotangulia/kuja kihalali wamewakaribisha wenzao lukuki ambao hatujui record zao. Maduka mengi mta wa livingstone yanauza matairi ya gari ni ya kwao kila siku utaona new faces, tembelea ilipokuwa Liban hotel zamani ilikuwa kituo chao, temeke,na Buguruni pale. Uhamiaji walishalala zamani
   
 7. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,033
  Likes Received: 8,524
  Trophy Points: 280
  20 NATO soldier including 13 amerikan killed in afaghanstan today.taliban claim responsible.
  Hah..maybe JK should get our troops in somalia and try to fight those shabab guys.
   
 8. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #8
  Oct 29, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,780
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Nadhani wewe ndiye dogo,na kama ungekua rais wa Tanzania ungekuwa unatishiwa hata na vibaka unanywea. Katika hii maneno nampongeza JK kwa msimamo wa kishujaa. Tumechelewa kuchukua hatua mpaka sasa hawa magaidi wanatishia eneo lote la Afrika Mashariki.
   
 9. r

  raffiki Senior Member

  #9
  Oct 29, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  We have started involving our nation in the so called Al shabaab staff...Soon TZ ll experience the spark disasters that we have never had b4. Our enemies re looking for the way 2get-in,this might be one of their target, the planned one, look what is happening in Northern Africa....watch-out guys.
   
 10. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #10
  Oct 29, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,127
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Hili suala la al shabab linatakiwa kuangaliwa kwa umakini mkubwa. Raisi ameunga mkono suala la msingi la wahalifu kuvuka mpaka na kushambulia nchi jirani. Wakuu nimesikia mhadhara kutoka msikiti wa jirani "kunamuhadhara" wa waumini wa DINI ya kiislam jangwani umezuiwa kwasababu ya Alshabab. Ingawa hotuba ilikua inalaumu "ukrstu" na imani ya "wakristu" kuna kila dalili kwamba Hali sio shwari hapa nchini.
   
 11. J

  John Marwa JF-Expert Member

  #11
  Oct 29, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ulitaka JK awasifie Al-shabab?
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Oct 29, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ni lazima shirikisho la Afrika litekelezwe kwa vitendo. Tuna kila sababu ya kupinga mashambulizi yanayotekelezwa na Al-Shaabab katika si nchi mwanachama wa shirikisho la Afrika mashariki bali duniani kote. Au labda kama wewe gaidi huoni kama Al-Shaabab ni tatizo. Nini kosa la JK kuhusu tamko lake kuhusiana na Al-Shaabab? Ni rais gani huyo ambaye atashindwa kukemea kwa sababu eti anajifitinisha? Yaani wewe unasikia majambazi kwa jirani yako unakataa kutoa msaada eti kwa sababu jambazi likijua litakuja na kwako. Na usipotoa msaada na bado jambazi likaja? utawalaumu jirani zako. Kidole kimojsa hakivunji chawa. Hawa magaidi ni lazima wapigwe vita kwa nguvu ya pamoja.
   
 13. N

  Ndole JF-Expert Member

  #13
  Oct 29, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwani alshabab walishamtukana Kikwete? au kuitisha Tz? Hebu tukumbushe ndugu yetu.
   
 14. CHIETH

  CHIETH Senior Member

  #14
  Oct 29, 2011
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 179
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna tatizo lo lote hapa. Al shaban ni wenda wazimu tu hata kama kikwete asingetoa kauli hiyo bado wanaweza kushambuilia. Cha msingi nchi zetu kuungana na kupambana nao tu. Philosophy yao ndiyo inatisha zaidi haibagui mtu.
   
 15. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #15
  Oct 29, 2011
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Who is alshabaab they are just people. Just like Gadafi and sons. I wish I could be in the Kenyan convoy to deal with them. Let us go back to Babu wa Loliondo and leave this issue (ghost).
   
 16. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #16
  Oct 30, 2011
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Kama angethubutu kusema kwamba Kenya haikufuata taratibu za kimataifa ktk kuingia nchi nyingine na kushambulia; bado mngesema JK mdini na kwamba anawatetea magaidi wa kiislamu......yaani waungwana kila kitu ni kupinga tu, ima faima!!!
   
 17. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #17
  Oct 30, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hivi anjuani unaita vita vile?kama mnajua vita peleka jeshi afghanistan uone
   
 18. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #18
  Oct 30, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Katika woooote wachangiaji, wewe ndiyo umesema cha maana. Hakuna conventional war hapo -- humuoni adui yako yuko wapi -- yuko nyuma, mbele au kati kati yenu.

  Sawa tulipigana na majeshi Idi Amin kwa ujasiri na kuyashinda. Lakini laiti wakati ule Waganda wangeamua kufanya mambo ya ugaidi humu mwetu sijui ingekuwaje.

  Hofu ya kujiingiza Somalia hasa kwa kauli ya wazi ya kiserikali itakuwa imetuweka tayari kwenye mapambano na maharamia hao. Swali ni je, tunao uwezo humu ndani kukabiliana nao endapo wataanza vitu vyao kama jinsi tayari wamefanya huko ndani ya Kenya? Hilo ndilo swali la msingi la kujiuliza -- na siyo maneneno maneno tu ya kishabiki.
   
 19. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #19
  Oct 30, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
   
 20. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #20
  Oct 30, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kwani wakuu mngependa atetee huu upuuzi unaofanywa al-shabab? Japokuwa ccm wanakumbatia maovu ila hili ambalo hana uwezo nalo hajilikumbatia pia mind u mr presida angalia kibanzi kilicho kwenye jicho lako kwanza
   
Loading...