Kwa 'Hate Speech Pre Campaign' ya chini chini kwa kiti cha udiwani Kawe kati ya Lwakatare na Mwakibinga, haki ya Mungu Damu itamwagika

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,466
108,621
Kama kuna Jimbo ambalo Upinzani wakiweka Mtu sahihi kwa Nafasi ya Udiwani wanachukua kiurahisi kabisa na asubuhi tu basi ni Kawe. Na kama CCM hawatakuwa makini na hawa akina Muta Lwakatare na James Mwakibinga kwa aina ya Kampeni zao za Kuchukiana na Kudhalilishana ambazo wanazifanya chini chini kuna uwezekano kuwaka na Mpasuko mkubwa CCM Kawe.

Kuna Mmoja anamchafua Mwenzake kuwa ni 'Teja' maarufu huku Mwingine nae akidai Mwenzake ni 'Bwabwa' la Kutukuka kabisa.

Kuna Mmoja anajivunia kubebwa na Mkuu wa Mkoa Mmoja huku Mwingine nae akijivunia kubebwa na Hadhi ya Mama aliyetangulia.

Kuna Mmoja anadai Mwenzake ana tabia za Kuwalala Wanawake Ofisini Kwake tena bila hata ya kuwa na Hofu ya kupata UKIMWI.

Kuna Mmoja anadai Mwenzake anaishi kwa Kodi ya Mwanamke kwani ukiachia Jina lake Kubwa lakini Mfukoni ni Apeche Alolo tupu.

Kuna Mmoja anadai Mwenzake Kauza sana Maeneo ya eneo analoliongoza na Pesa kapiga na Mtendaji Mmoja wa Kingoni Kawe.

Kuna Mmoja anadai Mwenzake hana Hadhi ya kuwa Kiongozi kwakuwa Mama yake Mzazi Kutwa anakesha Jambo Lee Pub Kawe.

Ili kuonyesha kuwa Wawili hawa sasa wameingia katika Vita Kali sana ambayo GENTAMYCINE natabiri mapema kama hawatadhibitiwa haraka na Chama (CCM) watakipasua na kuleta Mgawanyiko mkubwa na hatimaye Kusababisha Wagombea wa Vyama vingine kupita Kiurahisi Jimboni hapo.

Lwakatare sasa kamwekea Mwakibinga Watu na kawapa Camera ili wamfuatilie kile aendapo na wakiona tu anagawa Pesa wampige Picha ili amchafue lakini na Mwakibinga nae ameweka Watu wake hasa Masela wa Kawe ili wamtegeshee Mademu Mpinzani wake na wamlengeshe katika 'Bwimbwi' ambalo inasemekana Mpinzani wake analikubali Kinomanona.

Namalizia kwa Kuwaomba TAKUKURU wawafuatilie hawa Wawili kwani kwa sasa Kambi zao zote kuna Pesa zinamwagwa mno na sana huko.
 
Acha wapinzania wapite huko au unataka vipi ? ccm inachosha sana na inakawiza maendeleo ya watanzania.
 
Vuruganeni tu, hamstahili kushinda chochote muda wenu ulishapita.
 
Rwakatale mipango ya mama yake ilikuwa awe
Meya wa wa jiji
Na hata udiwani aliununua kutoka mgombea wa Chadema..

Mama hayupo anafikiri nani atambeba?
Why asi concentrate na biashara now mama hayupo?

Uteja mama yake alisema alimuombea akapona kumbe bado?
 
Kama kuna Jimbo ambalo Upinzani wakiweka Mtu sahihi kwa Nafasi ya Udiwani wanachukua kiurahisi kabisa na asubuhi tu basi ni Kawe. Na kama CCM hawatakuwa makini na hawa akina Muta Lwakatare na James Mwakibinga kwa aina ya Kampeni zao za Kuchukiana na Kudhalilishana ambazo wanazifanya chini chini kuna uwezekano kuwaka na Mpasuko mkubwa CCM Kawe.

Kuna Mmoja anamchafua Mwenzake kuwa ni 'Teja' maarufu huku Mwingine nae akidai Mwenzake ni 'Bwabwa' la Kutukuka kabisa.

Kuna Mmoja anajivunia kubebwa na Mkuu wa Mkoa Mmoja huku Mwingine nae akijivunia kubebwa na Hadhi ya Mama aliyetangulia.

Kuna Mmoja anadai Mwenzake ana tabia za Kuwalala Wanawake Ofisini Kwake tena bila hata ya kuwa na Hofu ya kupata UKIMWI.

Kuna Mmoja anadai Mwenzake anaishi kwa Kodi ya Mwanamke kwani ukiachia Jina lake Kubwa lakini Mfukoni ni Apeche Alolo tupu.

Kuna Mmoja anadai Mwenzake Kauza sana Maeneo ya eneo analoliongoza na Pesa kapiga na Mtendaji Mmoja wa Kingoni Kawe.

Kuna Mmoja anadai Mwenzake hana Hadhi ya kuwa Kiongozi kwakuwa Mama yake Mzazi Kutwa anakesha Jambo Lee Pub Kawe.

Ili kuonyesha kuwa Wawili hawa sasa wameingia katika Vita Kali sana ambayo GENTAMYCINE natabiri mapema kama hawatadhibitiwa haraka na Chama (CCM) watakipasua na kuleta Mgawanyiko mkubwa na hatimaye Kusababisha Wagombea wa Vyama vingine kupita Kiurahisi Jimboni hapo.

Lwakatare sasa kamwekea Mwakibinga Watu na kawapa Camera ili wamfuatilie kile aendapo na wakiona tu anagawa Pesa wampige Picha ili amchafue lakini na Mwakibinga nae ameweka Watu wake hasa Masela wa Kawe ili wamtegeshee Mademu Mpinzani wake na wamlengeshe katika 'Bwimbwi' ambalo inasemekana Mpinzani wake analikubali Kinomanona.

Namalizia kwa Kuwaomba TAKUKURU wawafuatilie hawa Wawili kwani kwa sasa Kambi zao zote kuna Pesa zinamwagwa mno na sana huko.
Fisi kala fisi dadeq
IMG-20191216-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom