johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 93,950
- 164,194
Anajivunia cheti chake cha std seven na amekuwa na mchango mkubwa bungeni.Amewahi kuhudumu Cuf na Chadema kabla ya kuhamia CCM alikoenda kumbwaga Dr Malecela ubunge jimbo la mtera.Cheti si kigezo cha kufanya siasa bali utashi.Hongera kiba!