Kwa hapa tulipofika ,CHADEMA mnatakiwa mfanye hivi...

ibesa mau

JF-Expert Member
Sep 17, 2015
2,109
1,692
Huu ushauri unaweza kuisaidia CHADEMA

Ushauri wangu ni kwamba kutokana na sintofahamu ya viongozi wa CHADEMA wabunge na madiwani kuhamia ccm. CHADEMA iwaandikie barua wabunge wake wote waende kwenye mikutano ya hadhara na kwenye media wakadeclare wenyewe kwamba hawatahama CHADEMA. Waende wakajiapize kwa wapiga kura wao kwamba hatahama CHADEMA kwa namna yeyote ile na ikionekana amehamia ccm wapiga kura wakachome nyumba yake, au wamwite rofa, au wakimwona anapita njiani wamkate mapanga. Ajiapize yeye mwenyewe. Hii itaisaidia sana. Na wapewe muda mbunge ambaye hata Fanya hivyo kwa muda watakao pewa asiachwe afukuzwe . Ni afadhari ionekane amefukuzwa itakuwa ni jambo lenye heri kuliko kumwacha aendelee kukamilisha biashara yake na ccm na mwisho wa siku ataondoka.
 
Siasa kamwe haifanyi kazi wa style hiyo, hata hawa wanaohama hama kwa hila utawasikia tu watakavyokuja kuhaingaika baadae - ni suala la muda tu.
 
Back
Top Bottom