Kwa hali ya sasa ilivyo mbaya tukipigwa vikwazo mwezi tu hii nchi itakwisha

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Nawaza tu kwa uchumi wetu kwa sasa unavyopumulia mashine ICU halaf itokee tupigwe vikwazo kwa sababu ya huyu dikteta one month tutakua tumekwisha aisee

Haki nawaambia UN au USA na UK wakiamua kufuatilia mienendo ya huu utawala hautasurvive hata week 2 vikwazo kwa muda wa week mbili tu nchi ingekua maiti hii...maana moyo wa nchi ambao ni uchumi ungekufa

Tusiyaombee yatokee
Ila huyu dikteta uchwara na bashite na ole sabaya na musiba watu km hawa wanaweza kuipeleka nchi yetu kwenye international sanctions
 
Umeandika utoto sana. Taifa lolote linatakiwa liwe na sifa moja kubwa nayo ni kujitegemea kwa vitu muhimu ila ulivyoandika ni kana kwamba Tanzania lipo chini ya mataifa mengine hivyo wakituacha tutateseka.
 
SGR na UMEME WA MTO NYERERE RUFIJI si tunajenga kwa fedha zetu za ndani?
 
Umeandika utoto sana. Taifa lolote linatakiwa liwe na sifa moja kubwa nayo ni kujitegemea kwa vitu muhimu ila ulivyoandika ni kana kwamba Tanzania lipo chini ya mataifa mengine hivyo wakituacha tutateseka.
Mkuu unajua yanayojiri duniani?Zimbabwe kabla ya sanctions uchumi wake ulikuwa vizuri tu.Zim Dollar ilikuwa inachuana na SA rand pamoja na Pula Ya Botswana. Kila mtu anajua kilichojiri Zimbabwe baada ya kuwekewa vikwazo.Nchi kubwa kama China na Russia zinalalamika zikiwekewa vikwazo ,sembuse Tz?Acha kumuamini sana Jiwe hebu jiongeze basi mkuu!
 
Nawaza tu kwa uchumi wetu kwa sasa unavyopumulia mashine ICU halaf itokee tupigwe vikwazo kwa sababu ya huyu dikteta one month tutakua tumekwisha aisee

Haki nawaambia UN au USA na UK wakiamua kufuatilia mienendo ya huu utawala hautasurvive hata week 2 vikwazo kwa muda wa week mbili tu nchi ingekua maiti hii...maana moyo wa nchi ambao ni uchumi ungekufa

Tusiyaombee yatokee
Ila huyu dikteta uchwara na bashite na ole sabaya na musiba watu km hawa wanaweza kuipeleka nchi yetu kwenye international sanctions
Bora mpigwe vikwazo tuu mtapata akili mta mkataa shetwani
 
Akili yako wewe sijui ikoje. Russia na uchumi wake vikwazo vinamtesa, Irani huko hawana ujanja, China imetishiwa kidogo tu ikaufyata. Itakuwa hii matako ya nyani!!
Umeandika utoto sana. Taifa lolote linatakiwa liwe na sifa moja kubwa nayo ni kujitegemea kwa vitu muhimu ila ulivyoandika ni kana kwamba Tanzania lipo chini ya mataifa mengine hivyo wakituacha tutateseka.
 
Nawaza tu kwa uchumi wetu kwa sasa unavyopumulia mashine ICU halaf itokee tupigwe vikwazo kwa sababu ya huyu dikteta one month tutakua tumekwisha aisee

Haki nawaambia UN au USA na UK wakiamua kufuatilia mienendo ya huu utawala hautasurvive hata week 2 vikwazo kwa muda wa week mbili tu nchi ingekua maiti hii...maana moyo wa nchi ambao ni uchumi ungekufa

Tusiyaombee yatokee
Ila huyu dikteta uchwara na bashite na ole sabaya na musiba watu km hawa wanaweza kuipeleka nchi yetu kwenye international sanctions
Mbaya kwako ,usitusemee ,kama unashinda jukwaani unapiga domo na umbea kufa lwako
 
Back
Top Bottom