Kwa hali ya mashabiki wa Simba na muda wa mechi naona sio sawa kuna watu watashindwa kufturu

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Habar wadau wa JamiForums

Nimekaa na kuangalia upepo wa Mashabiki wa simba na matokeo ambayo wameyabeba kwenda nayo uwanjani huenda ikaleta tabu

Kwanini nasema muda sio Mzuri ni sababu Daresalam Tunafturu saa 12 na dakika 28 kwaio muda wa mechi ulio pangwa na ftari ni mda mmoja sababu watu Dar tutaanza kufturu katikakat ya kipindi cha pili na Huenda matokeo yakawa Tayar mezani kwa kua naamini Yanga tunashinda Basi Upande wa pili huenda ftari isipoe kabisa

My take yanga inashinda 3 moja wafungaji
Kaseke
Nchimbi
Feytoto
 
Angalia wewe usije ukanya kabisa nakukaribisha kutembelea uzi huu kesho kama saiz kama bado utakua na nguvu hata ya ku like
Habar wadau wa jamiforums

Nimekaa na kuangalia upepo wa Mashabiki wa simba na matokeo ambayo wameyabeba kwenda nayo uwanjani huenda ikaleta tabu

Kwanini nasema muda sio Mzuri ni sababu Daresalam Tunafturu saa 12 na dakika 28 kwaio muda wa mechi ulio pangwa na ftari ni mda mmoja sababu watu Dar tutaanza kufturu katikakat ya kipindi cha pili na Huenda matokeo yakawa Tayar mezani kwa kua naamini Yanga tunashinda Basi Upande wa pili huenda ftari isipoe kabisa

My take yanga inashinda 3 moja wafungaji
Kaseke
Nchimbi
Feytoto
Mayai viza FC. Safari hii mmewalisha matatu eh!
 
Back
Top Bottom