Kwa hali niliyoyashuhudia Congo ( DRC ) kuikuta Tanzania ??

Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
19,617
34,062
Africa nadhani ndio makazi ya SHETANI wa UJINGA, ROHO MBAYA, UKATILI na UBINAFSI. Tuombe tu Mungu China isiwe SUPER POWER !!!

AP4280531_Articolo.jpg

Yaani Kwanza Congo asilimia karibia 90 ya vijana hawana Ajira, wengi wamebaki vibaka, nchi imevurugika, hakuna msimamizi kila mtu amechoka. At least US anawatishia hawa madikteta na anawapa masharti ya Haki za binadamu ili kupata misaada.

Yaani madereva wa malori ukipita na roli lako unakimbizwa na vijana wanaoteseka kwa njaa unatishiwa au hata kupondwa mawe kwenye kioo cha gari ilimradi uwape chochote na polisi wanawaona hawawafanyi chochote.

Maeneo mengi Maji hata ya kuoga hakuna mtu anapanda juu ya jengo akimwaga mara ya kwanza mnapaka sabuni, akimwaga mara ya pili ndo unajissuuza hivyo. na ukimaliza unalipia.

Migodi karibu yote ( Ya Manganese, Copper. Dhahabu etc ) wamepewa wachina na wahindi wanachimba balaaaaaaaaaaa, na wakati mwingine mnaweza kuwa mgodini kambini masikia huko nje mshavamiwa na waasi wanamimina risasi kama MAJI dege linakuja maboss wanakwea wanasepea kutokea ndani, Yaani wnachimba madini watakavyo maana wanasema wanafanya kazi katika mazingira magumu.

Nadhani na sisi tuendelee kucheka na kuunga mkono, ipo siku tutajikuta wote tumefungwa mikono, migu, midomo, mioyo hata KEYBOARD WARRIORS hautakuwepo tena.

==========================

1. Viongozi wa upinazi tangu mwaka 2015 wana kesi mahakamani zisizoisha .
2. Vijana hawana aijra tangu 2015
3.Watu wanapotea kikatili wala hakuna anaehoji, hata wachungaji na viongozi wa dini wengine wanaendelea kuhubiri amani wala hata w=hawajali kinachotokea hata kama mtu akipigwa riasi nyuma ya nyumba yao hawaoni kama ni tatizo
4.Pesa zote mtu mmoja ndio anakaa nazo, ipo siku hata kula tu ni lazima tumpigie magoti maana ndie anaempa amtakae na anatengeneza matajiri awatakao

Pole Tanzania
 
Tanzania itakuwa na watu 120,000,000 idikapo 2050. Tusiporejesha uwekezaji wa ndani na nje, Tanzania itakuwa hovyo kuliko hii Congo tunayosimuliwa na mleta mada.
Kama watawala wenywe ndio kina JIWE sahau.

Eti kuna watu wanadhani tunaweza kuwapiku wakenya kwa akili za kina Jiwe ????
==============================
 
Huyu kijana anataka kutufananisha na Failed state ambayo imeruhusu kuingiliwa na nguvu kutoka inje.
Kijana ni bure kabisa huyo. Hawa madereva wa maroli mirungi na bangi vinawaathiri sana mkuu. Plus stress za kuacha mke wake nyumbani Mwenyekiti wa serikali ya mtaa akijisevia kama ubwabwa wa msibani.
 
Kijana ni bure kabisa huyo. Hawa madereva wa maroli mirungi na bangi vinawaathiri sana mkuu. Plus stress za kuacha mke wake nyumbani Mwenyekiti wa serikali ya mtaa akijisevia kama ubwabwa wa msibani.
Kwanza wengi wao mishahara yao huwa haikatwi Paye ni jukumu la vitengo husika kuliangalia hilo.
 
Kwanza wengi wao mishahara yao huwa haikatwi Paye ni jukumu la vitengo husika kuliangalia hilo.
Kumbe huwa hayakatwi hata Paye mkuu!?
Aisee nafikiri muda muafaka umefika kwa Serikali kuliangalia hili suala ili kuongeza mapato ya Taifa.
Mifuko ya hifadhi za Jamii huwa wanachangia? NHIF je?
 
Kumbe huwa hayakatwi hata Paye mkuu!?
Aisee nafikiri muda muafaka umefika kwa Serikali kuliangalia hili suala ili kuongeza mapato ya Taifa.
Mifuko ya hifadhi za Jamii huwa wanachangia? NHIF je?
Halafu wengi ni wezi wa dizeli pamoja na kupakia mizigo bila ya ruhusa za waajiri wao.
 
Kweli mkuu niliwai kwenda kamoto na mutanda wageni ndo wanafanya kazi yani raia wapo karibu na migodi lkn maisha yao ni magumu hatari .kuna sehemu niliona nyumba imezungushiwa viroba halafu pembeni amepakana na mgodi wa dhahabu.
 
Hili inabidi mamlaka husika ilitupie macho....nafikiri liko sambamba na makosa ya uhujumu uchumi na mengineyo.
Tena hawa madereva inabidi wapimwe akili.mtu anaendesha lori huku anataipu jamii foram
 
Kama watawala wenywe ndio kina JIWE sahau.

Eti kuna watu wanadhani tunaweza kuwapiku wakenya kwa akili za kina Jiwe ????
==============================

Kwa hiyo wewe intentions zako ni kuipiku Kenya? Basi una hasara sababu hata hujitambui unachotaka
 
Kijana ni bure kabisa huyo. Hawa madereva wa maroli mirungi na bangi vinawaathiri sana mkuu. Plus stress za kuacha mke wake nyumbani Mwenyekiti wa serikali ya mtaa akijisevia kama ubwabwa wa msibani.
😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 😁 burudani kwa bei cheee
 
Back
Top Bottom