Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 3,884
- 3,805
Nashauri tupimwe tu jamani hakuna namna at least unaweza kuishi kwa muda kidg
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa na mmoja ni kuhalalisha ndoa mkuu sasa mm teen natakiwa niwe na chovya chovya huku na huko aseeeeeeee.., ai unajua tena ukiingia ndoani zilivyo.
Vipi wale madakitari wanaoshtukiza hebu waache jamani haya mambo kama ulivyosema inatakiwa mtu ajiandae
Sent using Jamii Forums mobile app
nilikutana na hali kama hiyo kwenye zahanati moja pale jiji la nairobi.Siku hizi hamfanyi aisee zamani ilikuwa kabla ya kupima unapewa counselling ya maana na kabla ya kupewa majibu unafanyiwa counselling juzi nmeenda hospitali Dr kaniandikia tu kipimo cha HIV kama cha malaria vile simple bila hata kuniuliza kama niko tayari kupima
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mimada yenu imenifanya leo asubuhi kila nnayemuona namuangalia angalia (kwa macho) kama anao..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hee haya na huo msamiati wako sijua kama umeniunga mkono au umenipingaThat's so unscrupulous medical practices...
Hahaa hizo zama kumbe zimeshapita...siku hizi ukimwi kama typhoid tunilikutana na hali kama hiyo kwenye zahanati moja pale jiji la nairobi.
yule daktari mkenya hakuwa na simile katika masuala ya kupima ngoma.
alikuwa "strweti fowadi" katika kauli yake....no kubembelezana.
upime au ughairi ni juu yako.yeye wala hajari.
Mkwe nimekumiss sana....Hee haya na huo msamiati wako sijua kama umeniunga mkono au umenipinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa si unaona mnavyoishi bila amaniWe sis sisi wanaume hatuna akili, kama panya hakuna shimo unaona usitake kuliingia
Ni namna nyingine tu ya kusema unethical au unprofessional...Hee haya na huo msamiati wako sijua kama umeniunga mkono au umenipinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimwi sio Ugonjwa na wala sio kitu cha kuogopa Tiba ninayo ukitaka Dawa ya Ukimwi nione kwa wakati wako.Kuna kijana mmoja msomi hapa mtaani kwetu alipata fursa ya kwenda kufanya kazi kwenye kiwanda kimoja kikubwa nchini marekani, baada ya kufanya maandalizi ya kwenda safari yake alilazimika kufanyiwa vipimo vya afya ikiwemo HIV test.
Alipopimwa alikutwa Positive, ni takribani mwezi sasa tangu apime kijana huyo ambaye alikuwa ni handsome kwa muonekano wa mwili wake kwa sasa amekuwa zaidi ya babu kizee, amekonda amebaki mifupa na kutembea kwake kwa shida.
Nashindwa kuelewa ni kitu cha ghafla kilichompata kijana huyu mpaka kuwa na hali hiyo, anyway, na kwa niliyoyaona sitashawishika kupima Ukimwi bora tu niendelee kuishi kwa matumaini.
NB :Sishawishi wengine wasipime huo ni msimamo wangu tu.
Tupunguze uasharati jamani Ukimwi bado upo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ujumbe mzuri sana ongera skyKitu cha kwanza cha kuzingatia majibu yakiwa +ve ni kuwa nani unashare nae hiyo information. Wengi wanapanic na kuanza kutafuta huruma kwa watu matokeo yake unakuwa gumzo kwenye jamii
Fikiria hiyo information iwe kama tooth paste ukishaitoa huwezi kuirudisha tena kwenye tube basi wanaopaswa kufahamu wawe wale wanaohitaji kujua
Chanjo ya homa ya ini unaweza kuipata katika hospitali ya rufaa iliyo karibu na ww na utapewa chanjo kwa awamu tatu, ili kupata utajiandikisha kama mgonjwa wa kawaida utamuona daktari na kufanyiwa vipimo.Huu uzi unachekesha aisee,,,, dada sky Eclat inakuwaje watu wameoana miaka hata mitano mmoja anakutwa kaathirika na mwingine hajaaathirika,huyu ambaae hajaathirika ana damu ipi hiyo,,maana usiniambie eti hawajahi kuchubuana
Na kuhusu homa ya ini chanjo inapatikanaje?watu tukapatae chanjo mapema Sky Eclat
Naijua hiyo tiba yako ya kunywa mkojo wa AsubukhiUkimwi sio Ugonjwa na wala sio kitu cha kuogopa Tiba ninayo ukitaka Dawa ya Ukimwi nione kwa wakati wako.
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu.