kwa hali, ni wazi vyombo vingi vya habari vitaichukia Redio Imaan na watangazaji wake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa hali, ni wazi vyombo vingi vya habari vitaichukia Redio Imaan na watangazaji wake

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Malaria Sugu, Jun 7, 2012.

 1. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nani aliekuwa anajuwa kama Picha iliobandikwa ktk magazeti ya TANZANIA DAIMA, NIPASHE NA UHURU kuhusu macahfuko ya Zanzibar ni propaganda?
  Mara tu baada ya picha hiyo kubandikwa, nilifungua redio imaan kusikiliza msimamo wao.mara nikasikia Anahojiwa ustadh aliehusishwa picha hiyo kwamba yupo Zanzibar au Morogoro? Ukweli ukajulikana mara 1
  Pia siku hizi nikisoma habari ninayoitilia shaka hufungua redio imaan kusikiliza jinsi wanavyoiffatilia kwa kina kwa wahusika na kuwajuza wananchi ukweli ulivyo.Tofouti na mwanzao likiandikwa limeandikwa tu, hakuna opposite side kusikia
  Naamini kazi hii haipendwi na vyombo vya habari vini vinavyokurupuka na kuandika zaidi hisia badala ya ukweli.lkn ujio wa redio hii kunaweka mambo mengi sawa
  Uji wa redio tayari kumeifanya baadhi ya vyombo vya habarikushuka uaminifu mbele ya jamii. tofauti na zamani sukuma twendwe hakuna anehoji ukweli wa habari na wananchi kulishwa sumu
   
 2. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Hii redio sizani kama watangazaji wake wanataaluma ya habari!wanakurupuka tu kila kikicha,kazi kweli kweli
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Wana taaluma ya ilmu akhera mkuu,...wamesoma chuo toka wakiwa wadogo saaaana,....ahahahahaaaaaaaaaaaaa
   
 4. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hahahaha,wanachachafya maagzeti yenu, wakipotosha umma wanaumbuka migazeti yenu
   
 5. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #5
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,753
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Radio Imman is a worst radio ever..........sema labda kama unataka malumbano yasiyo na maana mkuu.
   
 6. m

  mzaire JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata vyombo vyenu vikaichukia kwetu ss ni muhimu kuliko Gazeti la Mwananchi, Nipashe, Uhuru, TzDaima na vijalada vyengine.

  Nani hakujua kama ile picha ilikuwa si ya Z'bar na kama Redio Iyman hawakuyasemea ni nani anapaswa kuyasemea, na hayo magazeti yenu kila moja lilikazana na kuchomwa makanisa makanisa makanisa kama Z'bar kuna wakristu wa maana.

  Mtaumwa sana kwa hii Radio yetu na hata bado Ndugu.

  Poleni sana. :glasses-nerdy:
   
 7. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #7
  Jun 7, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wanaumbuka, sasa wakiandika ja,maa wapo wanachambua
   
 8. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  awa ndg zetu vitu wanavyoliliaga aibu kwa kweli.
  Ivi serikali ina woga gani kuipa ban i radio.
   
 9. l

  lum JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 343
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  redio imam idhaa ya imani
  IDHAATU IMAAN
  ''ELIMU BILA MIPAKA''
  104.4 fm dar es salaam na zanzibar


  Mtambo wa kurekebisha tabia
  ---- naipendaaaaaaaa
   
 10. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hii redio ni chochezi!!:confused2:
   
 11. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Waweke ile mihadhara basi tusikie.
   
 12. Malaria Sugu

  Malaria Sugu JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2012
  Joined: Jul 7, 2009
  Messages: 2,653
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hata jf ikipigwa ban utafaidika na nini?
   
 13. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Ni muda mrefu sana jamii imekuwa ikilishwa sumu na hivi vyombo vya habari uchwara. Sasa ni muda muafaka wa jamii kupata muangaza, kupitia radio imaan.
   
 14. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #14
  Jun 7, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Redio muhimu na ni msaada mkubwa sana kwa waislamu
   
 15. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #15
  Jun 7, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Wenzio wanapiga chuo toka wana miaka minne,chezea
   
 16. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #16
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  redio imani inapatikana wapi?
   
 17. Master jay

  Master jay Senior Member

  #17
  Jun 7, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 187
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Acha udin Nyerere alishakataa
   
 18. R

  Rebel volcano JF-Expert Member

  #18
  Jun 7, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 404
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii redio hata mimi naiaminia habari zake ni za ukweli na uhakika.
   
 19. Bornvilla

  Bornvilla JF-Expert Member

  #19
  Jun 7, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 925
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Radio Imani Mola iwezeshe idumu hata mwisho wa dahari kwani ni msaada mkubwa kwa jamii na inatupatia habari zakweli kabisa na uhakika. Radio Iman ldhaatul Iman( tunawatoa watu katika kiza na kuwapeleka katika nuru kwa idhini ya Mwenyezi Mungu).
   
 20. F

  Francis Jr Senior Member

  #20
  Aug 25, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 145
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nchi haitatawalika.
   
Loading...