Kwa hali inabidi maandamano yafanyike haraka hii bei ya umeme ni balaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hali inabidi maandamano yafanyike haraka hii bei ya umeme ni balaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FredKavishe, Jan 16, 2011.

 1. F

  FredKavishe Verified User

  #1
  Jan 16, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Juzi nilikwenda kununu umeme wa sh 30000'sasa kitu tanesco wanatufanyia sijui ndo kuilipa dowans maana wamekata kama kawaida yao tax sh 4807.48 hii kwa ewura kuna kitu fixed amount 2738 halafu mwisho wakakata tax tena 602 sijui ndo ya rostam aziz na lowasa sijui hapo wakanipa unit 139.20 kwa sh 2185.16 sijui kama sijarudi kijijini mwaka huu mwaka jana kwa elfu 30 nilikuwa napata unit 191 mungu atusaidie huku mtaani mama ntilie kapandisha msosi 1500 sasa soda 600'maji dumu wanauza 500 kuoga nishaacha siku nyingi kuoga imekuwa anasa sasa'kikwete unatupeleka wapi
   
 2. k

  kingtuma Member

  #2
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hilo si jambo la kusema polepole kwani tunakoelekea ni kufa kama kondoo tumechelewa sana hata hivyo mi natamani hata leo tulianzishe kama hatujui tuwaulize wana wa UDSM watupe strategies inaniuma sana.
   
 3. F

  FredKavishe Verified User

  #3
  Jan 16, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  acha tu ndugu yangu
   
 4. H

  HYDROCHLORIC Member

  #4
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni lini hayo maandamano yataanza tunayasubili kwa hamu ili kupinga utawala huu wa Dowans.
   
 5. kilemi

  kilemi JF-Expert Member

  #5
  Jan 16, 2011
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 521
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hivi hajapatikana mtaalamu wa kuchakachua hizi mita zao, zisisome matumizi? Kwa ufisadi kama huu, mambo yote ni undava undava tu!
   
Loading...