SanaKazi ipo
SanaKazi ipo
๐๐๐ mmetisha lkntabu sana kwa sisi waoaji
anagalau ww sio kama wale๐๐๐ mmetisha lkn
๐๐๐๐ eti ee!anagalau ww sio kama wale
yeah pongezi kwako twin๐๐๐๐ eti ee!
๐๐ twin mm mbona ni wale walentu,kwetu choka mbaya,kazi ya maana sina,pesa ndo dooo! -0 kbs.yeah pongezi kwako twin
despite everything i can not compare u with other bitch's๐๐ twin mm mbona ni wale walentu,kwetu choka mbaya,kazi ya maana sina,pesa ndo dooo! -0 kbs.
Si ndio basi tena
Thnk you twin for appreciations.despite everything i can not compare u with other bitch's
hahaha ucjal twinThnk you twin for appreciations.
Ila ndo unitafutie kazi ht ya kuosha masufuria hotelini! ๐๐
Angalau na mm nionekane mtu,maana km waoaji wenyewe ndio mko na slogan za aina hiyo,ni shida kdghahaha ucjal twin
Kama nilivyosema wanaume wanatak wanawake wenye pesaa na kazi kama sisi hay Demiss nilisema mkaniponda mwenzenu huyo kathibitishaa
Mwanaume anataka mwanamke anaejua kutafuta pesa ili hata kama siku akikwama kuwe na msaada. Ila mwanaume hawazi kutafuta mwanamke mwenye hela. huo ni udangaji wa kiume.
Kwa hiyo umeamua kutafuta mume mwenye hela na wewe maisha yanaenda kasi sanaa.
Lakini huyu kaka anasema ukweli. Utakuta mdada kazi yake kujipodoa toka asubuhi hadi jioni, yeye anachat tu...ana team madai yake, page zote za umbea anazijua...kope kule, mikucha aaaargh hadi kuomba maji ya kunywa kinyaa, Nguo wanazovaa aibu tunahis wengine. Anajua kudangaaaaa...kwa style hii hata mi ningekuwa men ningesaka wanaojielewa. Hata kama huna ela ila kidogo una upeo Wa maisha. Sio mdada mda wote anawaza sijui sultan kafanyaje. The same kwa wanaume wanaobet...mi nikijua mwanaume unabet kwakweli nakushusha hadhi.
Si ungemalizia tu hio avatar ikamilike.Magu kazaaaaaaa baba. Naona watu washaanza kutamani wawe kama wanawake wahudumiwe
Hata mimi ningekua mwanaume mwanamke anaekaa tu kama maiti sitaki. Hana anachojua zaidi ya kuchat na series. Kwanza awe na kazi au biashara au anasoma. na kama hana kazi wala biashara wala hasomi unaona kabisa ubongo wake haujalala.
Sio mtu anawaza akadange ndo aishi. Na hata ukimwambia mtaji huu mama anautumbua. Sema wanaume wanapenda slay queens na slay queens mambo ya kuhangaisha ubongo hawataki.