Kwa hali iliyopo sasa hivi, bora nianze kutafta wadada wenye kazi nzuri au wale waliotoka kwenye familia tajiri

Mwanaume anataka mwanamke anaejua kutafuta pesa ili hata kama siku akikwama kuwe na msaada. Ila mwanaume hawazi kutafuta mwanamke mwenye hela. huo ni udangaji wa kiume.

Hakuna kitu ambacho mwanamke atampa mwanaume zaidi ya papuchi,Tena papuchi yenyewe unapewa kwa masharti na ratiba Mzigua90
 
Lakini huyu kaka anasema ukweli. Utakuta mdada kazi yake kujipodoa toka asubuhi hadi jioni, yeye anachat tu...ana team madai yake, page zote za umbea anazijua...kope kule, mikucha aaaargh hadi kuomba maji ya kunywa kinyaa, Nguo wanazovaa aibu tunahis wengine. Anajua kudangaaaaa...kwa style hii hata mi ningekuwa men ningesaka wanaojielewa. Hata kama huna ela ila kidogo una upeo Wa maisha. Sio mdada mda wote anawaza sijui sultan kafanyaje. The same kwa wanaume wanaobet...mi nikijua mwanaume unabet kwakweli nakushusha hadhi.
 
Hata mimi ningekua mwanaume mwanamke anaekaa tu kama maiti sitaki. Hana anachojua zaidi ya kuchat na series. Kwanza awe na kazi au biashara au anasoma. na kama hana kazi wala biashara wala hasomi unaona kabisa ubongo wake haujalala.
Sio mtu anawaza akadange ndo aishi. Na hata ukimwambia mtaji huu mama anautumbua. Sema wanaume wanapenda slay queens na slay queens mambo ya kuhangaisha ubongo hawataki.

Hahaha best wanakuja kushtuka mda umeenda!! Acha waisome namba...wanatuona sisi washamba. Mi mwenyewe li man lisilojielewa natupa kule...stress for what. Maisha ni nipe nikupe.

Back
Top Bottom