soul provider
JF-Expert Member
- Jun 21, 2014
- 1,330
- 2,071
Mkuu okoyoko njoo uthibitishe hizi tuhumaMarioo wanazidi kuongezeka siku hadi siku....
Mkuu okoyoko njoo uthibitishe hizi tuhumaMarioo wanazidi kuongezeka siku hadi siku....
Mkuu okoyoko njoo uthibitishe hizi tuhuma
Beef Lasagna ni mchuchu, mtake radhiInaonekana huyo jamaa hata thread yangu hajaisoma vizuri soul provider
Kwakweli......Beef Lasagna ni mchuchu, mtake radhi
Naona unapenda kitongaaaaa
‘’Mwanamke atazaa kwa uchungu mwanamme atakula kwa jasho’’
Huu mstari hukuwah kuusikia popote mkuu!???
Twin😄😄Kudate na manzi asiyejiweza inataka moyo sana. Unaweza jikuta unalea familia nzima
tabu sana kwa sisi waoajiTwin😄😄
Kudate na manzi asiyejiweza inataka moyo sana. Unaweza jikuta unalea familia nzima
Hilo jasho nakula mwenyewe Sio na mwanamke kila mtu alipewa adhabu yake
Hata kama una pesa za kutosha muda mwingine mtu unahitaji kupumzishwa aisee🤣🤣🤣🤣haya maneno huez kuyasikia kwa mtu mwenye pesa zake
Hata kama una pesa za kutosha muda mwingine mtu unahitaji kupumzishwa aisee
yeah hatufanani mkuu muhimu maisha yanasongaIla dunia sio fair wakat wengine wako wanalalamika kumhudumia mwanamke
Kuna mtu anahonga range au kisiwa na halalamik....
Umeona yaaan kila kitu anasubiria mfano baba watoto kampotezea ww unakuja kulea watoto si wakoKudate na manzi asiyejiweza inataka moyo sana. Unaweza jikuta unalea familia nzima
acha kudate na singo maza ndo solution..Umeona yaaan kila kitu anasubiria mfano baba watoto kampotezea ww unakuja kulea watoto si wako
Hivi wewe humwombagi pesa mume wako(kama umeolewa)??Umeamua jambo la Maana sana
Fyeeekelea mbali omba omba maana ni mzigo sana walahi