Kwa hali iliyopo sasa hivi, bora nianze kutafta wadada wenye kazi nzuri au wale waliotoka kwenye familia tajiri

Hilo jasho nakula mwenyewe Sio na mwanamke kila mtu alipewa adhabu yake
Naona unapenda kitongaaaaa
‘’Mwanamke atazaa kwa uchungu mwanamme atakula kwa jasho’’
Huu mstari hukuwah kuusikia popote mkuu!???
 
aa53fa0b-0b90-4b85-8e56-eccc833eda7e.jpg


Yupo bank huyu mshahara mkubwa
 
Back
Top Bottom