okoyoko
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 2,664
- 3,629
Hello guys,
Msinielewe vibaya, sina nia ya kuwa marioo, kutunzwa na mwanamke, wala ku-date mijimama..ila kwa hii hali ya sasa, hawa wadada maskini wanani-cost na hii mizinga yao, halafu hawa-contribute chochote in my life, naona niki-date na wadada wakishua, hata kama niki-spend money on them, najua nikiwaoa kuna namna nitakavyo benefit.
Kuanzia sasa nikifikiria kutongoza mdada, ntamchunguza kwanza nione ana nini, maybe kazi nzuri, au ametoka kwenye familia tajiri, la sivyo I don't care how beautiful she is, au ana chura kubwa kiasi gani, sitowaza kumuoa kamwe, maana nitaoa hasara na hatonifaidisha chochote.
Baada ya kuona kila mdada ninaemtongoza ananiomba pesa, nimegundua kuwa mapenzi ni biashara, kama mapenzi ni biashara kwani kuna ubaya gani na mm niki-benefit kwenye hiyo biashara.