Kwa hali iliyopo sasa hivi, bora nianze kutafta wadada wenye kazi nzuri au wale waliotoka kwenye familia tajiri

okoyoko

JF-Expert Member
Jun 15, 2014
2,664
3,629
Hello guys,

Msinielewe vibaya, sina nia ya kuwa marioo, kutunzwa na mwanamke, wala ku-date mijimama..ila kwa hii hali ya sasa, hawa wadada maskini wanani-cost na hii mizinga yao, halafu hawa-contribute chochote in my life, naona niki-date na wadada wakishua, hata kama niki-spend money on them, najua nikiwaoa kuna namna nitakavyo benefit.

Kuanzia sasa nikifikiria kutongoza mdada, ntamchunguza kwanza nione ana nini, maybe kazi nzuri, au ametoka kwenye familia tajiri, la sivyo I don't care how beautiful she is, au ana chura kubwa kiasi gani, sitowaza kumuoa kamwe, maana nitaoa hasara na hatonifaidisha chochote.

Baada ya kuona kila mdada ninaemtongoza ananiomba pesa, nimegundua kuwa mapenzi ni biashara, kama mapenzi ni biashara kwani kuna ubaya gani na mm niki-benefit kwenye hiyo biashara.
 
kwa nn udate na demu asiye na nauli??
 
Kuna wanawake ni mizigo kama deni la Taifa haliishi Bali linazidi kuongezeka mkuu!nilishaacha kudate na wanawake wa Africa wenye akili kama mange kimav*
 
Kama nilivyosema wanaume wanatak wanawake wenye pesaa na kazi kama sisi hay Demiss nilisema mkaniponda mwenzenu huyo kathibitishaa

Mwanzoni nlikuwa sijali pesa/ kazi ya mdada, nlikuwa naangalia uzuri (sura na chura), ila kwa hali hii ya wadada kuomba pesa kila ninapotongoza, imebidi nibadilishe type ya wadada ninaowatongoza, hata nkitoa pesa najua kuna mahali nita-benefit Demiss
 
Hello guys,

Msinielewe vibaya, sina nia ya kuwa marioo, kutunzwa na mwanamke, wala ku-date mijimama..ila kwa hii hali ya sasa, hawa wadada maskini wanani-cost na hii mizinga yao, halafu hawa-contribute chochote in my life, naona niki-date na wadada wakishua, hata kama niki-spend money on them, najua nikiwaoa kuna namna nitakavyo benefit.

Kuanzia sasa nikifikiria kutongoza mdada, ntamchunguza kwanza nione ana nini, maybe kazi nzuri, au ametoka kwenye familia tajiri, la sivyo I don't care how beautiful she is, au ana chura kubwa kiasi gani, sitowaza kumuoa kamwe, maana nitaoa hasara na hatonifaidisha chochote.

Baada ya kuona kila mdada ninaemtongoza ananiomba pesa, nimegundua kuwa mapenzi ni biashara, kama mapenzi ni biashara kwani kuna ubaya gani na mm niki-benefit kwenye hiyo biashara.
Umechelewa saana kulijua hilo!!
 
Back
Top Bottom