Kwa hali ilivyo, tutafuteni mashamba tulime tu vijana

Kwa hali inavyo endelea kuna vijana hawataki kulima kisa wamesoma wana astashada,shahada,.......

Napenda kuwasihi kalimeni masika ndio yameanza, hizo nafasi mnazosubiri ni za watoto wa viongozi pamoja na wajukuu wao, watukuu vilembwekeze vyao
Kilimo kinahitaji mtaji mkubwa kuliko duka la hardware wilayani
 
Kwa hali inavyo endelea kuna vijana hawataki kulima kisa wamesoma wana astashada,shahada,.......

Napenda kuwasihi kalimeni masika ndio yameanza, hizo nafasi mnazosubiri ni za watoto wa viongozi pamoja na wajukuu wao, watukuu vilembwekeze vyao
Bila shaka umepigwa za USO tayari
 
Njoo Huku Nshamba Muleba Ama Kayanga
Tulime Vanilla Kilogram Moja Tshs Million Moja
Tuukimbie Umasikini!!

Ukija Kasulu Pia Poa Tunalima Zabambiga, Ntole, Mkubi
Tunatoboa Haraka Mno. Vyeti Vingi Sana Kila Mtu Msomi Sasa Hivi
 
Kwa hali inavyo endelea kuna vijana hawataki kulima kisa wamesoma wana astashada,shahada,.......

Napenda kuwasihi kalimeni masika ndio yameanza, hizo nafasi mnazosubiri ni za watoto wa viongozi pamoja na wajukuu wao, watukuu vilembwekeze vyao
Bibi anachoamini mtapiga kelele mtanyamaza,na kwenye sanduku la kula wataiba
 
Kwa hali inavyo endelea kuna vijana hawataki kulima kisa wamesoma wana astashada,shahada,.......

Napenda kuwasihi kalimeni masika ndio yameanza, hizo nafasi mnazosubiri ni za watoto wa viongozi pamoja na wajukuu wao, watukuu vilembwekeze vyao
Kwani kila nafasi za uteuzi wanapewa watoto wa viongozi?

Hata hizo chache wanazopewa, Je hawastahili? Kwani kuwa mtoto wa kiongozi ndo laana kwako usipate nafasi yeyote?
 
Unasema tu.

Angalia bei za pembejeo za kilimo.

Ifike mahali kilimo kiheshimiwe.

Sio mnakuja kutuvamia mashambani as a last resort.
 
Njoo Huku Nshamba Muleba Ama Kayanga
Tulime Vanilla Kilogram Moja Tshs Million Moja
Tuukimbie Umasikini!!

Ukija Kasulu Pia Poa Tunalima Zabambiga, Ntole, Mkubi
Tunatoboa Haraka Mno. Vyeti Vingi Sana Kila Mtu Msomi Sasa Hivi
Mkuu vanilla kg 1 ni 1m? Inawezekanaje hii mkuu. Je ekari moja yawezatoa kg ngapi kwa msimu? Na shamba linachukua miaka mingapi kuanza kuzaa na kuvunwa?
 
Back
Top Bottom