mwelemimmongo
Member
- Feb 16, 2021
- 95
- 75
Kwa hali inavyo endelea kuna vijana hawataki kulima kisa wamesoma wana astashada,shahada.
Napenda kuwasihi kalimeni masika ndio yameanza, hizo nafasi mnazosubiri ni za watoto wa viongozi pamoja na wajukuu wao, watukuu vilembwekeze vyao.