Kwa hali ilivyo : Je watanzania bado tunahitaji kill music awards.................... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hali ilivyo : Je watanzania bado tunahitaji kill music awards....................

Discussion in 'Celebrities Forum' started by only83, Mar 27, 2011.

 1. only83

  only83 JF-Expert Member

  #1
  Mar 27, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Nimejaribu kufatilia Kill Music Awards through ITV..........Kwa niliyoyaona nawauliza watanzania bado tunayahitaji hizi awards

  1. Udhaifu kwa watoaji wa tuzo mfano Nsajigwa alishindwa hata kusoma bahasha
  2. Mshehereshaji wa kike alikuwa anajikanyaga mara kwa mara..
  3. Watoaji wa tuzo kutokuwa serious yaani ni upupu tu.....
  4. Waandishi wa habari na wasanii na wapambe wao kulivamia jukwaa nk
  Niliwai kufatilia KORA MUSIC AWARDS miaka fulani na bendi ya Extra Music ikawa imechukua tuzo nyingi lakini hakuna aliyevamia jukwaa,wanamuzi wote walibakia chini wakicheza music...Jana ilikuwa kama harusi...
   
 2. Venant Ben

  Venant Ben Senior Member

  #2
  Mar 27, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 155
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mi hoi!:lol:
   
 3. b

  bitimkongwe JF-Expert Member

  #3
  Mar 27, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 3,034
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 160
  Ushamba mtupu kuanzia stage yenyewe mpaka hao wasanii na watangazaji.

  Tunahitaji a lot of improvement ili tuweze kuwa serious kwenye hii award. Jamani angalieni wenzenu wanavyotengeneza mipango yao na nyinyi mujifunze kutoka kwao. Jana usiku hata hao wasanii kuwaona kwenye stage ilikuwa mpaka urekebishe eyesight yako.

  Hao wasanii hawajui kuvaa kabisa na hasa kweenye function kama ile. Msanii anakwenda pale na kikofia chake kimeandika NY (New York) pamoja na sunglasses (za kike na kiume) maana yake nini? Haoni au imekuwa vipi? Baadhi yao kuimba live wameshindwa kabisa nadhani kutokana na kukosa uzoefu.

  Nyimbo nyingi hazieleweki hata kile kinachoimbwa (booooooring!). Ambazo nimeona angalau zina mwelekeo zilikuwa 'habari ndiyo hiyo', ile ya msondo ngoma pamoja na ya 'njiwa'.

  Maoni yangu:
  Inatakiwa wale watakoimba wafanyishwe mazoezi kabla ili kuangalia mambo yatakwenda vipi.
  Kuwe na taasisi ambayo inawapa mafunzo hawa waimbaji na waigizaji vijana na wazee heshima zinazohitajika pindi unapokuwa kwenye hadhira kama ile. Wenzao Marekani huwa wanakwenda hizo shule special kwa ajili ya mafunzo hayo.
  Uchaguzi wa nyimbo: asilimia 60 iwe kutoka kwenye kura za wananchi na 40 kutoka kwa wataalamu wa fani hiyo. Kwa mfano, nimeshangaa kuona msanii kama Mjomba amekosa tuzo na amepata Mpoki, lakini ukiangalia hasa utaona mantiki na utunzi wa mjomba uko makini zaidi.
   
 4. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #4
  Mar 28, 2011
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Ni kweli wanahitahi msasa wa hali ya juu kufikia level ya wenzetu ila wewe umetia chunvi zaidi kwenye mboga. Mimi kwa upande wangu naona wamejitahidi kwa sababu ndio kwanza kijui ni kili ya ngapi hivyo mpaka wafikie labda kili ya 30th au 50th tuakuwa tumelingana na hao walitangulia. Ingawa kiswanglish kilikuwa kinaniboa sijui kwa nini mtu huwezi kuongea lugha moja bila kuchanganya. Au sijui kuchanganya ni moja ya sifa ya uonekana wamo.
   
Loading...