Kwa hali hii ya ushindani admission ya 2020/2021 udaktari. Je, nimepoteza hela yangu?

KISUNZU YP

Senior Member
Jul 30, 2016
114
37
Wale watalaam wa mambo haya ambao mnawezakuwa mnajua naomba hata neno la faraja

Mimi nina Diploma in Clinical Medicine (Clinical Officer) na GPA ya 3.4 O'level Nina Phys C, Chem C, Biology D, Math c, Eng B
Na nimeomba UDSM(Mbeya), MUHAS, UDOM na St. Francis Je! Nimepoteza pesa au nitapata?
 
Mimi Nina Diploma in Clinical Medicine (Clinical Officer) na GPA ya 3.4 O'level Nina Phys C, Chem C, Biology D, Math c, Eng B

Udsm
Screenshot_2020-08-30-14-16-48.jpg
 
Wale watalaam wa mambo haya ambao mnawezakuwa mnajua naomba hata neno la faraja

Mimi Nina Diploma in Clinical Medicine (Clinical Officer) na GPA ya 3.4 O'level Nina Phys C, Chem C, Biology D, Math c, Eng B
Na nimeomba UDSM(Mbeya), MUHAS, UDOM na St. Francis Je! Nimepoteza pesa au nitapata?

From TCU 2020/2021
Table 2: Minimum Entry Requirements for Health Related Programmes

Degree Programme: All Health Related Programmes

Entry Requirements
1. All equivalent applicants must have an appropriate Diploma or Advanced Diploma with an average of “B’’ or a minimum GPA of . In addition, an applicant must have a minimum of “D” grade in the following subjects: Mathematics, Chemistry, Biology, Physics and English at O-Level.
 
Wale watalaam wa mambo haya ambao mnawezakuwa mnajua naomba hata neno la faraja

Mimi Nina Diploma in Clinical Medicine (Clinical Officer) na GPA ya 3.4 O'level Nina Phys C, Chem C, Biology D, Math c, Eng B
Na nimeomba UDSM(Mbeya), MUHAS, UDOM na St. Francis Je! Nimepoteza pesa au nitapata?
Hapo umechanga karata, hizo tatu za mwanzo ushindani ni mkali. St Francis ndio mwka huu wanaruhusiwa kudahili unaweza ukapenya kama sio wengi wataiomba. Tegemea lolote laweza tokea. Ubarikiwe.
 
Ukiona huna one mwisho ya 5 Muhas sahau hiyo one ya 8 omba Bugando na vyuo vingine vya private utapata ila Muhas MD ni ndoto maana waliofaulu ni wengi nacone kali nyingi hivyo vompetition kubwa maana kila mtu anataka Muhas.
Hivi udom, muchas, muhas, one ya8 M.D unapata kweli?
 
Ukiona huna one mwisho ya 5 Muhas sahau hiyo one ya 8 omba Bugando na vyuo vingine vya private utapata ila Muhas MD ni ndoto maana waliofaulu ni wengi nacone kali nyingi hivyo vompetition kubwa maana kila mtu anataka Muhas.
Vipi kuhusu udom na muchas?naona umezungumzia muhas tu
 
Same japo Udom angalau ila kuna jamaa namfahamu ana 1.8 alisugua gaga sana miaka 2 ikabidi mwaka jana aombe Medical Lab Muhas ndo akapata.
Vipi kuhusu udom na muchas?naona umezungumzia muhas tu
 
Wale watalaam wa mambo haya ambao mnawezakuwa mnajua naomba hata neno la faraja

Mimi nina Diploma in Clinical Medicine (Clinical Officer) na GPA ya 3.4 O'level Nina Phys C, Chem C, Biology D, Math c, Eng B
Na nimeomba UDSM(Mbeya), MUHAS, UDOM na St. Francis Je! Nimepoteza pesa au nitapata?
Si inayotakiwa ni 3.5 au wameshusha.

Ukiomba private itakuwa poa. Kwa serikalini ni ngumu kupata.

Hayo ni maoni yangu.
 
Ukiona huna one mwisho ya 5 Muhas sahau hiyo one ya 8 omba Bugando na vyuo vingine vya private utapata ila Muhas MD ni ndoto maana waliofaulu ni wengi nacone kali nyingi hivyo vompetition kubwa maana kila mtu anataka Muhas.
Inategemeana one ya 8 ipoje.
Kusomea MD unaitajika uwe na vigezo vifuatavyo Biology na chemia Walau C kupanda juu (C mpaka A) na physics uwe angalau ufaulu wa D (D mpaka A) kwenda juu pia matokeo yako ya form four Katika masomo ya Phyz, chemistry, biology uwe na ufaulu kwanzia C (C mpaka A) kupanda juu pia mathematics na English uwe umefaulu kwanzia C kwenda juu.
 
Mkuu ukiwa na CCC kupata MD serikalini kwa sasa sahau labda private.

Hivi mkuu kwa St. Joseph n.a. imtu bado hawaruhusiwi kidahili?

vip kuhusu vyuo vya nje mkuu kuna ambavyo unavifahamu mtu anaweza kwenda kusoma?
 
Msaada wenu ndugu zangu wa dharura

Nina mdogo wangu amechaguliwa mipango tu kwenye 1st round aka confirme, ilipotangazwa 2nd round akaomba tena akapata aridhi university, ila aridhi wamekataa kumtumia code kwaajili ya ku confirme kwa kuwa wanasema ameshapata chuo kingine,

otherwise aombe mipango wamuondoe kwenye selection, moyo wake wote upo aridhi na iyo course aliochaguliwa chuo cha aridhi ndio ilikuwa ndoto yake kusoma, na kesho ndio mwisho wa ku confirme chuo naombeni msaada wenu kwenye ili afanyaje ili aweze kupata chuo cha aridhi.

Msaada wenu ndugu zangu wa haraka.
 
Sasa mipango wanakubali hilo ombi?
Hapo ndy changamoto...
Yani hapo nahisi mipango wakatae hlf kuwe na mawasiliano baina yao ndy code itoke..sasa hiki siyo kitu cha siku moja na jins tena kulivyo na utitiri wa watu..
Hiyo mipango inamuita
 
Back
Top Bottom