Kwa hali hii ya Mikoa na vijiji mbalimbali hivi kweli Tanzania ni nchi tajiri?

Darren2019

JF-Expert Member
Nov 23, 2019
1,111
2,377
Nimebahatika kuzunguka hii nchi mikoa kadhaa, ukipita vijijini unakutana na makazi duni kabisa, kumechakaa, watu wamepauka vibaya. Pengine hata network ya simu hakuna, redio haishiki hata moja wakati tuna vituo vya redio zaidi ya 80, kuna sehemu usafiri ni mshike mshike, kuona tu barabara ya lami unalazmika kukodi pikipiki elfu 30, bado usafiri unaotumika ni pijo 504 za miaka ya 70, nimeshuhudia sehemu nyingi tu mikoa tofauti ukiwa na safari ya halmashauri basi uandae na pesa ya gesti maana gari ni moja tu na kurudi ni kesho yake.

Nimetizama taarifa ya habari ya ITV leo kuna watoto wanne wa familia moja wamekufa njaa huko Serengeti, Nafikiri Serikali inaangalia maisha ya Mtanzania kwa kuzingatia watu wa Dar pekee ukweli mikoani umasikini ni mkubwa mno.
Utajiri wa Tanzania uko wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ni tajiri kwa raslimali lakini bado hazijatumika ipasavyo kumnafaisha Mwananchi

Tunasema Tanzania ni tajiri kwa sababu kuna nyingi za magharibi tumewazidi raslimali kama ardhi,msitu nk lkn Wananchi wao wanaishi maisha ya standard au mazuri

Nafurahi kuona Rais Magufuli anafanya kila jitihada ili raslimali zimnufaishe mwananchi

God first
 
Kuna nchi tajiri za rasilimali na nchi tajiri, vitu viwili tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ni tajiri kwa raslimali lakini bado hazijatumika ipasavyo kumnafaisha Mwananchi

Tunasema Tanzania ni tajiri kwa sababu kuna nyingi za magharibi tumewazidi raslimali kama ardhi,msitu nk lkn Wananchi wao wanaishi maisha ya standard au mazuri

Nafurahi kuona Rais Magufuli anafanya kila jitihada ili raslimali zimnufaishe mwananchi

God first
Hapo kwenye rasilimali, Hivi gas ya Mtwara vipi?
1576092801549.jpeg
1576092833357.jpeg
 
Tanzania ni tajiri kwa raslimali lakini bado hazijatumika ipasavyo kumnafaisha Mwananchi

Tunasema Tanzania ni tajiri kwa sababu kuna nyingi za magharibi tumewazidi raslimali kama ardhi,msitu nk lkn Wananchi wao wanaishi maisha ya standard au mazuri

Nafurahi kuona Rais Magufuli anafanya kila jitihada ili raslimali zimnufaishe mwananchi

God first
Ukipanda ndege ndio kunufaika kwenyewe unataka unufaike vipi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ccm ndo imetufikisha hapa tulipo mkuu
Usijali mambo yanaelekea kua mazuri
 
Hii nchi ukiwa unazunguka tu Dar na majiji mengine hautaweza kuuelewa huu uzi.

In short

Tanzania kuna mafukara wengi almost 43% ni mafukara hapo bado hatujaangalia masikini wengine.

VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Kwa hiyo hao mbuzi dume ni maskini kama walivyo watanzania? Tajiri anawezaje kukuambukiza umaskini?

inshu inakuja vp mkuu! yaani wakoloni walijari sana maeneo yenye rasilimali na population kubwa hivyo hata ukiangalia maeneo waliyokaa yameimprove infrastructure na huduma za kijamii tofauti na maeneo ambayo hayakuwa na hivyo vitu na ndiyo huko vijijini kwenu.
 
True mzee, huo ni ukweli bila cheng a, mliopo huko vijijini na Wilayani tupieni mapicha tafadhali tuone hali halisi
 
True mzee, huo ni ukweli bila cheng a, mliopo huko vijijini na Wilayani tupieni mapicha tafadhali tuone hali halisi
Ni kweli hii nchi kuna sehemu ukienda unaweza kulia watu wanaishi maisha duni mno,Ila Kuna mikoa baadhi vijiji vingi vipo developed mno
Mfano kilimanjaro vijiji vingi(90% ) vipo developed
Mfano wastani wa kila Kijiji kilimanjaro kina huduma zote za kijamii karibu Kama shule, hospital nk
Hadi vijijin ndan ndan Kuna lami na maghorofa hata mazingira tu utadhani upo ulaya kumbe upo Tanzânia
Kiukweli maisha ya watanzania yanatofautiana mno
FB_IMG_15702098938113855.jpeg
1773533160.jpeg
FB_IMG_15692283081692436.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom