Kwa hali hii ya colabo za TZ na Congo naona Diamond anaenda tena kuvunja rekodi yake ya views milioni 10 kwa siku 8

Tanzania wasanii wanajivunia views hahaha

Shukeni bondeni kwa madiba muone watu wanavyofanya muziki mzuri hawana mbwembwe Wala maviews ila kazi zao lazima usimame kudance.

Nendeni YouTube muone AMAPIANO
Hao ndio hawana nyimbo kabisa,ni midundo tu ndio inayowabeba,unakuta msanii anarudia verse moja zaidi ya mara kumi hadi nyimbo inajiishia,wasanii huko ni Nasty C,A.K.A tu na Casper Nyovest,wengine wote ni watumbuizaji tu kmmmmmke
 
Wewe mtoa post usilete janja janja hapa yakuzunguka mbuyu...lengo la hii thread yako nikupinga Jamaa kufikisha Viwers10M ndani ya WIKI(7DAYS)...umejaribu kuweka mpaka ushahidi wakihesabu kuthibitisha hilo Kama jamaa hajafikisha idadi ya hiyo kwamuda wasiku hizo Kama inavyoelezwa Bali Ni siku 8 na siyo siku7!
Unaogopa Nini funguka tu...au unaogopa jamaa watakupiga KOs humu! hahahah.....hayo yakolabo Ni bla blaa tu...lengo la mada yako ndio hiyo!
 
Hao ndio hawana nyimbo kabisa,ni midundo tu ndio inayowabeba,unakuta msanii anarudia verse moja zaidi ya mara kumi hadi nyimbo inajiishia,wasanii huko ni Nasty C,A.K.A tu na Casper Nyovest,wengine wote ni watumbuizaji tu kmmmmmke
Huna unalojua , watanzania mkila viazi na kujamba mnajiona mmemaliza.

Kule Kuna wasanii hata huwajui ila wanapiga show za kufa mtu Kuna mtu anaitwa Blaq coffee Huyo hata diamond platnum anajua Moto wake ndio alichukua tuzo ya BET mbele ya huyo diamond.

Sijakutajia show madjoz. Sijakutazia Master KG ambae wimbo wake wa Jerusalema umetwaa tuzo kibao Hadi Sasa. Sijakutaji mas qufet, DJ OBJA,Malaisa, Amas, Leon Lee, Fatalistic , Vigro Deep.

Wewe unawataja hao wasanii wa muziki wa kimagharibi wakina emtee, Nasty C na Casper.

Mimi nakutajia watu wanaoimba Kwaito na AMAPIANO ingawaje Casper na yeye amekuwa anaimba AMAPIANO na kwaito. Nenda YouTube ukatafute nyimbo zake. South Africa haya marap hawapendi. Imba Kwaito na AMAPIANO uone Kama hutoki.

South Africa ndio nchi mtu yoyote anaweza kuimba na akatoka. Kuna wasanii wengi sana. Na wasanii Wana full endorsement za Adidas , Nike , Coca-Cola n.k ... Kuna msanii mwaka Jana alitokea Gauteng na wimbo mmoja Kama upcoming alipiga hela Sana Sasa hivi ni tajiri kinoma. Akitembea amevaa full adida kuanzia kichwani Hadi mguuni. Sio bongo wasanii wakubwa hawana hata endorsement za mavazi.

Tembeeni muone sio mnaishia kuwasikiliza nyimbo za wakina shilole.

Hapo sijakutaji mkali wa hizi kazi DJ Maphorisa hahahaha acha wewe
 
Unawashauri nini wanaokimbilia collabo za south na kina sho madjoz
 
Kiukweli hao wote nawafuatilia sana ila sijaona anayejua zaidi ya kupiga piga makelele tu,huo ni mtazamo wangu mazee.Narudia tena,hao wasanii midundo tu ndiyo inayowabeba,ukitaka kujua hawana kitu katika nyimbo zao ondoa midundo wasikilize wakiimba bila midundo utaona vituko
 
Kwahiyo wanaoimba chomeka hapa, chomoa,

Ingiza chini, waaaah, ifinyie ndani, ipekeche, lamba lolo. Hao ndio wanaimba vya maana ?

South Africa nyimbo nyingi Zina content japo. Jerusalema ile ni content na Kuna ujumbe wa Mungu ... Nenda kasikilize wimbo unaitwa Mi Amor ule ni ujumbe tosha.

Lakini hata Kama hujui lugha lazima utatikisa kicwa.

Unasema midundo ndio inawabeba wakati huo pia ni ubunifu.

Diamond mwenyewe alicheki DJ Maphorisa wakagonga ile ngoma ya rayvanvy Makulusa. Una vitu vingi hujui Mzee.
 
pancho boy ngoma mbaya haiwezi kuwa hitsong hata siku moja wewe unaweza usipende lakini watu wengi wakapenda na ngoma ikipendwa na watu wengi ndio inakuwa hitsong hiyo ngoma ukienda club utaisikia kitaani utaisikia, kwenye bodaboda pia na kwenye social media
huyo jamaa hajawahi kupenda chochote anacho kifanya diamond. Kiufupi ni hater
 
Kwahiyo wanaoimba chomeka hapa, chomoa,

Ingiza chini, waaaah, ifinyie ndani, ipekeche, lamba lolo. Hao ndio wanaimba vya maana ?

South Africa nyimbo nyingi Zina content japo. Jerusalema ile ni content na Kuna ujumbe wa Mungu ... Nenda kasikilize wimbo unaitwa Mi Amor ule ni ujumbe tosha.

Lakini hata Kama hujui lugha lazima utatikisa kicwa.

Unasema midundo ndio inawabeba wakati huo pia ni ubunifu.

Diamond mwenyewe alicheki DJ Maphorisa wakagonga ile ngoma ya rayvanvy Makulusa. Una vitu vingi hujui Mzee.
We sema tu ndio pigo zako hizo,ni sawa sawa tu wale wanaopenda singeli,ila mzigo hakuna

Mfano wasanii kama Marioo na Aslay utawafananisha na wasanii gani wa huko,si kwa sababu wapo bongo tu wangekuwa huko na talent zao hizo wangekuwa wapi,kule vipaji hamna,sema nchi yao kuwa vizuri ktk sekta zote kunawabeba pia
 
Unachekesha Sana Yani hao wakina Mario na aslay kupata show tu humu ndani TANZANIA ni issue.

SA wasanii kila siku ni show uliza jamani msiwe mnaandika vitu kwa hisia. SA ni nchi ya Bata kila siku wasanii ni show.

Haya angalia huu utajiri wa wasanii wa south afirica , nimekuwekea wasanii 10 tu sijakuwekea maisha yao yalivyo mazuri. Achana na Hawa wasanii wa TANZANIA wana majina makubwa ila wamepanga. Maana 80% ya wasanii wa TANZANIA wanaishi maisha ya shida.

Wasanii wa levo ya Mario, Aslay au Nuh mziwanda kwa South Africa huwezi hata kuonana nao. Ila hao wakina nuh mziwanda na Moni Centrazone kutwa kutuomba Mia za uji kwa mama seba (Kijitonyama).. halafu unakuja hapa kuwalinganisha na wasauzi bro tembea utakuja kuyafuta unayoyaongea hapa.

Vyonne Chaka Chaka $68 million

DJ Black Coffee $60 million

Steve Hofmeyr $15.8 million

Aka $3.9 million

Rebecca Malope $3.9 million

Die Antwood $3.2 million

Casper Nyovest $3 million

Hapo nimekuwekea kwa ufupi ukwasi wa baadhi ya wasanii na vipato vyao. Sijaja kwenye Hawa wasanii unaowaita wa singeli. Tena ungekuwa na akili Sasa mziki ambao bongo wangeukomalia ni singeli huoni Mme wa Alicia Keys kila siku anajipost anacheza singeli na Yuko Marekani
 
Duh mzee nafikiri hatuelewani kabisa,hivi unafikiri hao wabongo wangekuwa huko SA wasingeweza kupiga hiyo mitonyo?

Usiongelee Yvyonne,huyo ni old school yupo level ya peke yake
 
Huna unalojua , watanzania mkila viazi na kujamba mnajiona mmemaliza.

Kule Kuna wasanii hata huwajui ila wanapiga show za kufa mtu Kuna mtu anaitwa Blaq coffee Huyo hata diamond platnum anajua Moto wake ndio alichukua tuzo ya BET mbele ya huyo diamond.

Sijakutajia show madjoz. Sijakutazia Master KG ambae wimbo wake wa Jerusalema umetwaa tuzo kibao Hadi Sasa. Sijakutaji mas qufet, DJ OBJA,Malaisa, Amas, Leon Lee, Fatalistic , Vigro Deep.

Wewe unawataja hao wasanii wa muziki wa kimagharibi wakina emtee, Nasty C na Casper.

Mimi nakutajia watu wanaoimba Kwaito na AMAPIANO ingawaje Casper na yeye amekuwa anaimba AMAPIANO na kwaito. Nenda YouTube ukatafute nyimbo zake. South Africa haya marap hawapendi. Imba Kwaito na AMAPIANO uone Kama hutoki.

South Africa ndio nchi mtu yoyote anaweza kuimba na akatoka. Kuna wasanii wengi sana. Na wasanii Wana full endorsement za Adidas , Nike , Coca-Cola n.k ... Kuna msanii mwaka Jana alitokea Gauteng na wimbo mmoja Kama upcoming alipiga hela Sana Sasa hivi ni tajiri kinoma. Akitembea amevaa full adida kuanzia kichwani Hadi mguuni. Sio bongo wasanii wakubwa hawana hata endorsement za mavazi.

Tembeeni muone sio mnaishia kuwasikiliza nyimbo za wakina shilole.

Hapo sijakutaji mkali wa hizi kazi DJ Maphorisa hahahaha acha wewe
huo mziki unaoupenda we sisi huwa tunausikiliza tukiwa tumelewa🍻🍻🍻
Mtu na akili zako katka hali ya utulivu huwezi sikiliza makelele hayo then unakuja kujitapa mbele za watu eti unaujua mziki🚮 , sababu msanii unaemsikiliza anaendosment za mavazi.🚮🚮
Ni utaira huo
🏃🏃🏃🏃
 
huo mziki unaoupenda we sisi huwa tunausikiliza tukiwa tumelewa
Mtu na akili zako katka hali ya utulivu huwezi sikiliza makelele hayo then unakuja kujitapa mbele za watu eti unaujua mziki , sababu msanii unaemsikiliza anaendosment za mavazi.
Ni utaira huo
Wewe ni kenge ,

Watu wanasikiliza rock na Kuna rock za hisia ng'ombe wewe.
 
Duh mzee nafikiri hatuelewani kabisa,hivi unafikiri hao wabongo wangekuwa huko SA wasingeweza kupiga hiyo mitonyo?

Usiongelee Yvyonne,huyo ni old school yupo level ya peke yake
Wewe Ndio huelew nimekwambia wasanii wa level ya rayvanvy au Mboso au Aslay SA hawahesabiki na wanaishi maisha makubwa kuliko Hawa wa TANZANIA.

Nikiwekea hapa maisha yao nitajaza server za JF.

All in all usilinganishe muziki na show biz za SA na TANZANIA.
 
Wewe ni kenge ,

Watu wanasikiliza rock na Kuna rock za hisia ng'ombe wewe.
ok cjakupinga mm n kenge🙌🙌🙌
Ila huo mziki unaouona kwako n bora sisi huwa tunausikiliza tukiwa vyombo🍻🍻🍻
Sasa kama show madjoz ntasikiliza nn toka kwake...?🚮
🚶🚶🚶
 
Wewe Ndio huelew nimekwambia wasanii wa level ya rayvanvy au Mboso au Aslay SA hawahesabiki na wanaishi maisha makubwa kuliko Hawa wa TANZANIA.

Nikiwekea hapa maisha yao nitajaza server za JF.

All in all usilinganishe muziki na show biz za SA na TANZANIA.
Vipaji hawana bwana uchumi wao unawabeba tu hao
 
Back
Top Bottom