Kwa hali hii waziri wa mambo ya ndani ujiuzulu tu

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Mara ya 2 hii kuwatumia jeshi la polisi kupiga watu misikiti.
Sijasikia polisi kwenda kumkamata au kumpiga mabomu askofu Gamanya aliedhalilisha polisi ambao walitoa taarifa ya Kukamatwa kwa Aliempiga ulimboka.
ni wazi Lile tukio la kiongozi wa kikiristo kutoa maneno ya Uchochezi dhidi ya jeshi la Polisi ambalo tayari lishatoa taarifa yake lkn Pia kesi ilikuwa mahakamani.
nchimbi unatakiwa ujiuzulu kwa kushindwa kuzuia hisia zako
 
Unaweza kuwa na hoja ya msingi ila unapochomekea maswala ya udini tu unaiua hoja yenyewe na mada nzima inakua uchafu.
Huu urojo mbichi, rudi jikoni kaupike upya.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
chadema at work. wafuasi wa chadema kwa udini huwashindi jf
 
Back
Top Bottom