Kwa hali hii tunakoelekea sio kuzuri!!!

rbsharia

Member
Sep 14, 2011
41
6
Wanajukwaa naomba nisaidieni. Hivi huu utaratibu wa kila kitu unachotaka kununua au kukodisha ni lazima awepo dalali? Imefikia wakati madalali wanapata faida kuliko wenye mali inayouzwa au kukodishwa hatua ambayo inatuumiza sisi wateja!!!!
INANIUMA SANA, mbona kuna nchi ambazo ni masikini kama nchi yetu lakini hazina huu mfumo na biashara zinafanyika bila muuzaji au mnunuaji kulalamika (Products fixed prices system - PFPS)? Au tatizo lipo wapi?

"INANIUMA SANA NA NAIONEA HURUMA NCHI YANGU HUKO INAPOELEKEA"

kAriBunI
 
Mbaya zaidi ukitaka kufanya biashara na mwenye mali anakataa na kudai hawezi kufanya bila dalali aaaaargh.
 
Ndio maana nikawasilisha kwenu hii maada ili tujue namna ya kuipunguza au kuiondoa kabisa. INANIKERA.
 
Kirubutu vipi ndugu? Umewasilisha? Lakini sio issue najua umekosea kuandika tu, lakini still tunatakiwa tujadili tutawabadilishaje hawa watu kama kirubutu alivyosisitiza!!!
 
Back
Top Bottom