Kwa hali hii tatizo la nguvu za kiume halitaisha

Wakawaida sana tu huyo, hajanisjawishi kwa loloteee, ukitaka ufe kwa hii Mambo nenda pita kwa bahati mbaya hostel yeyote ya chuo ya watoto wa kike,
Huu ni mfano tu,ila nadhani huko mtaani kwako unajionea balaa
 
Hello,

Uvaaji wa wadada unatupa shida sana sisi wanaume tuliokamilika,kiasi kwamba tunajikuta tunasimamisha mara kwa mara.

Unakutana na mdada kavaa mini skirt mapaja yote yako nje nje. Kifua kimeachwa kipumue wengine hata viuno viko nje..hizi suruali zilizochanwa chanwa nazo zimeongeza tatizo unakutana na dada upaja umejaa kweli kweli (kwa sauti ya yule jamaa) halafu upo nje nje tu.

Usiombe upande kwenye daladala za Mbagala au mwendokasi za Kimara ule mbanano halafu ukae karibu na mdada utapata tabu kama si kudharirika...yaani dada zetu wanavyovaa si kazini si mtaani wanatupa mitihani sana...hii inapelekea upungufu wa nguvu za kiume aisee mara kila muda unawaza kugaragaza tu..ukituliza akili kidogo mara mtu kakatiza na dera kaaa!

Yaani ukitoka tu nyumbani unakutana na wadada wamevaa kihasarasara yaani kama wako night club, hebu mtupumzishe jamani kaa.

Tulia mzee hali ya kawaida hiyo mbona ukienda Miami beach si unaweza fikiri umefika paradiso kabisa!!

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
π™·πšžπšž πšžπš£πš’ πš’πš•πš’ πšπšžπšŒπš‘πšŠπš—πšπš’πšŽ πšŸπš’πš£πšžπš›πš’ πšžπš—πšŠπš‘πš’πšπšŠπš“πš’ πš™πš’πšŒπš‘πšŠ 𝚣𝚊 πš”πšžπšπš˜πšœπš‘πšŠ
 
Back
Top Bottom