Kwa hali hii ngumu ya maisha, tunakumbuka kauli ya Mkosamali

ligera

JF-Expert Member
May 17, 2014
2,650
1,250
Wahenga waliwahi kusema mawazo mema hudumu milele. Mbunge huyo wa zamani wa Mhambwe aliwahi kuongea na kuwaasa watanzania juu ya uchaguzi wa mwaka jana.

Kinachotokea sasa ni matokeo ya kupuuza mawazo ya watu wenye maono.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom