Kwa hali hii, Machafuko yakitokea kuna atakayeshangaa?

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,934
71,566
Hali imevurugwa kila kona ya nchi katika maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa.

Wasimamizi na wasimamizi wasaidizi yaani watendaji wamevuruga sana ili kukibeba chama cha mapinduzi kinacho jinadi kuwa kinapendwa sana.

Ni uhuni na ujambazi wa wazi na Waziri mwenye dhamana na uchaguzi huu Bwana Jafo anachukulia mambo kimzaha mzaha.

Mnachokosea serikali ni kuwa watendaji wa kata mmewanunulia uhasama na RAIA wanaoishi nao, na uwezo wa kuwalinda wote hamna.

Wagombea mlio lazimisha kuwapitisha bila kupendwa hamuwalindi hivyo wajibu wa kujilinda mumewaachia wenyewe.

Picha inaonyesha baada ya 24/11 yale ya Kibiti yanaweza kuenea nchi nzima. Jee mtasimama na kushangaa kwa nini yanatokea hayo?

Tamaa zenu na kiburi cha kusema watafanya nini hawa Watanzania kinazamisha nchi yetu.

Mie sio mtabiri ila ni wajibu wangu kutahadharisha maana machafuko yakitokea hata kula "bata" itakuwa shida.
 
Hali imevurugwa kila kona ya nchi katika maandalizi ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Wasimamizi na wasimamizi wasaidizi yaani watendaji wamevuruga sana ili kukibeba chama cha mapinduzi kinacho jinadi kuwa kinapendwa sana.

Unazungumzia nchi gani?!
 
inaonekana kama vile upo vijiwe vya somalia huko, endelea kujipa moyo.

Acha machafuko yatokee ndo tutaelewana na natamani yatokee hata kesho.
 
Kuna tetesi kuwa umeitwa ikulu upewe wilaya??,
Wengi wetu humu tumejaaliwa uwezo wa kusoma na kuandika lakini ni wachache waliojaliwa uwezo wa to read in between the lines na kuelewa. Wote wanaodhani Pasco anatafuta uteuzi, hawana uwezo to read in between the lines, lakini wale wenye uwezo huo wanajua Pasco hawezi kuteuliwa hata mjumbe wa nyumba 10.
P
 
😂😂😂 Sio kweli, itakuwa mnusa harufu mkuu maana hata ndugu yetu mwandishi mwenzako nasikia wewe ndiye ulimnusia?? Any way me natania tu mkuu.
 
Uzuri nchi inajua kwamba tuna mtu mmoja tu mwenye shida hali ikiendelea hivi lazima yeye awajibishwe nchi ibaki salama hakuna mtanzania atakayeua mtanzania mwenzie kwa sababu ya ulevi wa madaraka wa mtu mmoja.
Tukiwekewa vikwazo itapendeza.
 
Back
Top Bottom