Kwa hali hii kuna tatizo gani tukianza kutumia dolla kama medium of exchange? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hali hii kuna tatizo gani tukianza kutumia dolla kama medium of exchange?

Discussion in 'International Forum' started by BABA JUNJO, Nov 1, 2011.

 1. BABA JUNJO

  BABA JUNJO JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu nime fikiri sana nikizingatia hali ya kiuchumi na kisiasa ya nchi yetu na kuona hakuna tena stability ya fedha yetu na inazidi kuporomoka siku hadi siku. Sasa waswahili wana msemo usemao "kama huwezi kushindana nao ungana nao" najaribu kutoa wito kwa wanazuoni kuwa kama Watanzania tumeshindwa kuimarisha shilingi yetu basi tuchague fedha ambayo tutaitumia kama vole dolla au euro tuachane na fedheha zisizona msingi kila siku. Serikali iseme kuanzia sasa tumeshindwa kustabilize uchumi na kwa hivyo ili kuunusuru tuanze kutumia dolla kama medium of exchange kama wanavhyo fanya wenzetu wa Zimbabwe ( Nasema wenzetu kwa kuwa nasi tuna wafuata)
  Naomba kuwasilisha
   
 2. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kama itakuwa fedhea kutumia pesa ya mzungu basi tutumie hizi za majirani zetu kama shillingi ya kenya au hata faranga ya kinyarwanda
   
 3. KIGENE

  KIGENE JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 1,067
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  Hapo tenda zakuchapisha noti feki zinazotoa rangi kama batiki itakuwa imekula kwao BOT! hatuwezi kukubali mkulu.

  Nadhani kama itapita kazi itakuwa rahisi maana zoezi lilishaanza kitambo shule nyingi zinatoza ada kwa dola nyumba zinapangishwa kwa dola mahoteli maduka mbalimbali huduma zake zinalipiwa kwa dola.

  Hapo kwenye dola ya Zimbabwe wao wanatumia Zim dola tofauti na US$.
   
 4. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 10,776
  Likes Received: 2,677
  Trophy Points: 280
  Red, black,green:
  MOJA:Fikiria sana namna ya kuboresha thamani ya shilingi yetu, najua unajua njia nyingi za kupunguza kuporomoka huku kwa thamani ya shilingi yetu sema kuna uoga unawasumbua waliopewa madaraka kushughulikia hilo na sitaki kuamini wewe ni mmoja wao. PILI: huwezi kusema unaepuka fedhea kwa kutumia fedha ya nchi nyingine huku ukiua kabisa matumizi ya fedha ya nchi yako vinginevyo unataka kuhalalisha uzembe wako katika kutetea 'soverignity' ya nchi yako.

  TATU:Kwa kifupi sikubaliani na fikra zako za kuua matumizi ya pesa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa kisingizio cha aina yoyote. Kama (wame)mmeshidwa kudhiditi mporomoko huo wa thamani ya shilingi wapishe wasio waoga wetekeleze jambo hilo.
   
Loading...