Kwa hali hii hatuna viongozi wanawake nchi hii

Jahlex

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
518
1,000
....Kwa hali ilivyo sasa tusitaraji kupata ukombozi kupitia mama zetu hawa kwani wamekuwa wanatumiwa na wanaume kupotosha na kuleta vurugu kuliko kuukomboa umma na wapiga kura wao.
 

mbwea

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
250
500
unajua leo hlo hata vtabu vyote vya dini havitaki wawe viongozi hao ke
 

mandili

Senior Member
Mar 16, 2013
141
195
kweli nimemsikiliza Asunta sjui Asumta yani anapigakelele hakuna hoja, majigambo ya kihaya yani kazi kweli, waziri Ghasiani kinyaa yani sjui wanaowachagua na kuwateua sjui wanaangalia chama2. imbomboNgafu
 

nkongu ndasu

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
22,524
2,000
Wabunge wengi wanawake wanaingia bungeni kwa kupendelewa na mabwana zao ama rushwa ya ng.ono, hawajui kujenga hoja kamwe, ni aibu tupu!
 

Emma.

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
19,910
2,000
wametia mpaka aibu hawana tofauti na yule mpumbavu wa jana Lusinde yule ccm.
 

JohnShaaban

JF-Expert Member
Aug 23, 2007
464
195
Akili yote wameikopa kwenye "viti maalumu 2015"... hizi nafasi zikiendelea kuwepo kuna siku watauza nchi ili wapate nafasi ya viti maalum.... shame on them!
 

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,448
2,000
Kwa jinsi ilivyo pale Bungeni inakatisha tamaa kuona hawa wanawake ni tatizo kwa maendeleo yetu.
Hakuna mwanamke toka chama tawala CCM aliyetoa hoja yenye mashiko kuanzia mbunge mpaka waziri,inatia aibu.
Tunacho shuhudia ni mipasho na vijembe na maneno ya kanga zaidi ya yote wamezidisha itikadi za chama kuliko taifa kwanza.
Zaidi ya kukosa hoja pia wamekuwa ni watu wa kutuhumu watu tu hadi inatokea wanapishana kimtazamo na viongozi wa chama chao.
Kwa hali ilivyo sasa tusitaraji kupata ukombozi kupitia mama zetu hawa kwani wamekuwa wanatumiwa na wanaume kupotosha na kuleta vurugu kuliko kuukomboa umma na wapiga kura wao.
1.MUNGU si mjinga kuanza kumuumba Adamu..
2. Yesu alikuwa ni mwanaume
3. Mtume Mohamad alikuwa mwanaume...
4.Nabii Musa alikuwa ni mwanaume
5.Nabii Eliya alikuwa ni mwanaume
6. Mtume Paulo alikuwa ni mwanaume

Mkuu tafakari na uchukuwe hatua....wanawake wa leo wanapingana na maandiko ya MUNGU ndiyo maana upstairs hakuko vizuri.
 

ndechilio shoo

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
999
1,225
kweli nimemsikiliza Asunta sjui Asumta yani anapigakelele hakuna hoja, majigambo ya kihaya yani kazi kweli, waziri Ghasiani kinyaa yani sjui wanaowachagua na kuwateua sjui wanaangalia chama2. imbomboNgafu
me nilihisi kinyaa kabisa nilivyowasikiliza najiuliza sana ila conclussion yangu i have hasty generation sito muunga mwanamke mkono wa kumwamini mwanamke katika swala la siasa na kiongozi
 

theki

JF-Expert Member
Nov 1, 2013
2,724
1,195
Yaani yule asunta akili tripu mchanga tripu kokoto kila alichosema yaani rojorojo tupa kule.
 

Himawari

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
2,544
2,000
Mwanamke wa CCM nliyemsikia angalu akiongea kinachoeleweka ktk sakata la Escrow ni Ester Bulaya! Wengine kama Ghasia ni ghasia tu kama jina lake! Wapi Anne Kilango - Malechela?! Angalau kidogo yeye ndio huwa anaweza kuwachana wa-CCM wenzie!!
CCM kuna maprofesa kina Muhongo, Tibaijuka na wengine wana digree zaidi ya moja kina Werema, Pinda et al.., lakini hao ndio wanatetea upuuzi ambao hauingii akilini! Hata kama wanatetea nafasi zao basi wawe reasonable na hoja zao!
 

webondo

JF-Expert Member
Apr 29, 2012
1,715
1,500
1.MUNGU si mjinga kuanza kumuumba Adamu..
2. Yesu alikuwa ni mwanaume
3. Mtume Mohamad alikuwa mwanaume...
4.Nabii Musa alikuwa ni mwanaume
5.Nabii Eliya alikuwa ni mwanaume
6. Mtume Paulo alikuwa ni mwanaume

Mkuu tafakari na uchukuwe hatua....wanawake wa leo wanapingana na maandiko ya MUNGU ndiyo maana upstairs hakuko vizuri.
Tena kuna mmoja jana alikuwa anaongea, nadhani ni mbunge wa kuteuliwa huyo... yaani nadhani ni msikiliza taarabu, maana yuko kama shangingi vile... ningekuwa karibu yake wakati anaongea hakika ningekata kibao.
 

Super Sub Steve

JF-Expert Member
Jul 9, 2011
15,307
2,000
Kuna umuhimu wa kufuta viti maalum na 50-50 ifutwe ibaki strugle for existence and survival of the fittest
 

sifongo

JF-Expert Member
Jun 5, 2011
4,825
2,000
Hata sijui nini kimewapata.........tuendelee kuwaombea Ndio mama zetu.
 

Ibada ya kwanza

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
3,284
2,000
Kuna umuhimu wa kufuta viti maalum na 50-50 ifutwe ibaki strugle for existence and survival of the fittest
Unaakili sana.ungekua karib ningekupa bia mbili.wanabaki kujisifia nan kama mama.kama mama wenyewe ndo kama yule mama mhaya ni matatizo yaliyozid kipimo
 

afwe

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
4,085
2,000
kweli nimemsikiliza Asunta sjui Asumta yani anapigakelele hakuna hoja, majigambo ya kihaya yani kazi kweli, waziri Ghasiani kinyaa yani sjui wanaowachagua na kuwateua sjui wanaangalia chama2. imbomboNgafu
Rushwa mbaya!! CCM wanamung'unya maneno!
 

Phoenix

JF-Expert Member
Sep 6, 2012
9,931
2,000
Jamani mkisema ivo mnakosea,ingawa ni ukweli usipingika kuwa wanawake tunachemsha sana bungeni ila sio wote!!Mdee,Bulaya na wengine wachache ni wa kike pia kumbukeni!!Mbona livingstone (sorry to write) ana hoja za kikuda kuliko wanawake!!amejaa mchiriku.mzaha na maneno ya kejeli kwa kifupi kuna wanaume wengine ni mamburula kuliko wanawake!!mfano
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom