MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,966
Wakuu nimewaza sana na kitafakari sana juu ya mjadala mmoja ambao uko hot kwelikweli kwenye media nyingi hasa mitandao ya kijamii na kujiuliza haya yafuatayo;
1. Hivi ni kweli Mungu ametunyima uwezo wa kufikiri kabisa kabisa kiasi cha mbunge mtu mzima kusimama na kuwaambia watu kua"Mnataka bunge lioneshwe wazi mnatafuta wachumba? kweli?
2. Kuwaambia watu kua bunge kuoneshwa live ni kuwapotezea muda wa kazi, sasa kama watu wanaacha kazi zao na kukimbilia kuangalia bunge si ndio uthibitisho tosha wa umuhimu wa bunge hili?
3. Hivi mtu anaweza kuacha kazi zake akaenda kukaa kwenye TV kumwangalia Diamondi au Ali Kiba kama hakuna bunge?
4. Miaka yote ya nyuma iliyopita bunge limekua likioneshwa live, naomba mwenye tathmini ya upotevu wa muda na hasara waliyoipata wananchi na kuwafanya kua maskini hadi leo!
5. Nini maana ya neno la kizungu"NATIONAL ASSEMBLY" kwa tafsri yake halisi?
6. Nini tofauti ya bunge kuoneshwa live na kua recorded?
7. Ni nchi ngapi kusini mwa jangwa la Sahara wananchi hawapati matangazo ya live wakati wa vikao vya mabunge yao? Mifano miwili tu!
8. Ni siku gani hasa bunge litoneshwa live? Wakati wa hotuba ya Rais bungeni? Wakati wa kulifunga au kulifungua au hayo nayo hayatakuwepo kabisa? Kwanini?
Mungu ibariki Tanzania na watu wake!