Kwa hali hii baada ya miaka kadhaa Afrika itabaki na wazee tupu, maana naona Vijana

Econometrician

JF-Expert Member
Oct 25, 2013
15,795
28,453
Kila kukicha ni vijana wa kiafrika kwenda ulaya kuna nini huko Jamani, mbona tunajidharau wenyewe?

151111140949_migrants_off_libya_coast_512x288_reuters_nocredit.jpg

Viongozi wa Muungano wa Ulaya wanatarajiwa kutoa mabilioni ya euro kwa mataifa ya Afrika kuyawezesha kusaidia kupunguza mzozo wa wahamiaji Ulaya.

Tume ya Muungano wa Ulaya imesema itatoa 1.8bn (?1.3bn) na inatarajia mataifa zaidi ya EU yaahidi pesa zaidi.

Lengo la ufadhili huo ni kusaidia kusuluhisha matatizo ya kiuchumi na kiusalama ambayo huwafanya watu kutoroka mataifa ya Afrika. Aidha, zitatumiwa kuyashawishi mataifa ya Afrika kuwapokea watu ambao wamenyimwa hifadhi Ulaya.

Ahadi hiyo inatarajiwa kutolewa kwenye mkutano mkuu kuhusu wahamiaji unaofanyika Malta, na ambao ulipangwa baada ya meli iliyobeba wahamiaji kuzama Libya mwezi Aprili. Watu 800 walifariki.

Watu 150,000 wamevuka bahari ya Mediterranean kutoka Afrika mwaka huu, wengi wakitua Italia na Malta.

Hata hivyo, mtazamo wa EU umebadilika tangu Aprili na kuangazia zaidi wakimbizi wanaotoka mashariki na hasa Syria, ambao wanawasili kwanza Ugiriki na kuvuka hadi Uturuki kisha kuelekea kaskazini kupitia bataifa ya Balkan.

Zaidi ya viongozi 60 kutoka Afrika na Ulaya, akiwemo Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron, wanakutana Valletta, Malta kwa mkutano huo mkuu wa siku mbili kujadili uhamiaji.

Tume ya Muungano wa Ulaya itaweka pesa hizo 1.8bn kwenye "hazina maalum" kwa ajili ya Afrika na imehimiza mataifa wanachama kufikisha kiasi hicho cha pesa.

wakuu tufanyaje kuondoa Hali Hii
 
kila kukicha ni vijana wa kiafrika kwenda ulaya kuna nini huko Jamani,mbona tunajidharau wenyewe

151111140949_migrants_off_libya_coast_512x288_reuters_nocredit.jpg

Viongozi wa Muungano wa Ulaya wanatarajiwa kutoa mabilioni ya euro kwa mataifa ya Afrika kuyawezesha kusaidia kupunguza mzozo wa wahamiaji Ulaya.

Tume ya Muungano wa Ulaya imesema itatoa ?1.8bn (?1.3bn) na inatarajia mataifa zaidi ya EU yaahidi pesa zaidi.
Lengo la ufadhili huo ni kusaidia kusuluhisha matatizo ya kiuchumi na kiusalama ambayo huwafanya watu kutoroka mataifa ya Afrika. Aidha, zitatumiwa kuyashawishi mataifa ya Afrika kuwapokea watu ambao wamenyimwa hifadhi Ulaya.
Ahadi hiyo inatarajiwa kutolewa kwenye mkutano mkuu kuhusu wahamiaji unaofanyika Malta, na ambao ulipangwa baada ya meli iliyobeba wahamiaji kuzama Libya mwezi Aprili. Watu 800 walifariki
Watu 150,000 wamevuka bahari ya Mediterranean kutoka Afrika mwaka huu, wengi wakitua Italia na Malta.
Hata hivyo, mtazamo wa EU umebadilika tangu Aprili na kuangazia zaidi wakimbizi wanaotoka mashariki na hasa Syria, ambao wanawasili kwanza Ugiriki na kuvuka hadi Uturuki kisha kuelekea kaskazini kupitia bataifa ya Balkan.
Zaidi ya viongozi 60 kutoka Afrika na Ulaya, akiwemo Waziri Mkuu wa Uingereza David Cameron, wanakutana Valletta, Malta kwa mkutano huo mkuu wa siku mbili kujadili uhamiaji.
Tume ya Muungano wa Ulaya itaweka pesa hizo ?1.8bn kwenye "hazina maalum" kwa ajili ya Afrika na imehimiza mataifa wanachama kufikisha kiasi hicho cha pesa.

wakuu tufanyaje kuondoa Hali Hii
Most of those are Somalis who are running away from Sharia and Kadhi to freedom. You know there is freedom in Western countries.
 
Most of those are Somalis who are running away from Sharia and Kadhi to freedom. You know there is freedom in Western countries.

majority are ethiopians,eritreans,nigerians,somalis and surprisingly ghana.i call this self induced slavery,sad but thats wats up
 
ndivyo miafrika ilivyo,,,rasilimali kibao bado mijitu inakimbilia ulaya,,,

Akili za kushikiwa shida...
 
ndivyo miafrika ilivyo,,,rasilimali kibao bado mijitu inakimbilia ulaya,,,

Akili za kushikiwa shida...

Kwa mfano wewe uliyebaki Africa rasilimali zimeshakusaidia nini kwa mfano? ? Kama sio kusindikiza ndege za wazungu kwa macho zikiondoka na dhahabu mpaka twiga nadhani wewe ndio wa kujilaumu sio kuwalaumu hao jamaa
 
ndivyo miafrika ilivyo,,,rasilimali kibao bado mijitu inakimbilia ulaya,,,

Akili za kushikiwa shida...

Hizo rasimili kibao zimekupa nini cha kujivunia mbele ya hao wazungu mpaka sasa zaidi ya kuwasaidia kuzisindikiza kwa macho wakizipeleka kwao??

Achana vijana wakatafute maisha sehemu watakayofanya kazi wakiwa comfortable!! nyie watanzania exposure kwenu si ni anasa basii endeleeni kujichimbia kwenye hili hili chaka lenu mnaloliita kisiwa cha amani
 
hawa watu wanakimbia kwasababu ya instagram na facebook. Kama kweli wanakimbia shida iweje wanakuja na smartphone? Alafu wakishafika Greece wana update facebook status kabisa kwamba "mungu mkubwa ndio tumefika" alafu majirani na wanafamilia wana like status.

Binadamu wa sasa hivi wanataka mambo rahisi na hizi social media ndio zinawaongezea moto kichwani. Hawajui kuna maisha ya instagram na maisha halisi.
 
Back
Top Bottom