Kwa hakika kila kitu kipo wazi, kazi kwenu kuchuja mchele na pumba

rafiki2010

Member
Sep 23, 2010
23
0
MAFANIKIO KATIKA SECTA YA AFYA::eek2:


Karibu majengo yote ya Hospitali ya Taifa Muhimbili yamekarabatiwa na vifaa vya kisasa vimekwea vifaa hivyo ni CT Scan ya Kisasa, Magenet Resonance Imaging (MRI) ya kisasa, Digital, radiograph Sysytem, USS na Fluroscopy. Mashine za kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo zimeshafungwa.
Vifaa vya kisasa vimewekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili
Idara ya Huduma za magonjwa ya Dharura imeimarishwa kwa kuwa na wataalam na vifaa tiba vya kisasa
Vituo vingi vya kutolea huduma za afya hapa nchini vimepatiwa vifaa vya kutibu wagonjwa
 

Attachments

  • images[7].jpg
    images[7].jpg
    6.6 KB · Views: 35
Back
Top Bottom