Kwa hakika hii inatia huruma na kutafakarisha sana.!!

Kamarada

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
253
161
4aaefac6-6c22-4d7a-a1f0-85f94216e59f-jpg.733786

Slaam kwenu Waungwana..

Kama picha inavyojieleza, kwa hakika personally imenitia simanzi na kunitafakarisha sana. Lakini kwa upande mwingine imenihamasisha kulipia king'amuzi changu in full kwa mwezi wote huu wa April ili siku za weekend na sikukuu nipumzike nyumbani na family tukiangalia TV.

@Picha hiyo ni kwa hisani ya Mdau Ally Kanah (Comment No.14) ktk uzi wa Kamanda Chakaza (Ushahidi; RC DSM ni Mkubwa Kuliko Waziri). Asanteni wadau kwa somo hilo.
 
Wapinzani wafanye maamuzi magumu ijulikane moja.

Wahujumu uchumi wanakula bata maofisini!
 
4aaefac6-6c22-4d7a-a1f0-85f94216e59f-jpg.733786

Slaam kwenu Waungwana..

Kama picha inavyojieleza, kwa hakika personally imenitia simanzi na kunitafakarisha sana. Lakini kwa upande mwingine imenihamasisha kulipia king'amuzi changu in full kwa mwezi wote huu wa April ili siku za weekend na sikukuu nipumzike nyumbani na family tukiangalia TV.

@Picha hiyo ni kwa hisani ya Mdau Ally Kanah (Comment No.14) ktk uzi wa Kamanda Chakaza (Ushahidi; RC DSM ni Mkubwa Kuliko Waziri). Asanteni wadau kwa somo hilo.
Imagine akiingia Jembe baada ya wiki itakuwaje?
 
Back
Top Bottom