Kwa hakika CCM naichukia hata haya yangetokea kwa upande wangu

kanta

JF-Expert Member
Jan 24, 2011
343
65
CCM KINGEKUWA CHAKULA NINGEACHA KULA NIFE !

CCM UNGEKUWA UGONJWA NISINGEKUBALI KUTIBIWA NIFE!

CCM UNGEKUWA MAVAZI NINGETEMBEA UCHI KULIKO KUKUVAA!

CCM UNGEKUWA UTAJIRI NINGEKUKANA NIWE MASIKINI!

CCM UNGEKUA UHURU NINGEKUKANA NIRUDI UTUMWANI !

Naamini matatizo ya watanzania na nchi yao chimbuko lake ni CCM, bila CCM kufa TANZANIA HIYOOOO KUELEKEA utumwani!!

...Ukiwa mkweli mungu atakupenda milele...
 
Duh, Kama ningekua naichukia kweli kutoka moyoni ningejiua na kuacha historia nzuri kwa wengine, lakini kwa vile mimi ni mnafiki ngoja nisingizie vitu visivyowezekana.
 
Huwezi kuacha historia nzuri kwa kujiua, ila kwa kushinikiza mabadiliko ya kweli kwa vitendo pamoja na kuonyesha hisia zako juu ya yale usiyoyapenda utakuwa unachangia mabadiliko katika jamii hasa kwa wle ambao wana mawazo mgando kaka wewe Likwanda, nadhani ukitaka kuelewa zaidi hicho kitu nilichoandika hapo namaanisha nini soma kitu flni kinachoitwa HYPABLE kwenye kiingereza.

Hisia zangu za kuichukia ccm ni zaidi ya hizo nilizoandika hapo, tupo wengi sana wa namna hiyo, na ndio tutakaochangia kwa kiasi kikubwa kiondoa ccm madarakani by 2015.
 
Na kama CCM ingelikuwa ni mama yangu ningeisha ikana kama Baba wa Taifa mwl. J.K alivyoikana mwaka 1995 aliposema CCM siyo mama yangu.
 
Uuuuuuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,
Ccm ni njaa, ccm ni umaskini, ccm ni magamba, kuna mahali nilikuta watoto wanapigana kiss mwenzake amemwita we ni ccm.
 
Mkisema CCM mnamaanisha nini?
Labda tuna maana toafauti!

Rejao, inaonekana kanta kakupiga mkuki hadi umechanganyikiwa! Yaani huijui CCM? Unajua Nape atapita hapa halafu ajira yako iko ktk hati hati. Nami nasema hivi: CCM INGEKUWA INGEKUWA DARAJA LA KUVUKA MTO KAGERA NINGEOGELEA BADALA YAKE.
 
Duh, Kama ningekua naichukia kweli kutoka moyoni ningejiua na kuacha historia nzuri kwa wengine, lakini kwa vile mimi ni mnafiki ngoja nisingizie vitu visivyowezekana.

tumia akili ukikumbwa na tatizo sio kulikimbia ni kukabiliana nalo nakushangaa kama ungeamua kujiua
 
Huwezi kuacha historia nzuri kwa kujiua, ila kwa kushinikiza mabadiliko ya kweli kwa vitendo pamoja na kuonyesha hisia zako juu ya yale usiyoyapenda utakuwa unachangia mabadiliko katika jamii hasa kwa wle ambao wana mawazo mgando kaka wewe Likwanda, nadhani ukitaka kuelewa zaidi hicho kitu nilichoandika hapo namaanisha nini soma kitu flni kinachoitwa HYPABLE kwenye kiingereza.Hisia zangu za kuichukia ccm ni zaidi ya hizo nilizoandika hapo, tupo wengi sana wa namna hiyo, na ndio tutakaochangia kwa kiasi kikubwa kiondoa ccm madarakani by 2015.

Nakuunga mkono asilimia mia
 
Rejao, inaonekana kanta kakupiga mkuki hadi umechanganyikiwa! Yaani huijui CCM? Unajua Nape atapita hapa halafu ajira yako iko ktk hati hati. Nami nasema hivi: CCM INGEKUWA INGEKUWA DARAJA LA KUVUKA MTO KAGERA NINGEOGELEA BADALA YAKE.
Labda mnayoiongelea nyie ni CCM nyingine, cuz CCM nayoijua mimi asilimia kubwa ya wananchi wanaipenda na kusupport.
Ni vichwa maji wachache ambao wanajazwa ujinga na watu wachahche wenye njaa zao na uchu wa madaraka ndio wanaona CCM mbaya
 
Nimesoma hii thread wakati nakula nimejisikia kutapika niliposoma neno ccm
 
Mkisema CCM mnamaanisha nini?
Labda tuna maana toafauti!

Chama cha majangili,chama cha matapeli,chama cha magamba,chama cha magugu maji,chama cha mavuvuzera,chama cha magumegume,chama cha macomedian,HAYA SASA USHINDWE MWENYEWE.
 
Labda mnayoiongelea nyie ni CCM nyingine, cuz CCM nayoijua mimi asilimia kubwa ya wananchi wanaipenda na kusupport.
Ni vichwa maji wachache ambao wanajazwa ujinga na watu wachahche wenye njaa zao na uchu wa madaraka ndio wanaona CCM mbaya

kwa mwendawazimu kama wewe sishangai unapoishabikia SISI E.MU
 
kwa mwendawazimu kama wewe sishangai unapoishabikia SISI E.MU
mi maisha yangu yanasonga.. am stress free,
nyie mnaoona maisha magumu kwa kushuindwa kugrab opportuinities zinazopatikana ndani ya CCM niwaonee huruma!
 
Teh teh teh the devil,demon,mummy,nightmare,betrayer,traitor eh CCM ingekuwa mungu basi ningemuasi nakutumuamini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom